Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Em nitafutie mseminari mmoja [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Em nitafutie mseminari mmoja [emoji4]
Hakuna wa kunipangia Wala kunipigia kelele, burudani tupu, unajua uhuru mtu unakuwa nao unapokuwa peke yako, akiongezeka mwenzako tu huna tena uhuru inabidi uji tune kuendana na mwenzako alivyo, kimbembe mukiwa wote wachafu hapatakalika, kwa mtu ambae kashawahi kuwa kwenye ndoa Kama mimi anaopokuwa hana mke ule uhuru anaokuwa nao akifanya maskhara Mara haoi tena, ndoa zina changamoto nyingi lakini Kama unajielewa utaoa tu maana mwanaume ni majukumu, kuyakimbia ni ufala.Humkeri mtu tajiri... [emoji38] [emoji38]
Mkuu malinda yapo salama kweli.? hizi ulizotaja ni traits za LGTBQ
Kwahy kuwa mchafu n sifa... Usijuvunie ujinga usaf n kwa binadamu wote Haina jinsia , kwahy msipooa mnakuwa wachafu hvyhvy au ndio mnatutupia mzigo wanawakeSifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.
Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili ni mwanamke mwenzio.
Kweli ww n kiazi kbsa yaan n fisi majiMkuu malinda yapo salama kweli.? hizi ulizotaja ni traits za LGTBQ
Hakuna aliyekamilika lakini uchafuuu yaan mchafuuu aah ndugu yang jitahd uwe msafi ukamilifu wa mtu havihusiani na kuhalalisha uchafu.. kuwa msafi vaa nguo safi kwako pawe pasafi inapendeza aiseee hatakam ww sio wa garama lkn usaf sio garama na kumbuka afya n mtaji ss endeleza uchafu na ujsifie kbsa na uchafu wak uoneEmbu nioneshe binadamu aliyekamilika Kila kitu.... Hata hvyo mm sio mchafu ni vile tu sisi wanaume majukumu yakiwa mengi Kuna mambo tunayapuuzia as long as halivunji heshima kwenye jamnii
Hahahaha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ aiseee hii n huzuni jmn๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNilienda msibani nikamuacha dogo
Nimerudi nakuta sufuria zangu za nonstick amezisugua na steel wire ๐ค๐ค
N udhaifu wa mtu tuu kama ambavyo unaogopa nyoka Mendes mjusi tandu sawa kuwa mwanaume haimaansh hawana uoga au hofu ya kituMwanaume mzima unaogopa chura [emoji15] ati nikaenda kulala kwa mshikaji,[emoji849]
Huna hata aibu!
hivi kumbe unaweza kumchukia mtu kwa post zake tu,ndivyo ninavyofeel kwa hiyo mtuKweli ww n kiazi kbsa yaan n fisi maji
Maana halisi ya uchafu siyo takataka bali uchafu ni kitu kuwa mahali ambapo siyo sehemu yake. Yaani hata wewe ukienda pale ikulu Magogoni ukasimama bila kazi yoyote, unakuwa uchafu automatically na utaondolewa.Kwahy kuwa mchafu n sifa... Usijuvunie ujinga usaf n kwa binadamu wote Haina jinsia , kwahy msipooa mnakuwa wachafu hvyhvy au ndio mnatutupia mzigo wanawake
Kwasababu inaelezea kilichopo kichwan kwako. Mawazo Yako n matendo yakohivi kumbe unaweza kumchukia mtu kwa post zake tu,ndivyo ninavyofeel kwa hiyo mtu
Kuna muda mi najionaga mbona naendekeza kuwa disorganized naanza kujikuta smart, napangilia nguo, nafagia kila nikikanyaga kamchanga ila sasa hata wiki simalizi na huu utaratibu narudi kule kule kwenye kutupa tupa nguo hovyo, kutotandika kitandaNilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!
Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui, yaani sio mchezo.
Sasa hapo ni sebuleni, chumbani sijui kulikuwaje! Wanawake mna mchango.