Kwa waliowahi kuwatindua Mama Ntilie

Hao wamama ndivyo walivyo.. ila huwa hawapati hasara ni vile story umiekatia njiani mkuu.
 
Hao wamama ndivyo walivyo.. ila huwa hawapati hasara ni vile story umiekatia njiani mkuu.
Mkuu Asubuhi nilikuwa napiga supu chapati 2 = 2500
Mchana wali nyama = 2000
Jioni wali nyama tena = 2000

Ukijumlisha ni 6500,daily mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Asubuhi nilikuwa napiga supu chapati 2 = 2500
Mchana wali nyama = 2000
Jioni wali nyama tena = 2000
Ukijumlisha ni 6500,daily mkuu.
Mkuu tatizo sio 6500 per day.. ila inayokutoka wewe.
Labda kama uliokota dodo
 
Mkuu tatizo sio 6500 per day.. ila inayokutoka wewe.
Labda kama uliokota dodo
Mkuu nimekwambia ilikuwa free hela alikuwa anakataa ila niliona ananiletea dalili kama za kutaka kuamia kwangu tuishi wote
 
Ulizingua sana Zero IQ.
Kama ulihofia kumfilisi banda lake, ungemuongezea mtaji ili akue kibiashara nawe uwe unapata Special order.

Ni halali akuchukie
Huwa huwa tunawapa bahasha na kumwambia ni zawadi afungulie nyumbani, akifika home anakutana na mzigo wa kutosha.
Hapo utakula na utatindua mpaka utakapohama mitaa hiyo.
 
Mwanamke tabia bhana...mama ntilie wengi wana TABIA zinazovutie..lazma uwatindue
 
Sijawahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…