Kwa waliosoma Alpha, Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge hawa jamaa walisumbua sana

ACCA, ACPA Sunday sausi mwakipagala kijana wangu kabisa. Mzee wa Canada. Nilipoteana nae yapata 2 years sasa ila alikua canada. Jamaa ni auditor huyo na fundi kweli kweli mpaka kesho. Aliibuka top student pia kwenye ACCA results 2020. Kijana machachari. Fundi mpaka leo. Yaani kiufupi huyo ndio reginald Mengi wa Leo.
Ila Henry na Sunday hakukuwa na mnyonge kati yao ,ilikuwa ilikuwa pita nikupite na hawazidiani maksi zinazozidi tano na sijawahi kuona wameshuka chini ya 90
 
Swali zuri mno, wana sema one might be good at answering selected number of questions.

Ila ukija kwenye application ya ujuzi husika, mty ni mweupe.
Achilia mbali hawa Kuna wengine nimewaanzishia uzi,Calvin Marambo, Simon mbangalukela nk unajua wapo wapi kwa sasa
 
Wewe achana na elimu ya makaratasi..

Tuambie SASA hivi kupitia hiyo math wamebuni mifumo gan kutatua changamoto kwenye jamiii.

Kupitia hiyo economics wamesolve nn kwenye jamiii...??

wa Tanzania na A zao za mathematics ni mawinga kariakoo , waarabu wanasoma Quran tu, wapo rufiji wanatujengea bwawa na kubeba ma trilioni yetu ya fedha.

elimu ya makaratasi imetuharibu kwa sifa za kijinga
 
Upo sahihi.
 
Wengi wao waliosoma shule hizo wako fiti na ni watu wana connection zao. Kufika ulaya nayo ni moja ya connection ndugu.
Mimi nilifika ulaya kwasababu ya connection ila marehemu baba yangu hakua na connection yyte zaidi ya huyo mtu aliyenipeleka na ndio huyo huyo, haijalishi nilifanya nini nilipofika. Sasa those top students wote wa shule hizi. Wote wakofiti. Nawafahamu wengi sana.
Pamoja na kuwa fit.... .. wataje top 10 na mimi nikutajie top 10 wangu tena 5 watatoka pale kwenye vipodozi saba saba .........uone kama hayo matope sijui matop ya feza au shilingi si lolote kwenye somo la kutoboa maisha...........kusoma shule nzuri ni bahati.......ila kutoboa kimaisha ni zaidi ya bahati zingatia
 
Martin Chegere,Mohamed Ali,Magreth Kakoko, Moses JohnBosco, Moses Swai , Rosalyn Tandau,Faith Asenga,Moses Swai ,Haji Gonga,Hassan Gwaay, Sarafina Mariki

Calvin Marambo,huyu hakuwa T.O ila balaa lake linajulikana na kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate
 
hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.

na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
 
Waweza kuta wapo hapa hapa mjini na wamefungua biashara lakini ni car wash..........au sehemu ya kuuza urembo wa bajaj .........cha kujiuliza zile A± zilifanya nini unabaki kushangaa sijui ni hiki chama cha manjano au buluu .........laana hizi
Pumbafu kabisa wewe unadhani urembo wa bajaji haulipi mbona dharau za waziwazi
 
hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.

na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Kwani ma t.o wote lazima wawe wahandisi?
 
hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.

na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Unamuwaza Diamond
 
Martin Chegere,Mohamed Ali,Magreth Kakoko, Moses JohnBosco, Moses Swai , Rosalyn Tandau,Faith Asenga,Moses Swai ,Haji Gonga,Hassan Gwaay, Sarafina Mariki

Calvin Marambo,huyu hakuwa T.O ila balaa lake linajulikana na kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate
Mbona kuna T.O yupo ofisi fulani namjua kabisa na anaishi kawaida tu.... hata pale kkoo kuna mtu anaduka lake la perfume tu na anamkwanja kinoma.......yaani anampita mpaka yule T.O kwa maisha .............kwani T.O ndio nafuu ya maisha ?? Acheni uzwazwa na kukalili maisha
 
Back
Top Bottom