machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Atimbe mara ngapi aisee,wewe unajua kusoma?Yule kiranga akitimba hapa walai utaukimbia Uzi wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atimbe mara ngapi aisee,wewe unajua kusoma?Yule kiranga akitimba hapa walai utaukimbia Uzi wako
ThibitishaUshawahi kujiuliza kwanini hiyo science haina nguvu kwa watu wako (Afrika) ila kwa wale tu ambao ni mashoga, wabinafsi, na wadhaifu. Nawaita wadhifu sababu hawako strong.
Mkuu,Yaani Mimi nikiwa Nina umri mdogo tu wa miaka 8 niliwahi jiuliza kwamba wenye dhambi tutachomwa moto milele na milele huku wengine wakiimba na kusifu milele,inawezekanaje jambo hili?
Ingawa nilizaliwa kwenye dini haswa usipoenda kanisani ni kichapo
Kaka yangu mkubwa ni padre parokia Fulani Hana mke wala mtoto,Mimi Nina vijana wangu nikiwaangalia nashusha hormone ya dopamine
Uislamu umeeleza mambo mengi kuhusu mungu mmoja asiye zaa wala kuziliwa wala kufanana au kuendana na mtu ama jambo ama mambo fulani, na umefundisha vipi tunasadikisha uwepo wake, tunasadikisha uwepo wake kwa jinsi uendeshaji wa dunia unavyo kwenda, mfano usiku mchana, tunaamini kwamba uendeshaji huu si alinacha si alinacha sababu unaonekana huu uendesha, na tunasadikisha kama mungu huyu angekuwa na mshirika basi utaratibu huu usikuwa endelevu, pili ni namna jua linapotoka mashariki na kuzama magharibi tunaamini pia uendeshaji si alinacha sababu tunauona haya ni machache kati ya mengi sana kuhusu mungu huyu wa kweli.Wewe haujaumbwa na mungu science ndio imekuuumba hakuna mungu kama yupo thibitisha uwepo
Mkuu,
Kuna mchungaji mmoja wa Marekani, Mmarekani mweusi, alitaabishwa sana na mafundisho kwamba mababu zake wa Afrika ambao walikufa kabla ya kumjua Yesu Kristo, kwa sababu Yesu hakujulikana kwao, watachomwa moto milele.
Yule mchungaji alihoji sana hoja hii, akisema inawezekana vipi Mungu mwenye upendo wote akawanyima Waafrika neema ya kumjua Yesu, halafu akawachoma moto wa milele kwa sababu kawanyima neema ya kumjua Yesu.
Sakata jili linaonesha ujinga wa hoja ya kwamba watu wote ambao hawajamkubali Yesu watachomwa moto wa milele.
Kisa hiki kilitengenezewa sinema inaitwa "Come Sunday".
Starring Chiwetel Ejiofor (yule slave wa "12 Years A Slave"). Yule jamaa huwa hakosei kila movie yake nimependa. Sasa hivi amekuwa katika movie nyinginge "Rob Peace" nayo kali sana.
Kama hujaiangalia itafute, kama unafuatilia hoja hizi hii movie inafikirisha sana. Based on true events.
View: https://youtu.be/pVQFWvm_fbU?si=hkhS0BvqQvoiQUuK
Hayo sio kujifunza kirahisi kama wapendavyo vitabu vyao alifu lela ulela, ni ya kuunda uzi mzito, lakini najua bado watapingaJapo mm natambua uwepo wake, lakini ww mwenye mada uwezo wako wa kujenga hoja mdogo sana..
Mtu kakwambia simu imetengenezwa na mtu na ni kweli kuna uthibitisho wa kutengenezwa, sasa jaribu kutetea hoja yako ya kusema mbingu imetengenezwa, HOW!!?? hii mada nzito kuianzisha mkuu
Kwanza Atheists hatuamini hakuna Mungu.Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia,
Mpaka hapa ushabugi.na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Hatuamini simu anatengeneza mzungu. Simu haziaminiwi.Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Hapa nimekuelewa vizuri sana ulichoandika ila na mimi kidogo nina hoja, je ingetokea umezaliwa kwenye jamii ambazo hazina mafundisho ya Imani za dini Ibrahim mfano ulizaliwa na kukuzwa na Imani kama budha, Tao, hindu n.kUwezi kumzunguzia mungu wa kweli kwenye kitu ama jambo sababu yeye si kitu ama jambo, wao baniani sijui nani wanaabudu vitu ambavyo wameunda wenyewe sisi tuna muabudu yule aliye tuumba siye, ukirudi kwenye swali sisi tuna muamini na kumuabudu mungu aliye juu tena juu zaidi ya kila alivyo viumba zaidi ya mambo yote ambayo tunayaendea mbioo, na hutuwezi kumuabudu mungu wa kuundwa au kutengezwa, na kaweka bayana mungu kama miungu hao wengine unao wasema miungu ya uongo yeye ni mmoja hajazaa wala hajaazaliwa kasema kwamba hajafanana na yoyote na hii ni kwa imani yangu ya kiislam, niambie bayana ipi unaisema wewe wakati mungu mbona kaweka wangu kaweka bayana, sasa kwa akili zako kwa bayana hii utataka kusema au kuhoji kwanini hazai, yeye si binadamu ni mungu habari za kuzaa na yeye wapi na wapi natamani uniulize zaidi
Naam,Stories tu za kudanganya watu kwa manufaa au SABABU za watu
Nini kinakufanya huamini hayupoUnaweza kuhakikisha kuwa nikifa nitaweza kuwaambia?
Uzuri uislamu umeeleza mambo mengi kwa kina kuliko dini yeyote duniani, tukiwa watafuta maalifa hatuna mipaka lakini kwenye maalifa pia kuna pumba nyingi, na ndio maana uislamu ni dini inayowataka watu kutafakari kabla ya kuchukua hatua, nikijibu hoja moja moja kuzaliwa katika imani tofauti hakualalishi wewe kukimbia maalifa mengine na maarifa unapo yapata inakupasa kupima na kuchuja kwa undani kabisa kuliko kuacha kutoa haki yako fulani ambayo ulistahiki kutoa, na kuanguka kwenye upotofu na natumaini kwa kadri ya uwelewa wangu ulivyo aijalishi nimelelewa katika imani gani, natumaini kwamba ninge chuja mambo kwa ufasaha mpaka kupata usahihi.Hapa nimekuelewa vizuri sana ulichoandika ila na mimi kidogo nina hoja, je ingetokea umezaliwa kwenye jamii ambazo hazina mafundisho ya Imani za dini Ibrahim mfano ulizaliwa na kukuzwa na Imani kama budha, Tao, hindu n.k
Je ni kweli kabisa ungeamini katika Mungu wa Ibrahim si kwamba umezaliwa katika dini hizo na kukulia katika hayo mafundisho na kujikuta ukiwa na Imani hiyo?
hao kweli ni wapumbavu sana.Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Katika upimaji wa hayo maarifa,unatumia maarifa gani?Uzuri uislamu umeeleza mambo mengi kwa kina kuliko dini yeyote duniani, tukiwa watafuta maalifa hatuna mipaka lakini kwenye maalifa pia kuna pumba nyingi, na ndio maana uislamu ni dini inayowataka watu kutafakari kabla ya kuchukua hatua, nikijibu hoja moja moja kuzaliwa katika imani tofauti hakualalishi wewe kukimbia maalifa mengine na maarifa unapo yapata inakupasa kupima na kuchuja kwa undani kabisa kuliko kuacha kutoa haki yako fulani ambayo ulistahiki kutoa, na kuanguka kwenye upotofu na natumaini kwa kadri ya uwelewa wangu ulivyo aijalishi nimelelewa katika imani gani, natumaini kwamba ninge chuja mambo kwa ufasaha mpaka kupata usahihi.
Hamuwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.Hao wote ni wagonjwa wa akili, wamedata bado kuokota makopo tu.
Na huyo Mungu aliwekwa na Babako?Unasema hakuna mungu, Sasa sukari kwenye nanasi ameweka bab bako!?
JAMAA HUELEWEKI AISEEHayo sio kujifunza kirahisi kama wapendavyo vitabu vyao alifu lela ulela, ni ya kuunda uzi mzito, lakini najua bado watapinga
Logical non sequitur.Nature is chaotic, so the perfection of man and other living things alone proves beyond reasonable doubt that there is God ( The designer). Kamwe " nature" haiwezi tengeneza ktu perfect, ndio mana milima , bahari, mabonde, nk haviwez kufanana . I rest my case
# No malice to anybody