Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!
Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui, yaani sio mchezo.
Sasa hapo ni sebuleni, chumbani sijui kulikuwaje! Wanawake mna mchango.
Sio wote mkuuSifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Acha uongo...wengine amani ya moyo hutimia tukivaa nguo nadhifu, tukinukia vizuri,....na sehemu tunapoishi iwe safi kuanzia chooni mpaka chumbaniSifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Huu ni ugomvi mkubwa sana na wifeNakumbuka wife alipojifungua alienda kwao kwaajl ya uzazi....siku aliyorudi naona alihisi amekosea nyumba....kiufupi Kila sehemu ilikua kama mnadani, hapo kitandani unaweza kuhisi ni sehemu yakuhifadhia mashuka machafu na nguo chafu
Mawazo mgando haya.Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Mkuu ulikuwa unaishi pembezoni ya mto au majaruba..?Mwaka Jana nlisafiri masika nkaenda kulima bush,basi nkakaa kama wiki mbili,Ile narudi usiku mechoka balaa nkajitupa kitandani na viatu nkaanza kuota kama nipo mtoni naskia sauti za vyura,ila Ile sauti ikawa kama inatokea kichwani mwangu,dakika Moja nyingi nkakurupuka Kumbe frog yupo chini ya kitanda.
Yaani wenge lote la usingizi likakata nkawa najiuliza kaingilia wapi au niwa kutumwa,nikagundua alipitia chini ya mlango palipokuwa na uwazi.
Sasa mawazo yakazidi kuwa kama kaingia chura ,nyoka atashindwaje,nikatoka nkaenda lala Kwa mshkaji kesho yake nikafanya famigesheni huwezi amini Ili kuwa kama zoo ya wadudu maana walitoka wengine hata siwafahamu.
Ulitakiwa uandike sio mwanaume mwenye akili. Mwanaume mchafu nyumbani lakini ofisini tai na suti kubwa🤣🤣.Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
We noma mkuuNakumbuka wife alipojifungua alienda kwao kwaajl ya uzazi....siku aliyorudi naona alihisi amekosea nyumba....kiufupi Kila sehemu ilikua kama mnadani, hapo kitandani unaweza kuhisi ni sehemu yakuhifadhia mashuka machafu na nguo chafu
Hatari kutoka uzazi Hadi kuuguzaNilikaa uzazi miezi miwili kasoro nilikuta nguo chafu,shuka hajabadilisha na anaumwa typhoid
Mimi sio mchafu lakn ni disorganized haswa.
Nashukuru nlipata mwanamke ambaye ni organized.
Nlivompeleka kwa wazee mara ya kwanza, maza alimuuliza wazi, umewezaje ku deal na how disorganized this nigga is?
Actually mojawapo ya vitu naenjoy kwa mama chanja ni hicho.
Tumegawana, yeye kazi za kutumia nguvu nyingi hafanyi, mimi huko ndio nyumbani.
Hongera kalpana kwa kumpata mseminariAcheni uchafu kwa kisingizio cha uanaume...tulioolewa na waseminari hii kitu hawana...yani kila kitu kimenyooka ustaarabu kila mahali...
Mnakalilishana ujinga huu na wengine wanaishi na kuishia nao mwisho wa siku unakutwa na lundo la machupa ya maji ya uhai chumbani umeyajaza mikojo na kindoo kimejaa mimavi unaenda kupimwa akili kumbe ulilishwa ujingaSifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Asante mkuu... 😀 😀Ho
Hongera kalpana kwa kumpata mseminari
Uchafu tu,halafu unaona sifa kusimuliaNakumbuka wife alipojifungua alienda kwao kwaajl ya uzazi....siku aliyorudi naona alihisi amekosea nyumba....kiufupi Kila sehemu ilikua kama mnadani, hapo kitandani unaweza kuhisi ni sehemu yakuhifadhia mashuka machafu na nguo chafu