oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Usijistress sana mkuu case kama yako kama una uwezo wala sio tatizo kubwa especially kwenye nchi za wenzetu zilizo endelea nakumbuka galikipa wa chelsea na baadae arsenal Peter Cech alipata skull fracture baada ya kudive vibaya alipokua anaenda kuokoa mpira kwa Stephan Hunt. Jamaa alitibiwa na baadae akarud uwanjani kukipiga kama kawaida japokua alikua anavaa kifaa kama helment hivi. So relax huku ukitafakari jinsi gani utajisaidia kupata hayo matibabu.