Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

Nilivuliwa mzura nikaembiwa niende mbele kidogo nijisaidie lakini nlishindwa maana walikuwa wananiangalia huku wananiwekea mtutu ,wakanipiga huku wakinilazamisha nitaje kina nani wananituma ,kwakuwa nilikuwa napigwa sana ikabidi niwataje kina Boni yai na Masese ndiyo kipigo kikapungua.
Wanamtuma kufanya nn ss?
Duhaana ht simjui, kwani Huwa anafanya nn? Au kuikosoa serikali?
 
Walikosea sana kutaka kumuua lakini kumbe dogo nae mshenzi mshenzi sana mitusi mikubwa hivyo kama hujazaliwa umeokotwa bhana adabu gani hiyo hata akionyeshwa yeye mwenyewe ataona aibu

Nb, siungi mkono matukio ya utekaji.
Kwani kipande cha matusi yake ulikisikiliza?

Mi nimesikia mwenyewe akisema kuwa wale watu(Polisi) walikuwa wakimporomoshea matusi yasiyoandikikia!

Sa'mtukanaji amekuwa ni yeye tena!
 
Watu wengi walitekwa wakati wa Nyerere kuliko wakati wa marais wengine wote combined!

There is a reason why anaitwa Baba wa Taifa. Mambo yote, ya kila nyanja ya utawala na mahusiano ya kijamii, ya nchi hii, yameasisiwa na Baba wa Taifa.

Baba wa Taifa aliteka mpaka mawaziri. Julius Nyerere ndio anajua alipo Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga.

Mara ya mwisho kuonekana hadharani Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga alionekana kapigwa pini na mapolisi viwanja vya mnazi mmoja anatukanwa na Julius Nyerere



View attachment 3066545
Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga, mwenye miwani katikati ya mapolisi watatu, nyuma ya watoto wawili, siku ya mwisho ya uhai wake. Mkutano huu ulipoisha aliondoka na mapolisi wa Nyerere, hakuonekana tena milele na milele...
Kwa maelezo niliyoyapata juu ya kisa hiki ni kwamba kutenguliwa kwa Hanga lilikuwa ni shinikizo toka kwa Rais wa Zanzibar Karume Sr, kuwa kama Nyerere anataka Muungano uendelee kuwa na afya basi amfukuze,kumkamata na kumrejesha Hanga Zanzibar.

Nyerere alielewa nia ovu ya Karume Sr, lakini kutokana na hayo wanaita 'maslahi ya kisiasa' akamrejesha Zanzibar alikofika na kuuawa bila kushitakiwa.

Si Kassim Hanga pekee aliyefanyiwa unyama huo, ni viongozi wengi sana kwenye utawala wa Karume Sr, waliuawa kwa mtindo huu wa 'kupotezwa'.

Kwa huku bara, waliompinga Nyerere waliishia kuswekwa vizuizini, wengine kufia humo jela ama kutoka wamezeeka.
 
..Kati ya mwaka 1964 na 1971,Khassim Hanga, Idris Abdalah Majura, Abdul Aziz Twala, Mdungi Ussi, Saleh Sadalah, Jaha Ubwa, Juma Ringo, Othman Sharif, na wengine, walikamatwa na vyombo vya dola vya Zanzibar, na hawajapatikana mpaka leo hii.
IBILISI Nyerere huko aliko sasahivi anachomeka tu kama kuni, yule muhuni hastahili kukumbukwa kwa lolote.
 
..Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, na RPC wawili, wanatakiwa kuwajibikaji kwa kilichomtokea Sativa.

..Huyo kijana alishikiliwa ktk vituo viwili vya Polisi, ktk mikoa miwili, haiwezekani jeshi la Polisi lishindwe kubaini kilichokuwa kikiendelea.
Aisee
 
Sa'mtukanaji amekuwa ni yeye tena!
Taratibu mkuu wewe umewahi kuziona post za huyo jamaa? Ushahidi wa maandishi ni mbaya sana kuliko wa mdomo huamini pia? Nikikutukana hapa kila mtu ataona,
Lakini tukikutana mtaani tukatukanana weee na hata ndonga mbili tatu ni nani atakua na ushahidi mkubwa wa kuhukumiwa hapo?
 
Taratibu mkuu wewe umewahi kuziona post za huyo jamaa? Ushahidi wa maandishi ni mbaya sana kuliko wa mdomo huamini pia? Nikikutukana hapa kila mtu ataona,
Lakini tukikutana mtaani tukatukanana weee na hata ndonga mbili tatu ni nani atakua na ushahidi mkubwa wa kuhukumiwa hapo?
Sijawahi kuziona hizo post miye.
 
Sijawahi kuziona hizo post miye.
Ahaaa, dah basi mkuu kama hazijafutwa nenda kaziangalie huko Twiter yule dogo anaweza kuwa kweli ana sababu nzuri ila jinsi ya kuziwakilisha ilikua mbaya sana yale hayakua matusi ilikua mitusi ile mizito mizito kwa watawala wa Afrika hakuna wa kumvumilia ingawa napinga sana sana alichofanyiwa ila dogo hakua mstaarabu hata kidogo
 
1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia Tanzania ya namna hii.
Jana nilipoona hii thread sikutaka ku-commend kwa sababu nilishangaa kuona hili swali ni episode gani inagusa zaidi. Swali langu kwa mleta mada, hivi kuna episode ambayo ni nafuu kwa mtu aiyetekwa? Kwanza mtu akiwa mikononi mwa polisi tu inaanza kutia shaka moyo wako, sasa hii ya kutekwa!
 
Kulikuwa na tetesi nyingi za utekaji, unaosingiziwa serikali kuhusika, kumbe ni watu tu wenye mamlaka kama polisi na jeshi ndio walikuwa wakifanya huu ujinga,
Inaonekana hivi vitendo vilikuwa vinafanyika sana, ni sasa ndio tumeaanza kuona kwenye vyombo vya habari
Watu wakidhulumiana wanatekana,
Mambo ya mke mme wa mtu nayo wanatekana...
Nchi inazidi kuchangamka

Ova
 
Jana nilipoona hii thread sikutaka ku-commend kwa sababu nilishangaa kuona hili swali ni episode gani inagusa zaidi. Swali langu kwa mleta mada, hivi kuna episode ambayo ni nafuu kwa mtu aiyetekwa? Kwanza mtu akiwa mikononi mwa polisi tu inaanza kutia shaka moyo wako, sasa hii ya kutekwa!
Sema kwa zile tweets,zake za lugha kali lazima ilikuwa anaingia
Kwenye 18 za wale 😄

Ova
 
Pia usigombane na serikali yako. Huu ni ukweli uliopo tangu zamani.
Huko sasa ni kuwafanya wajione miungu watu.

Mapande yao lazima wapewe, wao wenyewe wanajijua ni slow thinkers.

Ugomvi mwingine inawachukua muda kuelewa ohoo kumbe angle hii atukutazama.

Sasa bila ya kukosoana nao watajuaje?

They know legit criticisms, achana na machawa wa hovyo ya JF. Sio kila mtu lazima akuelewe JF wachangiaji wanapishana perception.
 
Sema kwa zile tweets,zake za lugha kali lazima ilikuwa anaingia
Kwenye 18 za wale 😄

Ova
Uki analyse vizuri utaona hilo genge linapewa amri toka juu maana lenyewe halikuwa sure jamaa kakosa nini ila pia inaweza kuwa mamlaka ya mkoa hasa rejea swali aliloulizwa we una duka kariakoo?
 
Back
Top Bottom