Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

Mara nyingi engine kuharibika inasababishwa na nini?

Je kupiga pasi engine ni sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuavyo mimi vitu vinavyoua engine ni kuisha kwa maji ama oil, au labda gari inywe maji.

Halafu mkuu engine haipigwi pas sijawahi kusikia hiyo, ila cylinder head ndio inapigwa pasi pale unapokuwa imebend! Inyooke ndio kupigwa pasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni cylinder head?[emoji1787][emoji16] Mi naitaga engine haahaa! Asante kwa kunirekebisha!

Kwahiyo ikipigwa pasi fresh? Je pasi na kununua mpya kipi bora?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina swali kuhusiana na hii gari.

Kwa nini sokoni, kwa iliyotumika hapa nchini, Bei yake huwa chini sana??

Je huwa zinatatizo gani common hizi gari??
Wewe unasemea Xtrail yaaaje?!?

Mjuu wangu ana Xtrail ya 2017 kanunua 78M ndugu

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Mkuu weka na nissan civilian. Mi nna daladala.

Sent using my Nokia Torch
 
Ndio maana tunasema uwana gharama. Yaani ushikaji gharama sana.

Sent using my Nokia Torch
 
Ni cylinder head?[emoji1787][emoji16] Mi naitaga engine haahaa! Asante kwa kunirekebisha!

Kwahiyo ikipigwa pasi fresh? Je pasi na kununua mpya kipi bora?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa!!

Inategemea na mfuko mkuu, ni km vile mpira uliopata pancha kuuziba na kununua mwingine mpya kabisa.. Unapiga pasi fresh maisha yanaendelea haina tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kunambia kuwa bega moja likiteguka basi na la pili hivohivo or?

Sent using Jamii Forums mobile app
Witty, kushindwa kuona vizuri kunasababisha mtu afinye sana macho na kutumia nguvu nyingi....hivyo husababisha mishipa ya macho iliyo kichwani kujivuta sana. Hii husababisha maumivu makali ya kichwa. Nimekupa mfano.

Sent using my Nokia Torch
 
Kabisa!.....Basi humu duniani basi kuna urafiki wa kweli zaidi ya kugeuzana fursa tu


Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki wa kweli ni mke wangu coz ananipa tamuu, ananipa watoto, ananipikia, ananifulia n.k...
Hao wengime ni kunyonyana damu tu...

Ndiyo maana wazungu wanafanikiwa coz hawana usela wa kununuliana balimi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIssan X-Trail GT ni pasua kichwa. Kama unapita barabara zenye madimbwi basi utakuwa mteja wa kudumu wa gereji. Alternator yake ilipofungwa ni rahisi sana kuingia maji, na yakiingia huna jinsi itakubidi uibadirishe, na bei yake iko juu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…