Kwa waliosoma Alpha, Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge hawa jamaa walisumbua sana

Aisee you make me laugh, okay, upo nje ya mada, ila unayoyasema ni yako, wenzako tunaendelea kupata vichenchi pambana ufungue logistic body yako.
 
Aisee you make me laugh, okay, upo nje ya mada, ila unayoyasema ni yako, wenzako tunaendelea kupata vichenchi pambana ufungue logistic body yako.
Kama wewe ni daktari lazima utumie watalaamu na hapo mtajikuta mnagawana pesa kwa hujania maana mengi hamjui zaidi ya kuhesabu faida.
 
Nanauka impact yake ni kubwa ,huku kusini kawafanyia makubwa sana ,mwaka jana alitoa bima kwa watu wengi tu huko.
Sijipi moyo ndio hali halisi. Mtafute mtu anaitwa Nannauka ni motivational speaker then fuatilia record yake shuleni.
 
bado hawamfikii hata Diamond platnumz.
Nina mashaka na jinsia yako Diamond atakupiga dudu shauriyako wewe shoboka tu, uzi unazungumzia mengine wewe unaingiza ushubwada mwingine ndio maana Trump akasema atawashughuulikia
 
hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.

na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Negative mind, Elimu inakupa kikubwa zaidi ya hicho unachofikiria.
 
hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.

na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Unashida mahaliπŸ€”ulitaka wapate alama za chini kama wewe
 
Umezaliwa 1993-2008=15years kwamba umemaliza advance na miaka 15 mkuu mwaka 2008-2025=17yearsπŸ€”hii chai😁
Ndio hesabu zako zinavyokutuma?
Haya wewe ulitaka nimalize advance mwaka gani? Na nikiwa na miaka mingapi, na chuo nimalize lini nikiwa na miaka mingapi?
Useme wewe ili isiwe chai.
Na la mwisho ulitaka mfano nikamaliza advance na 15 years na chuo na 18 years wewe au mimi napoteza nini au wewe unapoteza nini?
17 years ago hesabu bila kuzungusha nilimaliza advance, Take it from me, or make yours.
 
And this's the difference between an educated person and one who is uneducated, na Kingine hawa ambao hawajasoma huwa wanasumbulia na wivu, chuki na husuda kwa wasomi
 
Ukikua utagundua bongo anayepata A na anayepata D mtaani hawana tofauti. Wote wanakua machawa na motivation speakers. Hatujui kutumia raslimali akili.
Labda waliopata A shuleni kwenu. Vipanga niliosoma nao karibu wote wako fit kiuchumi. Yaani wanakimbiza hata kwenye maisha ya mtaani.
 
Sijipi moyo ndio hali halisi. Mtafute mtu anaitwa Nannauka ni motivational speaker then fuatilia record yake shuleni.
Sasa Nanauka kafulia? Hujui kuwa jamaa ni Dr toka Chuo Kikuu kikubwa Marekani. Usimchukulie poa
 
Hapo inategemeana na lengo lake lilikua lipi, na kama ni kazi tayari hiyo achievement kwake.
 
hawa wote wakichanga vipato vyao na kuuza mali zao zote jumla yake.. bado hawamfikii hata Diamond platnumz.

na A zao za mathematics zote hawawezi hata kujenga bara bara nyepesi ya zege ya mwendo kasi, mpaka tuite watu kutoka nje waje watujengee
Maskini punguza hasira
 
Ila statement inayo sema "WaTanzania tuna wivu sana" aisee... Nimeamini.
 
Kukiwa na pesa ya kusomesha mtoto Majuu popote anakubalila na anaingia fasta tu

Labda kama mtu anaenda kwa mengine.. Na kimasomo ndio kutafuta scholarship etc.. Hapo mdogo mdogo na hayo ya connection ikitegemeana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…