PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 863
- 149
- Thread starter
-
- #61
Heaven on Earth kama
influence yangu ilikuwa na kama bado iko tangible njoo PM mkuu
Enzi zile super coach Sylersaid Mziray na Joel Bendera ni wakufunzi wa michezo. enzi za hexagonal professor six people in a room. Maji marefu alikua anakaa hall four na room mate wake Freemam Mbowe. chuo kilikua chuo kweli sio sasa
Ni list ndefu iliyofukuzwa 2011,
1. Alphonce Lusako (Emekha)
2. Evarist Ambrose Silayo
3.Baraka Monance (kijicho)
4. Mabirika Mawazo (Al-shabab)
5. Helen Philip Mushi (Al-shabibi)
6. Fredy Chacha Hatari
7. Elius Mwambapa
8. Francis Ndunguru
9. Japhet Mwashimaha (Sokwe)
10. Legan Michael
11. Bocasa
na viongozi wa DARUSO kama
1. Daniel Naftal (Waziri wa mikopo)
2. Paul Mkenda (Menyekiti, UDSL)
3. Ado Shaibu (katibu UDSL)
4. Nicodemus Kazimil
na wengine siwakumbuki majina.
Ila ktk list hii nilikuwa namkubali sana Ambrose Evarist Silayo, jamaa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, I can see a future leader in him. Pia akina emekha na wengine wote ni wazuri ktk harakati, but mi nilimkubalisana Silayo.
yule Rich sijui atakua wapi sasa....
duuuh nilikua enzi za richi mgomo wa elfu 10
aisee alikuja shukuru kawambwa katika high table akakuta maandisha yameandikwa
TUNATAKA ELFU 10
akiongea mawili tu nje ya elfu 10 watu wanaropoka elfu 10
aisee tulichezea kichapo ile siku ya kawambwa nilitoka kucha watu walipoteza simu an much more
Siku ile kauli ya kwanza ya Rich ilikuwa "Kawambwa usilete siasa" hahahah, Rich alikuwa amevaa kimasai masai basi ilikuwa hataree sana.
Kweli rich amepotea sana. Nakumbuka alijiunga CDM bt hasikiki kabisa. Nakumbuka siku aliyomtoa jasho kawambwa
We achaaa kabisa mtoto wa mama leah( Bush ),Kina Mtatiro,Kina David Silinde,Kina D ady Igogo,Odong Odwar,likiitishwa Kunji lazima kinune kwa Maboko na Mkandala,nakumbuka kunji la mwisho na chuo kikafungwa baadhi ya watu wakafukuzwa km Kina Silinde,wazamini walikuwa coca cola Brrrrrr,kunji raha lakini kupewa masaa kutokuwepo chuo balaaaa!.Odooooooong! Halaf tunajibu, Odwaaaaar! Mtatiro na mtoto wa mama Leah (a.k.a. Bush) na Rais wao Deo! Nafkiri Mlowe Pasience hatomsahau Odong Odwar katika maisha yake! So sad that the guy was expelled from the varsity and immediately was taken back to his country - Uganda.
nahisi hakuna viongozi kama wa miaka ile,mbunge alikuwa mbunge,waziri wa mikopo waziri kweli na rais ana act kama rais kweli,ilikuwa raha sana,revolution for changes,solidality forever ndani ya Nkrumah Hall achaaa kabisaaaudsm ilikua enzi zile tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano sijasikia kunji udsm
nahisi hakuna viongozi
kama wa miaka ile,mbunge alikuwa mbunge,waziri wa mikopo waziri kweli na
rais ana act kama rais kweli,ilikuwa raha sana,revolution for
changes,solidality forever ndani ya Nkrumah Hall achaaa kabisaaa
We achaaa kabisa mtoto wa mama leah( Bush ),Kina Mtatiro,Kina David Silinde,Kina D ady Igogo,Odong Odwar,likiitishwa Kunji lazima kinune kwa Maboko na Mkandala,nakumbuka kunji la mwisho na chuo kikafungwa baadhi ya watu wakafukuzwa km Kina Silinde,wazamini walikuwa coca cola Brrrrrr,kunji raha lakini kupewa masaa kutokuwepo chuo balaaaa!.
Mimi namkumbuka kamanda wangu bahati tweve wakati wa mgomo wa kwanza wa bodi ya mkopo mwaka 2005. Rais wa daruso aliogopa kuongoza maandamano lakini tweve akatuhamasisha pale nkurumah tukaanza maandamano tukapigwa mabomu pale mlimani city wakati huo ilikuwa bado mlimani city. Tukarudo chuoni kujipanga tena kila mtu akibeba maji ya viroba tukarudi tena wakatupiga mabomu tena.
Uchaguzi wa daruso uliofuata nao ulikuwa kivutio maana kulikuwa na kambi 2, kambi ya kwanza ilikuwa na mtu anatoka law ambaye alipata support kutoka utawala na ccm akiwemo ridhiwani kikwete, wakati kambi ya pili aliyekuwa anagombea ni mwita mwikabe akipewa support na bahati tweve.
Kambi ya kwanza ilikuwa na hela kwa kampeni zao zilikuwa za kitajiri, wanafunzi wengi walipombeka bure. Wakati upande wa mwikabe support ilikuwa kubwa kwa wanafunzi wenyewe na watu walikuwa na mabadiko ya kweli. Baada ya muda uchaguzi ukafanyika nakumbuka usiku huo kulikuwa na tetesi kuwa kambi ya riz wanataka kuiba kura watu wakaenda kulinda usiku kucha. Mwisho wa siku MWITA MWIKABE akachukua uraisi wa daruso.
Kunji la sheria ya mikopo
ilikua 2004 mkuu, likiongozwa na Tweve. Waziri alikua Dr Pius Ngwa'ndu!
Sitasau kunji lile!
Wana harakati wengi
walikuwa Mangwini lakini cha kushangaza COET ndio walikuwa wanajifanya
wababe wa chuo kisa engeneering ndio kozi ngumu