Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
- Thread starter
-
- #221
Nice experience..Mkuu mimi nimetumia za Nissan mbili, nilianza na Nissan cube, kagari kangu ka kwanza kabisa ka kuanzia maisha. Haka nilikaa nako miaka 5. Pamoja na udogo wake, kalikuwa very stable barabarani, kipindi cha kikombe cha babu kalitoka iringa hafi loliondo-samunge kwa babu na kurudi iringa..
Much thanks...Mimi nilikua na Nissan X-Trail na nimekaa nayo kwa takribani miaka 8 baadae nikaiuza ilikua mwaka jana. Changamoto nilizokumbana nazo zingine zilikua ni za kawaida na zilikua zinafanyiwa kazi na kutatuliwa...
Sijawahi kukumbana na tatizo la gari kuchemsha.Much thanks...
Umeeleza vizuri sana..
Vipi tatizo la kuchemsha kama watu wengi wanavyoziponda hizi gari za x trail..?
Tupe uzoefu kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kukumbana na tatizo la gari kuchemsha.
Yaani muda wa Service nilikua naifanyia service, Engine Oil nilikua natumia Castrol Edge 5W-40 kila baada ya km 3,000 ila mafundi walikua wananiambia nifanye kila ikifika km 5,000 na nilikua nabadilisha Oil Filter ambazo zilikua Genuine. Gear Box Oil nilikua naweka Matic J kila ikifikia km 20,000 nabadilisha...
Nina Nissan Cube, 2007, nimeridhika nayo kuliko, kila kilichoandikwa kuhusu Nissan ni kweli, spears ghali kidogo, ila wasahau, iko stable, reliable, nimeka-jazz up basi kako poa sana, tairi pana basi kamenyanyuka hivi, nasikitika sijatumia Turbo/Sport kwa safari ndefu, ila nina mpango huo kwa kuenda samilia mama mikoani, gari zake ziko poa sana hizi Nissan, infact I am so hooked in such nimeanza kutafuta Nissan Cube ya 2011 au zaidi.Mkuu mimi nimetumia za Nissan mbili, nilianza na Nissan cube, kagari kangu ka kwanza kabisa ka kuanzia maisha. Haka nilikaa nako miaka 5. Pamoja na udogo wake, kalikuwa very stable barabarani, kipindi cha kikombe cha babu kalitoka iringa hafi loliondo-samunge kwa babu na kurudi iringa. Mpaka nakauza, sikuwahi kupata changamoto kubwa zaidi ya zile za kawaida. Spear pia nilikuwa napata japo bei ilikuwa juu kidogo ukilinganisha na magari ya ukubwa huo ya kampuni ya Toyota. Hata hivyo, spear yake ilikuwa inadumu muda mrefu sana ikifungwa...
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina Nissan Cube, 2007, nimeridhika nayo kuliko, kila kilichoandikwa kuhusu Nissan ni kweli, spears ghali kidogo, ila wasahau, iko stable, reliable, nimeka-jazz up basi kako poa sana, tairi pana basi kamenyanyuka hivi, nasikitika sijatumia Turbo/Sport kwa safari ndefu, ila nina mpango huo kwa kuenda samilia mama mikoani, gari zake ziko poa sana hizi Nissan, infact I am so hooked in such nimeanza kutafuta Nissan Cube ya 2011 au zaidi..
Tujipongeze kwa kweli...
Bad note : Juzi pale Beachcomber Africana nilitolewa show na katoto fulani kavulana kako kama 8-9 yrs of age, kwa kuiita Nissan Cube ina sura mbaya?!😡😡😡 To make matters worst, nikashuhudia kale katoto kametoka na ndugu zake na wazazi wakapanda Bajaj?! Can you believe it?!
Ndorobo kabisa,,,
Nina Nissan Cube, 2007, nimeridhika nayo kuliko, kila kilichoandikwa kuhusu Nissan ni kweli, spears ghali kidogo, ila wasahau, iko stable, reliable, nimeka-jazz up basi kako poa sana, tairi pana basi kamenyanyuka hivi, nasikitika sijatumia Turbo/Sport kwa safari ndefu, ila nina mpango huo kwa kuenda samilia mama mikoani, gari zake ziko poa sana hizi Nissan, infact I am so hooked in such nimeanza kutafuta Nissan Cube ya 2011 au zaidi.,
Yap hata ile ya Daihatsu, 2nd generation of hatchbacks, more headroom at the back, easy access and sliding seats...Hahah hongera sana kwa Hio cube mkuu,ila una moyo hahah.
Kuna nyingine inaitwa Toyota BB si inajua inaundugu na Nissan Cube
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tupia kapicha ka hako ka ice cubeYap hata ile ya Daihatsu, 2nd generation of hatchbacks, more headroom at the back, easy access and sliding seats...
Still I love them to bits...
Nissan cube hii hapa..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hebu tupia kapicha ka hako ka ice cube
[emoji2][emoji2][emoji2]Nissan cube hii hapa..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1309405
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu uk unagiza spear kwa njia gani kuna spear na hitaji
dah...kana makalio ya hovyo sanaNataka kuhamia kwenye Nissan, na my next move naplan ninunue Nissan Juke... I love this car