Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
- Thread starter
-
- #301
hahaa...hili gari competitor wake ni Toyota Fielder..[emoji38]Nissan
Hili gari sijawahi lielewa kabisa yani
Dah bora Fielder aisee. Ila Tiida & Note nazo siku hizi wabongo wameanza zichangamkia naona😄hahaa...hili gari competitor wake ni Toyota Fielder..[emoji38]
Linashare engine moja na nissan tiida, note na baadhi ya blue bird
Zinajitahidi kukabiliana na hali ya mazingira kitanzania...nina Note ina Miaka 6 sasa..[emoji1][emoji1]Dah bora Fielder aisee. Ila Tiida & Note nazo siku hizi wabongo wameanza zichangamkia naona[emoji1]
Inapendeza kwa kweli maana walau inatuchangamsha macho barabarani sio kila sehemu vipaso & vivitz tu.Zinajitahidi kukabiliana na hali ya mazingira kitanzania...nina Note ina Miaka 6 sasa..[emoji1][emoji1]
Yes...six years....tena tarehe 3/7/2020 ndiyo nilisherehekea birthday yake ya miaka 6.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Inapendeza kwa kweli maana walau inatuchangamsha macho barabarani sio kila sehemu vipaso & vivitz tu.
Ila dah umejitahidi miaka 6? [emoji1]
😂😂😂Unakumbuka mpk bday yake? Mkuu we noma sana 🙌🏽🙌🏽 Sema nakusifu kwa utunzaji maana kibongobongo miaka 6 umedeal na spark plugs & coil moja tu? 👏🏽👏🏽 Na hivi ndo inavyotakiwa aiseeYes...six years....tena tarehe 3/7/2020 ndiyo nilisherehekea birthday yake ya miaka 6.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa hivi kanataka kufikisha miaka sita na nusu.....sijawahi kugusa engine zaidi ya plugs na coil moja ...[emoji38][emoji38]
Nilivyoitunza ninaamini nikimiliki gari lingime la saizi hiyo halitanishinda..[emoji38][emoji38]
⛽⛽⛽Nissan caravan inanisumbua niliagiza bila kuangalia ulaji wa mafuta sasa natamani kubadilisha engine.Vipi naweza kubadilisha engine nikaweka ya diesel na inayotumia mafuta wastani?
Shukrani mkuu, hapo ni kwa upande wa ENGINE...[emoji23][emoji23][emoji23]Unakumbuka mpk bday yake? Mkuu we noma sana [emoji1430][emoji1430] Sema nakusifu kwa utunzaji maana kibongobongo miaka 6 umedeal na spark plugs & coil moja tu? [emoji1433][emoji1433] Na hivi ndo inavyotakiwa aisee
Uliagiza mtandao gani..?Ninauza Spark Plugs original za Nissan Xtrail Made in Japan, Niliagiza Nje Pair mbili yaani pcs 8 ila ninauza pair moja yaani Pcs 4 kila pcs moja ni 20,000 tu kwahy pcs 4 ni 80,000 mawasiliano njoo PM
Cc Boeing 747 View attachment 1607056View attachment 1607054View attachment 1607055View attachment 1607057View attachment 1607058
Hizi barabara zetu zinachangia sana kupunguza kudumu kwa vyombo vyetu...na inakulimit hata gari ya kununua. Naamini wakiipiga lami hizo shida za miguu zitakomaShukrani mkuu, hapo ni kwa upande wa ENGINE...
Kabisa mkuu.Hizi barabara zetu zinachangia sana kupunguza kudumu kwa vyombo vyetu...na inakulimit hata gari ya kununua. Naamini wakiipiga lami hizo shida za miguu zitakoma
Fielder umeionea kwa Wingroad, lipo Toyota moja refu sana nimelisahau jina nadhani ndiyo competitor wakehahaa...hili gari competitor wake ni Toyota Fielder..[emoji38]
Linashare engine moja na nissan tiida, note na baadhi ya blue bird
Inaitwaje hiyo..[emoji28][emoji28]Fielder umeionea kwa Wingroad, lipo Toyota moja refu sana nimelisahau jina nadhani ndiyo competitor wake
sio kweli mkuu ingekuwa hivyo RAV4 zingekuwa hazipapatikiwi hovyoMkuu sijawahi kumiliki Xtrail....waliowahi kuimili watatusaidia...
Ila ninachofahamu toleo la gari likishapitwa na wakati bei yake sokoni hushuka ili kufanya yaishe na kuruhusu toleo jipya kutawala soko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwenda kutafuta gari show room nikaona Nissan x-trail nikaona bei yake bahati nilikwenda na fundi mzoefu.Nikatoka hapo nikaenda show room ingine nikakuta RAV4 nikaona bei yake.Nikagundua tofauti ya Nissan x-trail na RAV4 ni million 5.Kwa maana hiyo Nissan x-trail bei yake ili upate RAV4 unaongeza mil5.Heshima kwenu wakuu,
Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu kulingana na aina ya NISSAN unayomiliki au uliyowahi kumiliki....
Rav 4 za kizamani zinapapatikiwa hapa Tanzania...watu wa nchi nyingine hawana time nazo..sio kweli mkuu ingekuwa hivyo RAV4 zingekuwa hazipapatikiwi hovyo
Spea gani au umehadithiwa tu? Sasa wamiliki wa BMW na Jaguar wasemeje?
1. "Mifumo ya umeme wenye electronics Sana" ulimaanisha nn?Nilikwenda kutafuta gari show room nikaona Nissan x-trail nikaona bei yake bahati nilikwenda na fundi mzoefu.Nikatoka hapo nikaenda show room ingine nikakuta RAV4 nikaona bei yake.Nikagundua tofauti ya Nissan x-trail na RAV4 ni million 5.Kwa maana hiyo Nissan x-trail bei yake ili upate RAV4 unaongeza mil5.
Nikashikwa na ubahili nikataka kwenda kule kwenye x-trail yule fundi akaniambia mzee kama hela ipo chukua hii haraka kwa umri wako hustahili kuwa na x-trail itakutesa.
Nikachukua ile RAV4. Niliporudi jioni nikakutana na rafiki yangu kwa umri Nampa shikamoo kanizidi miaka 7 akaniambia mdogo wangu ungechukua hiyo X-trail ningekupiga makofi leo.
Hadi leo sijajua alikuwa na maana gani ila niwaambie hadi leo sijajutia kuchukua ile RAV4. Jamaa yangu mmoja siku moja akaniambia Nissan x-trail ni nzuri ila zina matatizo mawili 1.Spares za Nissan ni ghali sana ila ukiweka unasahau 2.Nissan zina mifumo ya umeme wenye electronics sana hivyo itakupa shida sana iki fail kitu kidogo RAV4 kidogo imekaa ki manual manual wadau changieni.
Ila ushauri wangu ukienda chukua gari au kuagiza usifuate mkumbo kuwa niwe na la kama flani kikubwa tafuta fundi na mzoefu wa magari uende naye