Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichanganya na Nissan Juke[emoji2][emoji2][emoji2]
Gari ya kisenge mbaya kabisa, i Think its the most Ugliest car made by Toyota. "Toyota BB" pia "Toyota Will Vs"Hahah hongera sana kwa Hio cube mkuu,ila una moyo hahah.
Kuna nyingine inaitwa Toyota BB si inajua inaundugu na Nissan Cube
Sent using Jamii Forums mobile app
Nissan spea kizunguzungu
Mbona bei ya kawaida tu kwa spare genuine au ulitaka hizi za kuweka wiki moja zinabuma tena?Shock up za Nissan Fuga zinanitoa jasho. Kuagiza be forward = 950 USD najuta kujichanganya Nissan
Tatizo nilizoea Toyota MkuuMbona bei ya kawaida tu kwa spare genuine au ulitaka hizi za kuweka wiki moja zinabuma tena?
Shock up za Nissan Fuga zinanitoa jasho. Kuagiza be forward = 950 USD najuta kujichanganya Nissan
Mimi namiliki Nissan Note 2006 hii gari inamwendo mtamu sana yaani dereva unaweza lala, haina makuu very comfortable wakuu...
Shukrani mkuu. NimekusomaNi bei halalihalali kabisa kwasababu spea za beforward zote ni genuine...zile zinzotoka na gari ijapokuwa nyingine zimetumika kidogo..
Unaweza ukakuta gari limepata ajali ndogo likiwa jipya kabisa, wao wanalichinja na kuuza spea...
Nenda mastercard msimbazi road,utapata shock up genuine.Ila ujipange,mfuko uwe umetuna kidogo.Wakuu nahitaji shock up za nissan Xtrail wapi napata
Au duka gani wanadili nazo hapa dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Juke hii hapa..[emoji3]Nilichanganya na Nissan Juke
Juke bei yake si ya kitotoJuke hii hapa..[emoji3]
Mimi huwa naipenda eti watu wanachukia sura yake..[emoji28]View attachment 1397902
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv mkuu nissan note Iliyo katika hali nzuri kwa hapa bongo bajet yake inaweza kua kiasi gani?Mimi namiliki Nissan Note 2006 hii gari inamwendo mtamu sana yaani dereva unaweza lala, haina makuu very comfortable wakuu...
Mimi nilikua na Nissan X-Trail na nimekaa nayo kwa takribani miaka 8 baadae nikaiuza ilikua mwaka jana. Changamoto nilizokumbana nazo zingine zilikua ni za kawaida na zilikua zinafanyiwa kazi na kutatuliwa....
Vip ulaji wa mafuta wa nissan serena kwa lita inaweza kuwa km ngapi?Mkuu mimi nimetumia za Nissan mbili, nilianza na Nissan cube, kagari kangu ka kwanza kabisa ka kuanzia maisha. Haka nilikaa nako miaka 5. Pamoja na udogo wake, kalikuwa very stable barabarani, kipindi cha kikombe cha babu kalitoka iringa hafi loliondo-samunge kwa babu na kurudi iringa. Mpaka nakauza, sikuwahi kupata changamoto kubwa zaidi ya zile za kawaida...
Nina Nissan Hardbody ya mwaka 1988....ilipaki toka 1996 mwaka huu 2020 nkanunua battery mpya nkafanya overhaul gari ikawaka nkashangaa sana....bado iko vzurii sana....19.Nissan Hardbody
20.Nissan Navara
Ila mimi nissan tiida na nissan note nazikubal mpk kesho hata kwa mtu nitamvua na mm niyamilik haya magar japo vutisho ni vingi kwa wamiliki wa toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wa muonekano au mechanical issues..?Mabaya kichizi mzee.