PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 863
- 149
- Thread starter
- #201
Kumbe mahusiano mengine huwa yana agenda za kisiasa. haha
hahhaha mkuu nmecheka Sana hiyo post....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhaha mkuu nmecheka Sana hiyo post....
Kumbe mahusiano mengine huwa yana agenda za kisiasa. haha
Hao watoto wa juzi
mnaowaongelea wengi wao walikuwa 'wasaka tonge' tu. Mkiongelea
waliokuwepo kabla 'Mzee' hajastaafu angalau kidogo.
dah,,ndo ilikua maskani mkuu,mwaka wa mwisho nikaotea room block F.Mkuu sidhani kama umeshafikia kiwango changu, nilikua nadownload mzigo wa siku tano za week, nauweka kwenye plastick, nkawa naupiga password za kutosha lakini wajomba still walikunywa tu, BLOCK C , a hood to mark
Harakati za Udsm zilimtenda vibaya sana Ali Salum Hapi.
Mkuu enzi zangu mwaka wa kwanza pale block c palikuwa panaitwa BBA. Tulikuwa tunaishi na kiume na wa kike mle ndani, sasa kwenye kugawana mabafu na vyoo ndio palikuwa kituko kiaina.
Mkuu unamaanisha kuna wakati ulikuwa unashindwa hata kula RB unaishi kwa mihogo ya mtaani?
Hahaha aha RB nimepiga sana,
ikifikaga mida ya bum kukata, watoto wa kike unakuta wamepanga mstari
kwa muuza mihogo, ukiwaangalia wanaona aibu kishenzi, wakati huo mi
naelekea kwa MAMA KIFUSI, mwokozi wa wanyonge
Heaven on Earth kama influence yangu ilikuwa na kama bado iko tangible njoo PM mkuu
Watoto wa juzi wote hao.
Shida yako ulitaka tujue kama umesoma na una ka digrii ulikokapata chini ya mti wa "mdigirii" haya endelea na ushamba wako wa kihaya!
Oooh!!nimeliona,jina la Makoye, ma school mate, jamaa alikuwa na kipaji cha uongozi!!Huyu ndio Mwita huyu tunayemuona CDM leo hii?
Hakurudishwa. Bado yupo mtaaninasikia al shebibi alirudishwa. Ananikoshaga sauti yake
Nilisikia yupo Udom second yearHakurudishwa. Bado yupo mtaani
Ni list ndefu iliyofukuzwa 2011,
1. Alphonce Lusako (Emekha)
2. Evarist Ambrose Silayo
3.Baraka Monance (kijicho)
4. Mabirika Mawazo (Al-shabab)
5. Helen Philip Mushi (Al-shabibi)
6. Fredy Chacha Hatari
7. Elius Mwambapa
8. Francis Ndunguru
9. Japhet Mwashimaha (Sokwe)
10. Legan Michael
11. Bocasa
na viongozi wa DARUSO kama
1. Daniel Naftal (Waziri wa mikopo)
2. Paul Mkenda (Menyekiti, UDSL)
3. Ado Shaibu (katibu UDSL)
4. Nicodemus Kazimil
na wengine siwakumbuki majina.
Ila ktk list hii nilikuwa namkubali sana Ambrose Evarist Silayo, jamaa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, I can see a future leader in him. Pia akina emekha na wengine wote ni wazuri ktk harakati, but mi nilimkubalisana Silayo.
dah,,ndo ilikua maskani mkuu,mwaka wa mwisho nikaotea room block F.