Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndegesawa ila nime talii wengi wanatia hruma tu kama wameumia wenyewe, cjakata tamaa lakini
ntafika t n swala la mda, thanksAfrika hakuna wataalamu wa kukusaidia. Nenda Ulaya au Marekani preferably Johns Hopkins Hospital Baltimore USA.
Hawa jamaa ni wabobezi wa neurology and neurosurgery.
ni plates mbili zimepata ufa, zikabend nakuingia ndani upande wa ufa, na eneo ni karibu na kisogo kw juu kulia hata kupalalia tu wakati nimelala panaweza ongeza ufa au pressure fluctuation kwenye ubongo ya mara kwa maraInaongezekaje fracture bila hilo eneo kuwa injury nyingine ?
anapatikana wapi, na hali ya kijana wako ikoje hadi sasa au baada ya operation.Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndege
Ndomana yakikamatwaga wanayababua, wanayatumbua na kuyasinyasinya kama mdudu tandu au nge na mwenzao nyoka. Hawana tofauti na hao wadudu.Daah aiseee inasikitisha sana ,vijana wapo tayari kuua ili kupata chochote.
Kijana anaendelea vizuri! Baada ya operation Alianza kuPambana na physiotherapists wake sasa. Daktari yupo nje ya tzanapatikana wapi, na hali ya kijana wako ikoje hadi sasa au baada ya operation.
ahsante, inanipa moyo kama anaendelea vizur maana wengi naona kunayaliowakuta baada ya surgery kama hizi. ntamuhitaji huyu DrKijana anaendelea vizuri! Baada ya operation Alianza kuPambana na physiotherapists wake sasa. Daktari yupo nje ya tz
Aisee! Mungu wetu ni mkubwa sana! Kweli alishatuahidi ndani ya vitabu takatifu kwamba elimu ni bahari, haina mwisho... Kila kitu kina tiba ni sisi kujifunza kwa hali na mali.Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndege
nampatajaje huyu Dr.Kijana anaendelea vizuri! Baada ya operation Alianza kuPambana na physiotherapists wake sasa. Daktari yupo nje ya tz
ni msaidie tu, inaweza kuchukua hata zaidi ya miezi 4, na mgonjwa mda huo atakua kwenye uangalizi mkubwa wa madaktari huku. ubongo unaweza lindwa kwa vifaa maalum ambavyo surgeons watakavyo chagua kwa ulinzi wa ubongo.Aisee! Mungu wetu ni mkubwa sana! Kweli alishatuahidi ndani ya vitabu takatifu kwamba elimu ni bahari, haina mwisho... Kila kitu kina tiba ni sisi kujifunza kwa hali na mali.
Kwahiyo Mr. njinjo... Kwa muda wa miezi minne kijana wako alikuwa hana fahamu kipindi kipande cha fuvu lake kiko ndani ya Jokofu?!
Pole sana, unacholielezea nilipitia pia, sema mimi. Nilipigwa na panga nikaweka mkono kama ngao, kidole kikipotea ika at least fuvu lilibaki salamanilipigwa na kitu kizito ambacho cjui ni nini lakini kulingana na muonenako wa ufa ni panga sema butu au kitu chochote chenye mfano huo, vijana wetu walikua wanatafta cha kuweka kinywani
ckua na bahati hio, maana walikua wamesha niacha mda nimerelax ndio mmoja wao alie kua nyuma yangu akafanya akili ilivyo mtuma. nlickia wanalaumiana mda nimepata wennge la ghafra kwaio pia walijua walichofanya c sahihi.Pole sana, unacholielezea nilipitia pia, sema mimi. Nilipigwa na panga nikaweka mkono kama ngao, kidole kikipotea ika at leastbfuvu lilibaki salama
Aisee Polesana
Hyo miezi 4 yote kichwa hakikua na Fuvu......?Ninafahamiana na Daktari lakini haupo hapa karibu. Alimsaidia kijana wangu ubongo ulipovimba. Akalifumua fuvu na kulikata, likawekwa katika fridge kwa muda wa miezi minne. Baadaye amelirudisha na ameruhusiwa kupanda ndege
inawezekana ikawa ndio kama ni kutoa uvimbe maana hawawezi kurudishia bila kuona recovery ya sehem iliokua na shdaHyo miezi 4 yote kichwa hakikua na Fuvu......?
Fahamu alikuwaAisee! Mungu wetu ni mkubwa sana! Kweli alishatuahidi ndani ya vitabu takatifu kwamba elimu ni bahari, haina mwisho... Kila kitu kina tiba ni sisi kujifunza kwa hali na mali.
Kwahiyo Mr. njinjo... Kwa muda wa miezi minne kijana wako alikuwa hana fahamu kipindi kipande cha fuvu lake kiko ndani ya Jokofu?!
Kipande cha fuvu siyo fuvu loteHyo miezi 4 yote kichwa hakikua na Fuvu......?