stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Mungu anachoma moto Watu aliowaumba mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unasema tu naamini ungezaliwa msabato na ukalielewa vizuri kanisa kulikuwa hakuna mtu wa kukushawishi uwe muislamu tutabishana tu tena yawezekana muda huu ndiyo ungekuwa una tetea haya mambo yaache kama yalivyo kikubwa kuamini tu ila hunidanganyi kitu.Uzuri uislamu umeeleza mambo mengi kwa kina kuliko dini yeyote duniani, tukiwa watafuta maalifa hatuna mipaka lakini kwenye maalifa pia kuna pumba nyingi, na ndio maana uislamu ni dini inayowataka watu kutafakari kabla ya kuchukua hatua, nikijibu hoja moja moja kuzaliwa katika imani tofauti hakualalishi wewe kukimbia maalifa mengine na maarifa unapo yapata inakupasa kupima na kuchuja kwa undani kabisa kuliko kuacha kutoa haki yako fulani ambayo ulistahiki kutoa, na kuanguka kwenye upotofu na natumaini kwa kadri ya uwelewa wangu ulivyo aijalishi nimelelewa katika imani gani, natumaini kwamba ninge chuja mambo kwa ufasaha mpaka kupata usahihi.
Ungeumbwa na nature as you claim kamwe usingekua perfect take it from me. Just think of a simple example of a car, it's perfectly thought out by the designers ( Toyota , bmw etc) that's why it has everything that it may need and when the designer think it needs an extra function they add it. But God ( Intelligent being) perfectly thought out about you that's the reason why you think you have everything and you've never thought of getting a second head or hand coz your designer knew what's necessary. Mkuu kubali au kata lkn ukwel ndio huo , You're the living proof of God's existenceAliye kwambia bila huyo "God" ningekuwa na jicho moja, sikio moja au mkono bila vidole vitano, ni nani?
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.
Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.
Unafosi fosi tu, Dunia iwe imeumbwa na huyo Mungu wako uchwara wa kufikirika.
There's no truth without evidence, facts and proofs.
Don't force your claims to be true while they are false.
God doesn't exist.
Kwanza hakuna creator.Kuna kitu/uwezo unacho ndani yako ambao unakuwezesha kuwasiliana na your creator straight, moja kwa moja.
Think
Infropreneur Kiranga @The Evil GeniusLok
Look at yourself, two eyes, ears, and everything perfectly thought out , that means there's a designer( God). If it was nature you'd have been with one eye on the stomach, one ear à hand without 5 fingers but you were perfectly made because one (God) thought of you ( everything) before creating it. Believe or not that's the truth. Religion ( organized religion) might be misleading but there is God , and let's not confuse God with organized religion
Mkuu, nishakuambia siku za nyuma, kushindwa kudhibiti mambo yalokinyume na mapenzi yako ni ishara ya uwepo wa super natural power inayodhibiti mambo.You are not mentally enough for arguments.
Mnachoweza nyie waamini Mungu ni kutetea imani zenu uchwara za kijinga mlizo pumbazwa na kuaminishwa zisizo na uthibitisho wowote ule.
Sasa existence yako imetokea wapi au wewe na vizazi vyako vyote vimetokea wapi, nini ni mwanzo wakeKwanza hakuna creator.
Ni wewe tu unafosi uwepo wa huyo creator.
Umejenga hoja au umetukana tu? By the way, yeyote kama wewe anayechanganya Elimu ya Metafizikia (Knowledge beyond human capacity) na Epistemologia (Knowledge under human capacity a.k.a Science) ni mpuuzi tu!Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Logical non sequitur fallacy.
Exactly 💯Aliye kwambia bila huyo "God" ningekuwa na jicho moja, sikio moja au mkono bila vidole vitano, ni nani?
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.
Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.
Unafosi fosi tu, Dunia iwe imeumbwa na huyo Mungu wako uchwara wa kufikirika.
There's no truth without evidence, facts and proofs.
Don't force your claims to be true while they are false.
God doesn't exist.
I'm quite busy I don't know whether I'll be able to respond to all these comments but those who claim that there is no Designer ( God), the evidence is just overwhelming, let them just look at their bodies, the plants , animals , how perfectly they're made. Those proves there's a designer behind that creation. We all know how chaotic nature is, that's why even the minerals like diamonds etc, they can't look the same when they are extracted from the ground , that's why they go through cutting and refining, nature can't create the same thing over and over again.
Wakiweza Kufanya Hivyo hata Mimi Nitakuwa Sawa na Wao na Nitamtetea Huyo Mungu Mpaka Uhai wangu woteInabidi waungane kwanza wa mchague Mungu mmoja kati ya hao halafu ndio waseme sasa🤔
If it's nature every creation should be different that's how nature worksLok
Look at yourself, two eyes, ears, and everything perfectly thought out , that means there's a designer( God). If it was nature you'd have been with one eye on the stomach, one ear à hand without 5 fingers but you were perfectly made because one (God) thought of you ( everything) before creating it. Believe or not that's the truth. Religion ( organized religion) might be misleading but there is God , and let's not confuse God with organized religion
Sijaumbwa.Ungeumbwa na nature as you claim kamwe usingekua perfect take it from me.
Watoto wanaozaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa, njiti na ulemavu.Just think of a simple example of a car, it's perfectly thought out by the designers ( Toyota , bmw etc) that's why it has everything that it may need and when the designer think it needs an extra function they add it. But God ( Intelligent being) perfectly thought out about you that's the reason why you think you have everything and you've never thought of getting a second head or hand coz your designer knew what's necessary.
God doesn't exist.Mkuu kubali au kata lkn ukwel ndio huo , You're the living proof of God's existence
Mkuu unaionaje ile ya upande wa kina FaizaFoxy na Malaria 2 ya kupata mabikira 72 huko firdaus unakula mzigo muda wote🤣?Yaani Mimi nikiwa Nina umri mdogo tu wa miaka 8 niliwahi jiuliza kwamba wenye dhambi tutachomwa moto milele na milele huku wengine wakiimba na kusifu milele,inawezekanaje jambo hili?
Ingawa nilizaliwa kwenye dini haswa usipoenda kanisani ni kichapo
Kaka yangu mkubwa ni padre parokia Fulani Hana mke wala mtoto,Mimi Nina vijana wangu nikiwaangalia nashusha hormone ya dopamine
Bado mfano wako hau-make sense. Mhadzabe unaweza kumpa evidence Kwa kumletea hao wachina au hata kumpeleka kama alikiwa hajui. Lakini suala la uwepo wa Mungu unalithibitishaje Kwa ushahidi?Nisawa na kuwaauliza wahadzabe kuhusu china watakwambia haipo na haijwahi kuwepo. Kutokujua kwako uwepo wa kitu haimaanishi kuwa kitu hiko hakipo : tuishi
Kushindwa kudhibiti mambo, yalokinyume na mapenz yako, ni ushahidi tosha kuna super natural power, inadhibiti mambo ni vile tu nyie mshachagua upande wa kupinga.Acha longolongo, thibitisha Mungu yupo.
Logical non sequitur fallacy.Mkuu, nishakuambia siku za nyuma, kushindwa kudhibiti mambo yalokinyume na mapenzi yako ni ishara ya uwepo wa super natural power inayodhibiti mambo.
🤣🤣🤣Inabidi waungane kwanza wa mchague Mungu mmoja kati ya hao halafu ndio waseme sasa🤔