zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hongera zakoHongera zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zakoHongera zake
Aisee you make me laugh, okay, upo nje ya mada, ila unayoyasema ni yako, wenzako tunaendelea kupata vichenchi pambana ufungue logistic body yako.Nipo kweny field kiasi ambacho najua kila step ,najua kutumia mifumo yote kama Single window ,tancis nikiwa na account kabisa..
Wewe huna wala hujui ,mnapiga na maagent hawa wa clearing ans forwarding🤣🤣🤣..Hii ndip elimu sio kutumia mtu kati ,najua in incoterms zote ili kufanya negotitions...Hao wa kariakoo si unasikia wanalia huko mizigo hawaipati hata kufanya tracking hawajui 🤣🤣
Yule ameamua awe hivyo na inamlipa hiyo kazi yake. Na serikari Mara nyingi imemhitaji anakataa.Sijipi moyo ndio hali halisi. Mtafute mtu anaitwa Nannauka ni motivational speaker then fuatilia record yake shuleni.
Kama wewe ni daktari lazima utumie watalaamu na hapo mtajikuta mnagawana pesa kwa hujania maana mengi hamjui zaidi ya kuhesabu faida.Aisee you make me laugh, okay, upo nje ya mada, ila unayoyasema ni yako, wenzako tunaendelea kupata vichenchi pambana ufungue logistic body yako.
Sijipi moyo ndio hali halisi. Mtafute mtu anaitwa Nannauka ni motivational speaker then fuatilia record yake shuleni.
Nina mashaka na jinsia yako Diamond atakupiga dudu shauriyako wewe shoboka tu, uzi unazungumzia mengine wewe unaingiza ushubwada mwingine ndio maana Trump akasema atawashughuulikiabado hawamfikii hata Diamond platnumz.
Negative mind, Elimu inakupa kikubwa zaidi ya hicho unachofikiria.hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.
na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Umezaliwa 1993-2008=15years kwamba umemaliza advance na miaka 15 mkuu mwaka 2008-2025=17years🤔hii chai😁almost 17 years ago
Unashida mahali🤔ulitaka wapate alama za chini kama wewehawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.
na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Ndio hesabu zako zinavyokutuma?Umezaliwa 1993-2008=15years kwamba umemaliza advance na miaka 15 mkuu mwaka 2008-2025=17years🤔hii chai😁
And this's the difference between an educated person and one who is uneducated, na Kingine hawa ambao hawajasoma huwa wanasumbulia na wivu, chuki na husuda kwa wasomiWatu wengi wanaotoboa kupitia elimu huwa hawana kelele kama ambao wametoboa kwa hustle za mtaani. Ni kweli mfumo wetu wa elimu una changamoto lakini sio kwa kiwango ambacho tunawanyanyapaa wasomi wetu.
Nina washkaji zangu nimesoma nao o-level pale azania secondary na wengine nimesoma nao a-level mzumbe morogoro. Wapo vizuri na hawana fujo
kwenye jamii yetu kuna watu wengi ambao hawajasoma wanaishi maisha ya kifukara na pale tunapojaliwa kupata chochote tunawasaidia bila masimango ila hawa wakina doto magari sasa akiliotea dili moja tu halafu apate nafasi ya kuhojiwa ni matusi tu kwa wasomi.
Labda waliopata A shuleni kwenu. Vipanga niliosoma nao karibu wote wako fit kiuchumi. Yaani wanakimbiza hata kwenye maisha ya mtaani.Ukikua utagundua bongo anayepata A na anayepata D mtaani hawana tofauti. Wote wanakua machawa na motivation speakers. Hatujui kutumia raslimali akili.
Sasa Nanauka kafulia? Hujui kuwa jamaa ni Dr toka Chuo Kikuu kikubwa Marekani. Usimchukulie poaSijipi moyo ndio hali halisi. Mtafute mtu anaitwa Nannauka ni motivational speaker then fuatilia record yake shuleni.
Hapo inategemeana na lengo lake lilikua lipi, na kama ni kazi tayari hiyo achievement kwake.Wewe bado hujajua uhalisia wa maisha ukoje bado una ushabiki ule wa shule/darasani.
You cant see things out of the box,elimu yako imeishia hapo unadhani mtu akitumia vyeti kuajiriwa akawa analipwa mshahara wa milioni 2 ndio tayari amepata achievement.
Maskini punguza hasirahawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.
na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Ila statement inayo sema "WaTanzania tuna wivu sana" aisee... Nimeamini.Una shida pahali, sijahype chochote nimuhype kweli sunday, nisimuhype nsekelah au kilongola au mengi kweli.
Kuhusu nje, hamna mtu wala comment yangu iliyosema mtu anashindwa kwenda nje. Ndio maana hata niliyemjibu nimemjibu kweli madunga embe yapo, ila idadi kubwa watu hutoka nje kutafuta rdhki, sijaweka limitattion who can go, ila connection tu, na ndio ambayo itakupa wewe muongozo au sababu ya wewe kufika nje. Huwezi toka mikocheni, out of nowhere eti mimi naenda ulaya au south africa kuanza maisha. Tena bora south sio mamtoni.
Jibu la mishahara, pia hatujaliongelea hapa, sijui wewe umelitoa wapi, hata sunday tumemuongelea ufaulu wake, na wapi alipo sasa. Mshahara sawa bongo watu wana pesa saaaana. Kwani sisi pia si wabongo tunaishi nao humu. Hata mtaani wapo vipanga.
Come with something what's your point?
Wengi wao waliosoma shule hizo wako fiti na ni watu wana connection zao. Kufika ulaya nayo ni moja ya connection ndugu.
Mimi nilifika ulaya kwasababu ya connection ila marehemu baba yangu hakua na connection yyte zaidi ya huyo mtu aliyenipeleka na ndio huyo huyo, haijalishi nilifanya nini nilipofika. Sasa those top students wote wa shule hizi. Wote wakofiti. Nawafahamu wengi sana.
😂😂😂Ila statement inayo sema "WaTanzania tuna wivu sana" aisee... Nimeamini.
Yeah kwa upeo wake ni achievement tayariHapo inategemeana na lengo lake lilikua lipi, na kama ni kazi tayari hiyo achievement kwake.