Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Huyu dada hapa jiarani anaolewa hii ndoa ya tatu.
2013 nilimchangia send-off nikahudhuria na ubwabwa nikala. 2016 akaleta kadi ya mchango, ndio nikastuka oh kumbe aliachika. Nilimchangia tena. 2020 jana kanipa kadi ya mchango wa send-off, nikamtania "Ah! Wewe kila siku unaolewa wewe tu, sasa tunakuagia nini kama kila siku unarudi kwenu?". Khe! Jamani kaniporomoshea matusi hayo