Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

Nilienda Uzazi Mwezi mmoja tu jaman nikarudi na kukuta Bakuli za plastiki zote zimetupwa, eti alikuwa akitumia haoshi anapeleka jalalani

Nilitamani nikamtupe na yeye aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahah
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili ni mwanamke mwenzio.
Acha matusi bro mi binafsi tangu mdogo nilikua nafundishwa usafi chumba changu lazima nifanyie usafi nguo situpitupi naweka kwenye utaratibu mzuri, hadi leo hii nimeondoka nyumban bado suala la usafi nazingatia japo sifanyi kila siku lakini vitu vyangu ghetto naweka kwenye mpangilio mzuri na nikiona vimekaa vibaya weekend lazima nifanye usafi

Kuwa mwanaume haiuhusiani na kuwa mchafu, uchafu ni tabia hata wanawake wapo wachafu kuliko hata wanaume
 
Uchafu na mimi ni mbalimbali,tatizo nililo nalo mimi ni kuto kupangilia vitu ndani ya nyumba.
Ugomvi na mke wangu hutokana na hili na hata uvaaji wangu asipokuwa karibu navaa nguo kwa maana tu ni safi,habari za kuzingatia rangi,kujitizama kwenye kioo hapo ni kulazimishwa tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] malegendary
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili ni mwanamke mwenzio.
wachafu Wenzako Watakusupport,acha Uchafu Sio Sifa
 
Chumba!?
 
Mwanaume mzima unaogopa chura [emoji15] ati nikaenda kulala kwa mshikaji,[emoji849]
Huna hata aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…