Kwa wanao jua zaidi kuhusu skull fracture

Kwa wanao jua zaidi kuhusu skull fracture

Inaongezekaje fracture bila hilo eneo kuwa injury nyingine ?
ni plates mbili zimepata ufa, zikabend nakuingia ndani upande wa ufa, na eneo ni karibu na kisogo kw juu kulia hata kupalalia tu wakati nimelala panaweza ongeza ufa au pressure fluctuation kwenye ubongo ya mara kwa mara
 
Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndege
anapatikana wapi, na hali ya kijana wako ikoje hadi sasa au baada ya operation.
 
au kwa anaejua namna ya kumanage hizi symptoms za hovyo zaidi zinazonisumbua always, maumivu ya kichwa ya cku zote, balance problems, memory problems na confusion mda na hangaika na maswala ya nifanyiwe operation au la na wapi au surgeon yupi.

nahitaji mawazo mbalimbali tu chochote kile ongea hata kama inaonekana nimesha kifanya kwasabab ya hio Dr hapo kwa jina
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Itakua operation ya pili kufanyiwa anyway ya kwanza ilikua minor t Appendectomy (kutoa kidole utumbo) kazi kweli kua na mwili wenye shida nyingi 😷
 
Daah aiseee inasikitisha sana ,vijana wapo tayari kuua ili kupata chochote.
Ndomana yakikamatwaga wanayababua, wanayatumbua na kuyasinyasinya kama mdudu tandu au nge na mwenzao nyoka. Hawana tofauti na hao wadudu.

Wakishavuta mabange yao, wanaamini wapo top of the world hawa mbwa! Wanaamini watu wengine ndo source ya kuharibikiwa maisha yao kumbe mingine usengeusenge wao tu uliwafanya kuishia huko. Hayataki shule wala kujishughulisha haya mavijana ya sasa... Kuigaiga usenge tu na kujichanganya kwenye makundi ya hovyohovyo! Bora raia waendelee kuyachoma kama nyama.
 
Kijana anaendelea vizuri! Baada ya operation Alianza kuPambana na physiotherapists wake sasa. Daktari yupo nje ya tz
ahsante, inanipa moyo kama anaendelea vizur maana wengi naona kunayaliowakuta baada ya surgery kama hizi. ntamuhitaji huyu Dr
 
Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndege
Aisee! Mungu wetu ni mkubwa sana! Kweli alishatuahidi ndani ya vitabu takatifu kwamba elimu ni bahari, haina mwisho... Kila kitu kina tiba ni sisi kujifunza kwa hali na mali.

Kwahiyo Mr. njinjo... Kwa muda wa miezi minne kijana wako alikuwa hana fahamu kipindi kipande cha fuvu lake kiko ndani ya Jokofu?!
 
ni msaidie tu, inaweza kuchukua hata zaidi ya miezi 4, na mgonjwa mda huo atakua kwenye uangalizi mkubwa wa madaktari huku. ubongo unaweza lindwa kwa vifaa maalum ambavyo surgeons watakavyo chagua kwa ulinzi wa ubongo.
 
nilipigwa na kitu kizito ambacho cjui ni nini lakini kulingana na muonenako wa ufa ni panga sema butu au kitu chochote chenye mfano huo, vijana wetu walikua wanatafta cha kuweka kinywani
Pole sana, unacholielezea nilipitia pia, sema mimi. Nilipigwa na panga nikaweka mkono kama ngao, kidole kikipotea ika at least fuvu lilibaki salama
 
Pole sana, unacholielezea nilipitia pia, sema mimi. Nilipigwa na panga nikaweka mkono kama ngao, kidole kikipotea ika at leastbfuvu lilibaki salama
ckua na bahati hio, maana walikua wamesha niacha mda nimerelax ndio mmoja wao alie kua nyuma yangu akafanya akili ilivyo mtuma. nlickia wanalaumiana mda nimepata wennge la ghafra kwaio pia walijua walichofanya c sahihi.
 
Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndege
Hyo miezi 4 yote kichwa hakikua na Fuvu......?
 
Aisee! Mungu wetu ni mkubwa sana! Kweli alishatuahidi ndani ya vitabu takatifu kwamba elimu ni bahari, haina mwisho... Kila kitu kina tiba ni sisi kujifunza kwa hali na mali.

Kwahiyo Mr. njinjo... Kwa muda wa miezi minne kijana wako alikuwa hana fahamu kipindi kipande cha fuvu lake kiko ndani ya Jokofu?!
Fahamu alikuwa
Hyo miezi 4 yote kichwa hakikua na Fuvu......?
Kipande cha fuvu siyo fuvu lote
 
Back
Top Bottom