username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
Kwa waliosoma Alpha high school 2012-2014 bila shaka watakuwa wanafahamu balaa la hawa jamii wawili Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge ambao walikuwa wanasoma EGM.
Jamii walikuwa wanapiga mabanda ya hatari sana,walikuwa wanafumuana sana,, utakuta matokeo yao yapi hivi , Sunday Mwakipagala (Economics 98 Geography 94,Pure Maths 100), ukija kwa Henry (Economics 97, Geography 98,Maths 100), wanaofatia nyuma wanawaacha mbali sana ,utakuta average 70 huko kushuka chini wakati wao wana average 90+ .
Pure Maths walikuwa wanaifumua kuliko walikuwa wanasoma PCM.
Tokeo la mwisho la taifa Sunday alikuwa wa 6 kitaifa ila kwa wanafunzi wanaochukua EGM yeye ndio alikuwa wa kwanza kitaifa.
Henry hakuingia top ten kitaifa ila alipiga one kali .