Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Hao watoto wa juzi mnaowaongelea wengi wao walikuwa 'wasaka tonge' tu. Mkiongelea waliokuwepo kabla 'Mzee' hajastaafu angalau kidogo.
 
Unamaanisha akina Injinia Kengele?

Hao watoto wa juzi
mnaowaongelea wengi wao walikuwa 'wasaka tonge' tu. Mkiongelea
waliokuwepo kabla 'Mzee' hajastaafu angalau kidogo.
 
Mkuu sidhani kama umeshafikia kiwango changu, nilikua nadownload mzigo wa siku tano za week, nauweka kwenye plastick, nkawa naupiga password za kutosha lakini wajomba still walikunywa tu, BLOCK C , a hood to mark
dah,,ndo ilikua maskani mkuu,mwaka wa mwisho nikaotea room block F.
 

Hahaha aha RB nimepiga sana, ikifikaga mida ya bum kukata, watoto wa kike unakuta wamepanga mstari kwa muuza mihogo, ukiwaangalia wanaona aibu kishenzi, wakati huo mi naelekea kwa MAMA KIFUSI, mwokozi wa wanyonge
 
MUNGU ambariki sana mama Kifusi, maana yule mama akikiwekea wali unajaa kama kifusi kweli.
Heshima kwako mkuu, inaonekana maisha ya kupanda na kushuka umekabiliana nayo sana. Kuna watu wengine pale chuo waliishia kula pale shopping complex na hill park.

Hahaha aha RB nimepiga sana,
ikifikaga mida ya bum kukata, watoto wa kike unakuta wamepanga mstari
kwa muuza mihogo, ukiwaangalia wanaona aibu kishenzi, wakati huo mi
naelekea kwa MAMA KIFUSI, mwokozi wa wanyonge
 
Watoto wa juzi wote hao.

Shida yako ulitaka tujue kama umesoma na una ka digrii ulikokapata chini ya mti wa "mdigirii" haya endelea na ushamba wako wa kihaya!

...mkuuu Ghosryder kale kamti ka mdigrii wengine wanakakumbuka kwa kudisco so usikariri maisha teh teh, ingawa hoja yangu nilikuwa namjibu michepuko awataje vijana wa enzi zake kwa kuwa aliowataja PAPAA JIWE kasema ni watoto wa juzi, karibu mjini hapa ndo ubungo mkuu teh teh...
 
Last edited by a moderator:

your prophecy has materialized. Ambrose Evarist Silayo is now the chairman of Rombo District Council
 
dah nikisoma izo majina za wanaharakat naona machozi yakinilenga..

nilibahatika kumkuta alshababu sema dk za mwisho kabla hajatimuliwa...


sasa ivi DARUSO ni mbuzi tuu ..viongozi wenyewe hawajielewi..usipo kuwa kile chama huingii..

MABOKO amekujaje kuwa mtata sasa...
yani ukileta chafya tu barua mezani
 
Odong Kephaselas Odouwar (Odoooooooong!!.....Odouwar) ilikuwa mbungi hiyo uchaguzi DARUSO mwaka 2008.
Odong vs Mlowe, Faustine J. Kasongi etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…