Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Inapendeza kwa kweli maana walau inatuchangamsha macho barabarani sio kila sehemu vipaso & vivitz tu.

Ila dah umejitahidi miaka 6? [emoji1]
Yes...six years....tena tarehe 3/7/2020 ndiyo nilisherehekea birthday yake ya miaka 6.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa hivi kanataka kufikisha miaka sita na nusu.....sijawahi kugusa engine zaidi ya plugs na coil moja ...[emoji38][emoji38]
Nilivyoitunza ninaamini nikimiliki gari lingime la saizi hiyo halitanishinda..[emoji38][emoji38]
 
😂😂😂Unakumbuka mpk bday yake? Mkuu we noma sana 🙌🏽🙌🏽 Sema nakusifu kwa utunzaji maana kibongobongo miaka 6 umedeal na spark plugs & coil moja tu? 👏🏽👏🏽 Na hivi ndo inavyotakiwa aisee
 
Kinacho kusumbua sio Nissan, unasumbuliwa na mafuta
Nissan caravan inanisumbua niliagiza bila kuangalia ulaji wa mafuta sasa natamani kubadilisha engine.Vipi naweza kubadilisha engine nikaweka ya diesel na inayotumia mafuta wastani?
⛽⛽⛽
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unakumbuka mpk bday yake? Mkuu we noma sana [emoji1430][emoji1430] Sema nakusifu kwa utunzaji maana kibongobongo miaka 6 umedeal na spark plugs & coil moja tu? [emoji1433][emoji1433] Na hivi ndo inavyotakiwa aisee
Shukrani mkuu, hapo ni kwa upande wa ENGINE...

Sehemu nyingine ni wish Bone bushes kila mwaka nabadili mara moja, ball joint ndiyo nimebadili mwaka huu tangu kuinunua, shock up za mbele nimebadilisha mwaka huu, cv joint moja tena niliiua kwa uzembe mwaka jana, brake pads mwaka jana...

Kwa hiyo hapo kwenye miguu ya mbele panakongoroka kwa sabau ya miundombinu yetu....kila siku naendelsha Km 8 rough road za milimani..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ninauza Spark Plugs original za Nissan Xtrail Made in Japan, Niliagiza Nje Pair mbili yaani pcs 8 ila ninauza pair moja yaani Pcs 4 kila pcs moja ni 20,000 tu kwahy pcs 4 ni 80,000 mawasiliano njoo PM
Cc Boeing 747 View attachment 1607056View attachment 1607054View attachment 1607055View attachment 1607057
IMG_20201021_105030.jpg
 
Ninauza Spark Plugs original za Nissan Xtrail Made in Japan, Niliagiza Nje Pair mbili yaani pcs 8 ila ninauza pair moja yaani Pcs 4 kila pcs moja ni 20,000 tu kwahy pcs 4 ni 80,000 mawasiliano njoo PM
Cc Boeing 747 View attachment 1607056View attachment 1607054View attachment 1607055View attachment 1607057View attachment 1607058
Uliagiza mtandao gani..?
Zilitumia muda gani kufika bongo?
Ni double iridium au single iridium..?

Niliwahi kuagiza saa na air cleaner Ebay, nilivipata baada ya miezi miwili...[emoji26][emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu, hapo ni kwa upande wa ENGINE...
Hizi barabara zetu zinachangia sana kupunguza kudumu kwa vyombo vyetu...na inakulimit hata gari ya kununua. Naamini wakiipiga lami hizo shida za miguu zitakoma
 
Heshima kwenu wakuu,

Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu kulingana na aina ya NISSAN unayomiliki au uliyowahi kumiliki....
Nilikwenda kutafuta gari show room nikaona Nissan x-trail nikaona bei yake bahati nilikwenda na fundi mzoefu.Nikatoka hapo nikaenda show room ingine nikakuta RAV4 nikaona bei yake.Nikagundua tofauti ya Nissan x-trail na RAV4 ni million 5.Kwa maana hiyo Nissan x-trail bei yake ili upate RAV4 unaongeza mil5.

Nikashikwa na ubahili nikataka kwenda kule kwenye x-trail yule fundi akaniambia mzee kama hela ipo chukua hii haraka kwa umri wako hustahili kuwa na x-trail itakutesa.

Nikachukua ile RAV4. Niliporudi jioni nikakutana na rafiki yangu kwa umri Nampa shikamoo kanizidi miaka 7 akaniambia mdogo wangu ungechukua hiyo X-trail ningekupiga makofi leo.

Hadi leo sijajua alikuwa na maana gani ila niwaambie hadi leo sijajutia kuchukua ile RAV4. Jamaa yangu mmoja siku moja akaniambia Nissan x-trail ni nzuri ila zina matatizo mawili 1.Spares za Nissan ni ghali sana ila ukiweka unasahau 2.Nissan zina mifumo ya umeme wenye electronics sana hivyo itakupa shida sana iki fail kitu kidogo RAV4 kidogo imekaa ki manual manual wadau changieni.

Ila ushauri wangu ukienda chukua gari au kuagiza usifuate mkumbo kuwa niwe na la kama flani kikubwa tafuta fundi na mzoefu wa magari uende naye
 
1. "Mifumo ya umeme wenye electronics Sana" ulimaanisha nn?
2. So, wanaomilik X-trail hapa mjini wanaishi kwa wasiwasi Sana?
 
Back
Top Bottom