mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Wewe bado hujajua uhalisia wa maisha ukoje bado una ushabiki ule wa shule/darasani.Acha basi, unabishana, kweli yyte hata ww unaweza ila yeye elimu yake pia imemuweka hapo alipo. Asingesoma tusingemtaja hapa.
You cant see things out of the box,elimu yako imeishia hapo unadhani mtu akitumia vyeti kuajiriwa akawa analipwa mshahara wa milioni 2 ndio tayari amepata achievement.