Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Deo siku hizi yuko utawala IFM pale.

 
Sayuni unaonekana hukuvuma lakini umo. Kuna dada mmoja alikuwa anaanzisha wimbo wa Taifa pale Rev Square, yule dada alikuwa jasiri sana.

Ndo alishabibi huyo yani mdada alikuwa jasiri yule kah yani sijapata ona kuanzia rev square mpaka block g mabibo hostel nilikuwa si miss aisee na kuna siku rev sguare watu wanaongea pale heeh acha lipite gari la wajeda.palichimbika sio wanaoongea wala wasikilizaji sekunde pakawa peupe aisee hizo moment nilikuwa nazipendaga hatari
 
si ndo ALISHABIB hiv unajua alikua halipi nauli kwenye shato hahaah yule dada

Alishabibi kiboko aisee sijui alishaishia wapi aisee akianza kufatilia vitu hadi kuanzia wana usafi haogopi kitu yule noma sijui aliishilia wapi
 
Sitasahau Ali Salum alivyotaka kuongoza mapinduzi, akatupandikiza chuki dhidi ya Rais Saimon Mathius Kipara, watu tukapiga ruti za ndani, ila siku Kipara alipojitokeza rev square, tukaanza kumshangilia na kumbeba.

Kipara alikuwa na waziri mkuu mpiganaji sana. Mh Paul Chacha.

 
...weka basi wa kwako we michepuko...

Shida yako ulitaka tujue kama umesoma na una ka digrii ulikokapata chini ya mti wa "mdigirii" haya endelea na ushamba wako wa kihaya!
 

Hahahaaa hii ya kula kwa coupon naikumbuka baadae wakaambiwa walipe na majina yao yakabandikwa pale utawala na baada ya ule mgomo tukapewa boom in advance.
 
huyu kamata sitamsahau alinisumbua sana ir 222

Namkumbuka sana Dr Osoro. Dr Amani. Dr Kasungu. Dr Mbago Dr Anna Tibaijuka. Dr. Mtatifikolo. bw Karamagi wote sasa nasikia ni ma Professor. Yule wa jikoni bw Chitanda na hall manager wa hall Three na hall one bw. Ali. Dr. lipumba daa those were the days. ukitaka kuondoa uhanga una import KCC kutoka Mwenhe au Ubungo unampa exile room mate wako. enzi zile ni chumba watu wawili hata kiwe kile kikubwa cha hall five. walimu waliokua na magari walikua wanahesabika kama Costa Mahalu. dr Lyakurwa. Dr. masuha. Dr Suleiman Ngware wa Ds. wengine wengi ni uda na daladala.... Siku hizi eti na madenti wanaendesha.......
 
Nikipata muda ntaliongea hili siku moja ila kwa kifupi ccm wamezima ndoto nyingi za watoto maskini pale UD hasa Prof Sympo A womanizer in the campus.
 
Daah. Yaani kati ya wanawake jasiri Helen(AISHABIB) nae alikuwa namba 1. Ningekuwa na uwezo ,na pia angenikubali tungeoana.
 
Huyo Prof. Suleiman Ngware ana mkwara sana, anasema ukiona gari yake inakatisha maeneo ya Tandale, Manzese au Mwananyamala toa taarifa Polisi, maana hiyo gari itakuwa imeibiwa. Eti yeye hawezi kabisa kupita maeneo ya uswahilini, hahaha

 
Mkuu, wewe hukutumia fursa ya kuponi?

Hahahaaa hii ya kula
kwa coupon naikumbuka baadae wakaambiwa walipe na majina yao
yakabandikwa pale utawala na baada ya ule mgomo tukapewa boom in
advance.
 
Kuna kijana mmoja alisema 'Nyie madogo wa first year msitishike....chuo kikuu cha dar es salaamu hakufukuzi mtu. Inakufukuza GPA'
Na kweli yule kaka hakufukuzwa wakati alikuwa kinara kwenye migomo na wenzie kina alshabab walifukuzwa. Nimemuona hadi mwisho anamaliza duuh
 

Huyo atakuwa rich (Biggie) kama sijakosea
 
Nikipata muda ntaliongea hili siku moja ila kwa kifupi ccm wamezima ndoto nyingi za watoto maskini pale UD hasa Prof Sympo A womanizer in the campus.

Unamwongelea profetha Mkanda ---Lah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…