Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Shock up za Nissan Fuga zinanitoa jasho. Kuagiza be forward = 950 USD najuta kujichanganya Nissan
 
Mimi namiliki Nissan Note 2006 hii gari inamwendo mtamu sana yaani dereva unaweza lala, haina makuu very comfortable wakuu.
Ila Nissan zote zipo vizuri sana kwa mwendo hazina mtetemo kama Toyota.

Nisan unaweza kuwa na speed mia na arobaini lakini ukahisi upo speed 50khp. Mimi kwenye gari yangu nilipata shida kwenye spea ya mafula ya katikati nilitafuta kariakoo nzima had I machimbo yote sikupata ikabidi niweke ya honda, shida sasa mlio wake umebadilika, kuna jamaa aliniambia hadi Nairobi ndo spea za Nissan zipo nyingi.

Ukweli napenda Nissan mzee wangu had I Leo anayo Nissan patrol toleo LA tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bei halalihalali kabisa kwasababu spea za beforward zote ni genuine...zile zinzotoka na gari ijapokuwa nyingine zimetumika kidogo..
Unaweza ukakuta gari limepata ajali ndogo likiwa jipya kabisa, wao wanalichinja na kuuza spea..

Otherwise nenda Ebay, alibaba au maduka ya kariakoo huko ununue after market ambazo utatembelea muda mfupi uweke tena
Shock up za Nissan Fuga zinanitoa jasho. Kuagiza be forward = 950 USD najuta kujichanganya Nissan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bei halalihalali kabisa kwasababu spea za beforward zote ni genuine...zile zinzotoka na gari ijapokuwa nyingine zimetumika kidogo..
Unaweza ukakuta gari limepata ajali ndogo likiwa jipya kabisa, wao wanalichinja na kuuza spea...
Shukrani mkuu. Nimekusoma
 
Nilichanganya na Nissan Juke
Juke hii hapa..[emoji3]
Mimi huwa naipenda eti watu wanachukia sura yake..[emoji28]
images%20(5).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikua na Nissan X-Trail na nimekaa nayo kwa takribani miaka 8 baadae nikaiuza ilikua mwaka jana. Changamoto nilizokumbana nazo zingine zilikua ni za kawaida na zilikua zinafanyiwa kazi na kutatuliwa....

Mkuu Asante sana kwa hiki ulichokiandika... mimi pia ninashida kwenye miguu ya mbele kulia kama kitu kinagonga hasa nikipita barabara ya vumbi, na hisi ni hizo bearings za kwenye shockup, je wapi naweza pata fundi mzuri wa kutatua tatizo hilo, je wewe ni wapi ulikua unapeleka kutengeneza?
 
Mkuu mimi nimetumia za Nissan mbili, nilianza na Nissan cube, kagari kangu ka kwanza kabisa ka kuanzia maisha. Haka nilikaa nako miaka 5. Pamoja na udogo wake, kalikuwa very stable barabarani, kipindi cha kikombe cha babu kalitoka iringa hafi loliondo-samunge kwa babu na kurudi iringa. Mpaka nakauza, sikuwahi kupata changamoto kubwa zaidi ya zile za kawaida...
Vip ulaji wa mafuta wa nissan serena kwa lita inaweza kuwa km ngapi?
 
Back
Top Bottom