SSMashinji
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 129
- 191
Mganga hajigangi .😷
Nina skull fracture ilio sababisha ubongo kua compressed >2.5mm inwards, space ilio wazi kati ya vipande vya fuvu ni >2mm, urefu wa ufa ni >35mm. MRI BRAIN IMAGES CHINI
hamna anae jua kilakitu ndio maana nauliza pia kama kuna anaejua zaidi kuhusu swala hili.
mda ni over 3years now niko na hali hii, symptoms ni kama za brain tumor 80%, swala la Craniotomy or Decompressive Surgery tuliache kwanza kuna 10% tu chance za kumaliza hio operation bila majanga mengine kama upofu, ukiziwi, ububu au permanent stroke na vingine vingi.
kwa anae jua kingine please maoni yako hapa nayahitaji 👨⚕️ 😷