Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Watu wengi walitekwa wakati wa Nyerere kuliko wakati wa marais wengine wote combined!It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia Tanzania ya namna hii.
Mmmmh hadi huruma yaani. Kumbe Nyerere naye alikuwa mtu wa hovyo sana.Watu wengi walitekwa wakati wa Nyerere kuliko wakati wa marais wengine wote combined!
There is a reason why anaitwa Baba wa Taifa. Haya mambo yote yameasisiwa na baba wa Taifa.
Julius Nyerere aliteka mpaka mawaziri. Julius Nyerere ndio anajua alipo Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga.
Mara ya mwisho kuonekana hadharani Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga alionekana kapigwa pini na mapolisi viwanja vya mnazi mmoja anatukanwa na Julius Nyerere
View attachment 3066545
Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga, mwenye miwani katikati ya mapolisi watatu, nyuma ya watoto wawili, siku ya mwisho ya uhai wake. Mkutano huu ulipoisha aliondoka na mapolisi wa Nyerere, hakuonekana tena milele na milele...
Aiseeeee inahuzunisha Sana sanaAnaweza kukuelewa kwanini unamuuliza haya maswali?
Inasikitisha ni kwa namna gani binadamu mwenye 18+ anashindwa kuelewa vitu basic kama hivi.
Utashangaa wanavyompaka Rangi awe mtukufu na kumfanya mfano wa kuigwa.Watu wengi walitekwa wakati wa Nyerere kuliko wakati wa marais wengine wote combined!
There is a reason why anaitwa Baba wa Taifa. Haya mambo yote yameasisiwa na baba wa Taifa.
Julius Nyerere aliteka mpaka mawaziri. Julius Nyerere ndio anajua alipo Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga.
Mara ya mwisho kuonekana hadharani Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga alionekana kapigwa pini na mapolisi viwanja vya mnazi mmoja anatukanwa na Julius Nyerere
View attachment 3066545
Waziri Mtenguliwa Kassim Hanga, mwenye miwani katikati ya mapolisi watatu, nyuma ya watoto wawili, siku ya mwisho ya uhai wake. Mkutano huu ulipoisha aliondoka na mapolisi wa Nyerere, hakuonekana tena milele na milele...
Mimi sija justify kitu alichofanyiwaNdio police watumie upolisi wao na resources za jeshi la Polisi kumfanyia aliyofanyiwa?
Kulikuwa na tetesi nyingi za utekaji, unaosingiziwa serikali kuhusika, kumbe ni watu tu wenye mamlaka kama polisi na jeshi ndio walikuwa wakifanya huu ujinga,Kwa hiyo nawe bwanako akimgigida mdada utatumia nafasi yako kufanya kama hivi!!???
Pole sana kwa kuwa na uwezo huo ulionao.
Mmmmh hadi huruma yaani. Kumbe Nyerere naye alikuwa mtu wa hovyo sana.
Hapo wenye miwani ni 3. Kassim Hanga ni yupi? Au huyo asiye na kibaraghashia?
Na hao watoto na huyo mwanamke aliyejiinamia akionekana kuwa na majonzi ni familia ya Kassim Hanga? ππ
Mimi sija justify kitu alichofanyiwa
Nakataa kwamba huyo mbuzi alikuwa anakosesha usingizi CCM, mpaka wamteke, kuna ujinga alifanya hawezi kuusema
Hata primary ya bongo sikumalizaKwani form 1 ulimaliza kweli maana sio kwa ushamba huu na hizo wifi za kugongea
Anayepaswa kuhakikisha hivyo vitendo vinakomeshwa ni nani kama sio Serikali!!??Kulikuwa na tetesi nyingi za utekaji, unaosingiziwa serikali kuhusika, kumbe ni watu tu wenye mamlaka kama polisi na jeshi ndio walikuwa wakifanya huu ujinga,
Inaonekana hivi vitendo vilikuwa vinafanyika sana, ni sasa ndio tumeaanza kuona kwenye vyombo vya habari
Bila ya wale wajinga wabakaji wasingejirekodi au kuvujisha hio clipAnayepaswa kuhakikisha hivyo vitendo vinakomeshwa ni nani kama sio Serikali!!??
Jukumu la kwanza la serikali yeyote ni ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Kama serikali inasema ni drama tuu hizo, kwa nini tusiamini kuwa ni yenyewe ndiyo inahusika!!??
..Kati ya mwaka 1964 na 1971,Khassim Hanga, Idris Abdalah Majura, Abdul Aziz Twala, Mdungi Ussi, Saleh Sadalah, Jaha Ubwa, Juma Ringo, Othman Sharif, na wengine, walikamatwa na vyombo vya dola vya Zanzibar, na hawajapatikana mpaka leo hii.,
Duuuuh, siku ya hukumu mbele ya Mwenyezi Mungu kuna watu watakuwa na kazi nzito ya kujibu mashtaka dhidi yao.πππ..Kati ya mwaka 1964 na 1971,Khassim Hanga, Idris Abdalah Majura, Abdul Aziz Twala, Mdungi Ussi, Saleh Sadalah, Jaha Ubwa, Juma Ringo, Othman Sharif, na wengine, walikamatwa na vyombo vya dola vya Zanzibar, na hawajapatikana mpaka leo hii.