Dah Kumbe Rafiki angu
DrAutoCare unatatizo hili?
Lakini Mbona MRI inaonyesha kama Kuna Multiple Injury Kwani ulipigwa Mara ngapi Kichwani..
Maana huo Mchimbo wa 35mm Sio mchezo..
Kuna Vitu vinavyoniogopesha..
Kwanza Ni compression ya Brain ambayo Ni 2.5mm Its Very risk kuliko unavyofikiri..
Gap between skull fragments naona gap ni 2mm between the skull fragments linaweza Kusababisha instability ambayo itasababisha complications nyingi sana..
Complication hizo zinaweza kuwa kuongezeka kwa intracranial pressure ambayo husababisha dalili nyingi kama Kichwa kuuma, Kitapika kichefuchefu nk.(Inaweza ikawa tayari inakutokea ila izuie isizidi ) najua unazijua kama kweli wewe ni daktari..
Kadiri unavyozidi Kuchelewa ndyo matatizo yanazidi kuwa makubwa ipo siku brain tissue itakuwa pushed through the opening in the skull, na inaweza kusababisha permanent damage...So Zuia
Brain herniation kabla haijatokea..
kuna matatizo mengine kama Hydrocephalus,
Kushindwa Kupata Kumbukumbu na utambuzi wa Kawaida na kushindwa kutatua matatizo mbalimbali na kukosa Concentration au inaitwa Cognitive impairments, au ukapara Emotional disturbances..
Ushauri wangu kwako!
Wahi Hospitali Kafanyi Craniotomy Ni salama kabisa, au Unaweza Ukafanya decompressive surgery..
Ni muhimu sana Muone NeuroSurgeon alie Karibu Aisee Usipuuzi itafika wakati Utajisahau hata wewe Ni nani