Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha wanafaa kwa kula bata kwa muda mfupi tu,lakini sio kuweka kambi.Ukiweka kambi wanakuwa 'kupe'We ni mwaume utapambana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125]
Ya mdada iliyoambatanishwa na Uzi wakoPicha ipi ya uongo
Story sio yangu weka wewe picha ya kurelate na storyTuma yako ambayo ni ya ukweli tuambatanishe mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mwaka 2004 wali sahani 300 nusu 200. Ilikuwa msasani hiyo
Tofauti ni kwamba pamoja na kumtindua ilikuwa kila nikila nikatoa 500 chenji hairudi wakati huo nauli sh 150 nikaona ananiharibia bajeti
NIKAMTEMA Japo alikuwa mtamu na mzuri Amazing
Mkuu tatizo sio 6500 per day.. ila inayokutoka wewe.Mkuu Asubuhi nilikuwa napiga supu chapati 2 = 2500
Mchana wali nyama = 2000
Jioni wali nyama tena = 2000
Ukijumlisha ni 6500,daily mkuu.
Huwa huwa tunawapa bahasha na kumwambia ni zawadi afungulie nyumbani, akifika home anakutana na mzigo wa kutosha.Ulizingua sana Zero IQ.
Kama ulihofia kumfilisi banda lake, ungemuongezea mtaji ili akue kibiashara nawe uwe unapata Special order.
Ni halali akuchukie
Kiaje manUnanionea
Majukumu hapo yangeanza badala ya kubaki kuwa geto hapo pangebadilika pakawa mji wa mtu ndo maana naona Zero aliligundua hiloha ha ha ha akiamia kwako si ndio itakuwa vizuri muda wote unabutua tu.
SijawahiWale viumbe wanakuwaga hatari sana alafu asilimia 90 ya mama ntilie wote wana chura flani na hipsi teketeke,
Kuna mmoja alikuwa na mgahawa karibu na gheto kwangu, sasa ile kwenda kula kila siku akaniletea mazoea na mimi Zero sikufanya iyana nikamdibua/kumkanya /kummenya kweli kweli,
Kesho yake Asubuhi kwenda kupiga supu hataki kupokea hela, mchana msosi kanipa free na jioni ikaenda kama wiki mbili hivi kila nikimpa hela anakataa na jioni anakuja namdibua kama kawa nikaona nisije nikamfirisi akafunga kibanda chake cha msosi nikatemana nae sasa hivi ananichukia kiasi kwamba ata nikitaka kwenda kununua msosi anavunga.
View attachment 1102057
Cc Zero IQ