Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia Tanzania ya namna hii.