Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Enzi zile super coach Sylersaid Mziray na Joel Bendera ni wakufunzi wa michezo. enzi za hexagonal professor six people in a room. Maji marefu alikua anakaa hall four na room mate wake Freemam Mbowe. chuo kilikua chuo kweli sio sasa

Malizia chupa ya mwisho ukalalwe
 
Ni list ndefu iliyofukuzwa 2011,
1. Alphonce Lusako (Emekha)
2. Evarist Ambrose Silayo
3.Baraka Monance (kijicho)
4. Mabirika Mawazo (Al-shabab)
5. Helen Philip Mushi (Al-shabibi)
6. Fredy Chacha Hatari
7. Elius Mwambapa
8. Francis Ndunguru
9. Japhet Mwashimaha (Sokwe)
10. Legan Michael
11. Bocasa
na viongozi wa DARUSO kama
1. Daniel Naftal (Waziri wa mikopo)
2. Paul Mkenda (Menyekiti, UDSL)
3. Ado Shaibu (katibu UDSL)
4. Nicodemus Kazimil
na wengine siwakumbuki majina.
Ila ktk list hii nilikuwa namkubali sana Ambrose Evarist Silayo, jamaa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, I can see a future leader in him. Pia akina emekha na wengine wote ni wazuri ktk harakati, but mi nilimkubalisana Silayo.

mkuu sokwe hakufukuzwa. Mkenda na ado shaibu wamerudishwa. Mkenda nimemaliza nae mwaka huu. Kama una mawasiliano na evaristo silayo naomba nipm
 
duuuh nilikua enzi za richi mgomo wa elfu 10

aisee alikuja shukuru kawambwa katika high table akakuta maandisha yameandikwa
TUNATAKA ELFU 10

akiongea mawili tu nje ya elfu 10 watu wanaropoka elfu 10
aisee tulichezea kichapo ile siku ya kawambwa nilitoka kucha watu walipoteza simu an much more
 
Siku ile kauli ya kwanza ya Rich ilikuwa "Kawambwa usilete siasa" hahahah, Rich alikuwa amevaa kimasai masai basi ilikuwa hataree sana.

richi alijitoa muhanga ila nimefatilia jamaa alienda kuwa ticha skonga moja kukawa kuna zengwe hapo kati sijajua vizuri yuko wapi sasa hivi

UNAMJUA KIJICHO??
 
Kweli rich amepotea sana. Nakumbuka alijiunga CDM bt hasikiki kabisa. Nakumbuka siku aliyomtoa jasho kawambwa

nasikia alikujaga kuwa ticha shule flani hivi kanda ya ziwa uko ila alileana zengwe na utawala wa shule

ila sijapata clear info yule mtu yuko wapi
 
Nilikuwepo wakati wa MWITA mwaikabe,Mtatiro,Kisha Mwita Magesa , Ojwang ndo nilikuwa namaliza bila kumsahau Bush na mikwara yake
 
Namkumbuka dr Bakari,Prof Harubu Othman, Bashiru Ally na Mzee wa kukamata Dr M. Kamata, heshima kwao kwangu wanabaki Kuwa wanaharakati wa ukweli katika kulikomboa taifa hili.
 
Mimi namkumbuka kamanda wangu bahati tweve wakati wa mgomo wa kwanza wa bodi ya mkopo mwaka 2005. Rais wa daruso aliogopa kuongoza maandamano lakini tweve akatuhamasisha pale nkurumah tukaanza maandamano tukapigwa mabomu pale mlimani city wakati huo ilikuwa bado mlimani city. Tukarudo chuoni kujipanga tena kila mtu akibeba maji ya viroba tukarudi tena wakatupiga mabomu tena.

Uchaguzi wa daruso uliofuata nao ulikuwa kivutio maana kulikuwa na kambi 2, kambi ya kwanza ilikuwa na mtu anatoka law ambaye alipata support kutoka utawala na ccm akiwemo ridhiwani kikwete, wakati kambi ya pili aliyekuwa anagombea ni mwita mwikabe akipewa support na bahati tweve.

Kambi ya kwanza ilikuwa na hela kwa kampeni zao zilikuwa za kitajiri, wanafunzi wengi walipombeka bure. Wakati upande wa mwikabe support ilikuwa kubwa kwa wanafunzi wenyewe na watu walikuwa na mabadiko ya kweli. Baada ya muda uchaguzi ukafanyika nakumbuka usiku huo kulikuwa na tetesi kuwa kambi ya riz wanataka kuiba kura watu wakaenda kulinda usiku kucha. Mwisho wa siku MWITA MWIKABE akachukua uraisi wa daruso.
 
Mimi nilikuwa namkubali yule dada makamu wa rais anaongea kama mchungaji mama rwakatale enzi za mwita magesa.....
 
Odooooooong! Halaf tunajibu, Odwaaaaar! Mtatiro na mtoto wa mama Leah (a.k.a. Bush) na Rais wao Deo! Nafkiri Mlowe Pasience hatomsahau Odong Odwar katika maisha yake! So sad that the guy was expelled from the varsity and immediately was taken back to his country - Uganda.
We achaaa kabisa mtoto wa mama leah( Bush ),Kina Mtatiro,Kina David Silinde,Kina D ady Igogo,Odong Odwar,likiitishwa Kunji lazima kinune kwa Maboko na Mkandala,nakumbuka kunji la mwisho na chuo kikafungwa baadhi ya watu wakafukuzwa km Kina Silinde,wazamini walikuwa coca cola Brrrrrr,kunji raha lakini kupewa masaa kutokuwepo chuo balaaaa!.
 
udsm ilikua enzi zile tunapinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo siyo sasa. nina mwaka wa tano sijasikia kunji udsm
nahisi hakuna viongozi kama wa miaka ile,mbunge alikuwa mbunge,waziri wa mikopo waziri kweli na rais ana act kama rais kweli,ilikuwa raha sana,revolution for changes,solidality forever ndani ya Nkrumah Hall achaaa kabisaaa
 
nahisi hakuna viongozi
kama wa miaka ile,mbunge alikuwa mbunge,waziri wa mikopo waziri kweli na
rais ana act kama rais kweli,ilikuwa raha sana,revolution for
changes,solidality forever ndani ya Nkrumah Hall achaaa kabisaaa

enzi za mtungirehi. foe walikuwa hawampendi. waliwahi kumshusha high table nkrumah kwa kichapo chuo kikafungwa.
 
We achaaa kabisa mtoto wa mama leah( Bush ),Kina Mtatiro,Kina David Silinde,Kina D ady Igogo,Odong Odwar,likiitishwa Kunji lazima kinune kwa Maboko na Mkandala,nakumbuka kunji la mwisho na chuo kikafungwa baadhi ya watu wakafukuzwa km Kina Silinde,wazamini walikuwa coca cola Brrrrrr,kunji raha lakini kupewa masaa kutokuwepo chuo balaaaa!.

Hahahaaaa dah! Umenikumbusha mbali sana hiyo ya udhamini wa coca cola aisee.Nilikuwa kwenye mdigrii natokea SR rooms naenda zangu UCC nichukue basi maana shuttle zilikuwa hamna.Ndipo jamaa shughuli ilipoanza huku revo square

Bila kunji basi ujue huo mwaka hauna raha,yani mwaka hauishi bila watu kukutana revo square.Siku hizi DARUSO inawekwa na Utawala ndio maana hakuna makunji,na watoto wa siku hizi hawa wa division V wana akili za kushikiwa
 
Wana harakati wengi walikuwa Mangwini lakini cha kushangaza COET ndio walikuwa wanajifanya wababe wa chuo kisa engeneering ndio kozi ngumu
 
Mimi namkumbuka kamanda wangu bahati tweve wakati wa mgomo wa kwanza wa bodi ya mkopo mwaka 2005. Rais wa daruso aliogopa kuongoza maandamano lakini tweve akatuhamasisha pale nkurumah tukaanza maandamano tukapigwa mabomu pale mlimani city wakati huo ilikuwa bado mlimani city. Tukarudo chuoni kujipanga tena kila mtu akibeba maji ya viroba tukarudi tena wakatupiga mabomu tena.

Uchaguzi wa daruso uliofuata nao ulikuwa kivutio maana kulikuwa na kambi 2, kambi ya kwanza ilikuwa na mtu anatoka law ambaye alipata support kutoka utawala na ccm akiwemo ridhiwani kikwete, wakati kambi ya pili aliyekuwa anagombea ni mwita mwikabe akipewa support na bahati tweve.

Kambi ya kwanza ilikuwa na hela kwa kampeni zao zilikuwa za kitajiri, wanafunzi wengi walipombeka bure. Wakati upande wa mwikabe support ilikuwa kubwa kwa wanafunzi wenyewe na watu walikuwa na mabadiko ya kweli. Baada ya muda uchaguzi ukafanyika nakumbuka usiku huo kulikuwa na tetesi kuwa kambi ya riz wanataka kuiba kura watu wakaenda kulinda usiku kucha. Mwisho wa siku MWITA MWIKABE akachukua uraisi wa daruso.

Kunji la sheria ya mikopo ilikua 2004 mkuu, likiongozwa na Tweve. Waziri alikua Dr Pius Ngwa'ndu! Sitasau kunji lile!
 
Tupeni habari za kina Zzk, kina Kitila na Kina Bashiru Ally a.k.a rais wa Off Campus

Kunji la sheria ya mikopo
ilikua 2004 mkuu, likiongozwa na Tweve. Waziri alikua Dr Pius Ngwa'ndu!
Sitasau kunji lile!
 
Coet
walisaliti sana mgomo wa kudai ongezeko la pesa, ile 7500 haina mkono
wa Coet kabisa, wao walikuwa wanajifungia pale ndani kwao wakiwa na
kamgomo gao ka jamaa aliyedisco. Hawakuunganisha nguvu kudai pesa wala
nini.

Ardhi nao wakatuambia siku ya ruti tuwapitie pale kwao, tulipopita hakuna aliyejiunga hata mmoja, kazi yao ilikuwa kuturushia maji nje wakati tukipigwa mabomu.

Silu kawambwa kapandishwa pale swimming pool coet wako ndani ya uzio
wanachungulia, mwisho wa siku coet wote wakaondolewa chuo na college
zingine wakaongezewa pesa.

Wana harakati wengi
walikuwa Mangwini lakini cha kushangaza COET ndio walikuwa wanajifanya
wababe wa chuo kisa engeneering ndio kozi ngumu
 
Back
Top Bottom