witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Teh teh...ndio mkuu[emoji16][emoji1787]Aaaaaa wewe kiboko, hadi watoto wa paka unabeba !
Mi asubuhi huyoo, sifungui boneti wala nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh...ndio mkuu[emoji16][emoji1787]Aaaaaa wewe kiboko, hadi watoto wa paka unabeba !
Nijuavyo mimi vitu vinavyoua engine ni kuisha kwa maji ama oil, au labda gari inywe maji.Mara nyingi engine kuharibika inasababishwa na nini?
Je kupiga pasi engine ni sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni cylinder head?[emoji1787][emoji16] Mi naitaga engine haahaa! Asante kwa kunirekebisha!Nijuavyo mimi vitu vinavyoua engine ni kuisha kwa maji ama oil, au labda gari inywe maji.
Halafu mkuu engine haipigwi pas sijawahi kusikia hiyo, ila cylinder head ndio inapigwa pasi pale unapokuwa imebend! Inyooke ndio kupigwa pasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unasemea Xtrail yaaaje?!?Nina swali kuhusiana na hii gari.
Kwa nini sokoni, kwa iliyotumika hapa nchini, Bei yake huwa chini sana??
Je huwa zinatatizo gani common hizi gari??
Mkuu weka na nissan civilian. Mi nna daladala.Heshima kwenu wakuu,
Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu kulingana na aina ya NISSAN unayomiliki au uliyowahi kumiliki.
Ingependeza utueleze gari hilo la nissan umelimiliki kwa muda gani na ni changamoto zipi za kiufundi umekutana nazo na ulizitatua namna gani.
Hii inaweza kutusaidia kuondokana na dhana kwamba magari ya TOYOTA ndiyo yanayofaa kwa Tanzania na si vinginevyo.
Tukubali kwamba kuna kampuni nyingi za magari tofauti na TOYOTA za Japan na nje ya Japan ambazo zinatengeneza magari mazuri sana kuliko hata yale ya Toyota ila shida inakuja kwa mafundi wetu wanatukaririsha kuwa toyota ndiyo gari bora.
Kwa kuanzia labda niorodheshe baadhi ya models za NISSAN ambazo zimekuwa common hapa Tanzania.
1. Nissan Patrol
2. Nissan Safari
3. Nissan Murano
4. Nissan Elgrand
5. Nissan Serena.
6. Nissan Fuga
7. Nissan Dualis
8. Nissan X-Trail
9. Nissan Skyline
10.Nissan March
11.Nissan Tiida
12. Nissan Note
13. Nissan Blue bird
14. Nissan Sunny
15. Nissan Caravan
16.Nissan Juke
17.Nissan Terano
18. Nissan Wingroad
Unaweza kuongezea Nissan nyingine ambayo sijaitaja hapo.
Karibu tubadilishane uzoefu.View attachment 1055107
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tunasema uwana gharama. Yaani ushikaji gharama sana.Kuna Nissan Patrol moja Old Model nilipata kwa mzungu mmoja aliyekuwa anafanya research ya wanyama pori ..Yeye alilinunua DT Dobbie
Basi ikafika wakati anaondoka akaliuza kwa bei ya kishkaji sana ...sijawahi badilisha hata bolt zaidi ya kufanya service ya kawaida na kubadilisha Timing Belt
Juzi nasafiri nikamuachia jamaa yangu mmoja sasa sijui alipasulia wapi rejeta bila kujua akaendesha hivyo kilichotokea gari ilizima yenyewe kuja kufungua Bonnet ya gari engine imeoza yote kilicho baki salama ni cylinder head na block ..80% ya engine imekufa ..kuulizia sasa spare na kuifanyia overhaul niliishia kushika kichwa ,nilichofanya ni kutoa matairi nikalifunika mpaka majaliwa tena
Jamaa yangu mwenyewe maisha ya kuunga unga kama yangu ,mke wake mwenyewe sio mzuri maana ningemmegea kupunguza hasira basi ndio hivyo tena
Nissan ni gari nzuri sana ila isije ikaua kitu kikubwa lazima ulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mwana.Daah pole sana..
Ndiyo mambo ya ushkaji hayo...
Mimi huwa Nina Tabia moja ngumu sana...rafiki yangu huwa Ni rafiki yangu Mimi.....rafiki yangu si rafiki wa Mali zangu...
Mali yangu na ushkaji huwa Ni vitu tofauti kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa!!Ni cylinder head?[emoji1787][emoji16] Mi naitaga engine haahaa! Asante kwa kunirekebisha!
Kwahiyo ikipigwa pasi fresh? Je pasi na kununua mpya kipi bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Witty, kushindwa kuona vizuri kunasababisha mtu afinye sana macho na kutumia nguvu nyingi....hivyo husababisha mishipa ya macho iliyo kichwani kujivuta sana. Hii husababisha maumivu makali ya kichwa. Nimekupa mfano.Unataka kunambia kuwa bega moja likiteguka basi na la pili hivohivo or?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usela mavviNdio maana tunasema uwana gharama. Yaani ushikaji gharama sana.
Sent using my Nokia Torch
Sawa mkuu asante!...najiandaa kisaikolojia maana nasikia magari yote yakifika bongo baada ya muda engine inaanza kuzingua!Hahaa!!
Inategemea na mfuko mkuu, ni km vile mpira uliopata pancha kuuziba na kununua mwingine mpya kabisa.. Unapiga pasi fresh maisha yanaendelea haina tabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa!.....Basi humu duniani basi kuna urafiki wa kweli zaidi ya kugeuzana fursa tuUsela mavvi
Mkuu hilo nalipinga inategemea utunzaji wako kuna magari yana namba A lakin engine bado nzima kabisa mkuuSawa mkuu asante!...najiandaa kisaikolojia maana nasikia magari yote yakifika bongo baada ya muda engine inaanza kuzingua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kwa heshima tunaongeza nissan civilia vs toyota coasterMkuu weka na nissan civilian. Mi nna daladala.
Sent using my Nokia Torch
Rafiki wa kweli ni mke wangu coz ananipa tamuu, ananipa watoto, ananipikia, ananifulia n.k...Kabisa!.....Basi humu duniani basi kuna urafiki wa kweli zaidi ya kugeuzana fursa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Always brand new is the best...Ni cylinder head?[emoji1787][emoji16] Mi naitaga engine haahaa! Asante kwa kunirekebisha!
Kwahiyo ikipigwa pasi fresh? Je pasi na kununua mpya kipi bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kunitoa woga![emoji849]...mafundi nao kwa mbwembwe[emoji1787][emoji16][emoji16]Mkuu hilo nalipinga inategemea utunzaji wako kuna magari yana namba A lakin engine bado nzima kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wengine ujuvi mwingi, halafu muhimu kuwa na fundi m1 tu.Nashukuru kwa kunitoa woga![emoji849]...mafundi nao kwa mbwembwe[emoji1787][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app