Nimekupa jina umetafuta? Vile unalazimisha kila mtu kumjua 😀 😀 😀 Sasa Fernandes kaleta kitu kina athari mpaka huku , akiwa na matawi kadhaa hata hapo kenya.
Fernandes kwao sio njaa kama nyie mliyebaki nje , mzee ana pesa ni muhubiri wa kikristo , wana makazi yao pangani , Tanga kama ulikuwa humjui . Alienda kenya baada ya kupata ugumu wa kusajili kampuni yake hapa bongo.
Mfano : Yuko mwingine alipiga sana japo sio TO alienda kusoma nje , akitokea chuo cha Mkwawa ila sasa yuko bongo , kariakoo alipata mtaji anafanya biashara nyingine, ishu ya kwenda nje mbona kawaida sana ..Tatizo ulichosomea umekiendeleza.