mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Kwenda Ulaya sio achievement,unatakiwa utumie elimu yako kutatua changamoto za jamii iliyokuzunguka.Wengi wao waliosoma shule hizo wako fiti na ni watu wana connection zao. Kufika ulaya nayo ni moja ya connection ndugu.
Mimi nilifika ulaya kwasababu ya connection ila marehemu baba yangu hakua na connection yyte zaidi ya huyo mtu aliyenipeleka na ndio huyo huyo, haijalishi nilifanya nini nilipofika. Sasa those top students wote wa shule hizi. Wote wakofiti. Nawafahamu wengi sana.
Sasa ingekuwa wazungu nao wanakimbia nchi zao unadhani wangefikia hayo maendeleo unayoyaona?