Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

tatizo linaanzia hapa
kutokujua Mungu ni nini

na inachanganya watu wengi pale wanapoona Mungu anatafutwa kwenye vitabu
 
Soma bible utamjua mungu vizur iman yako itaongezeka imagine kizaz cha sasa asingekuwepo mungu kingekuwaje hofu ya mungu inasaidia
Imani ya Mungu haisaidii chochote.

Ndio maana binadamu walifikia uamuzi wa kuanzisha mahakama, jela, sheria za uhalifu na makosa.

Ili ku replace hiyo " imani ya Mungu" isiyo saidia chochote kwenye kuleta amani katika jamii.
 
kuamini ni chaguo
 
Matokeo ya huu mtanange mpaka muda huu

Theists 0-2 Atheists Half Time

Ngoja tushuhudie mpaka mwisho tuone nania ataibuka kidedea..
 
I feel like recording a voice note for you and everyone else who has no understanding about God . Mnachanganya Mungu na dini which is not right. Mungu akuleta dini Wala hajui mambo ya dini. Ndio ulizaliwa but remember the intelligence ( God) which initiated the self-replicating process of reproduction and birth. Let me use this analogy to atleast make you understand. You bought a toothbrush, the company which manufactured the toothbrush doesn't follow up on how you use it , whether you use it for brushing your teeth, hair or shoes that's your business, God created this universe and he might be somewhere creating other universes ( The Multiverse) Is not here to check whether the self replicating process is bringing abnormal children or not, whether there earthquakes or not , he embedded all that in the Code, one day we're going to figure out how to circumvent all the known problems because it's all in the Code. Religion in it's entirety is a scam , I don't want to go in details and I don't believe in religion but that doesn't take away the fact that there is God ( Designer).
When you purchase a car from Japan, if it has no warrant ( Ofçourse no car wallanties , it's only insurance) the manufacturing company won't be responsible for the accidents you'll face on the road, and you can't claim that the car wasn't created by intelligent people because it's facing accidents and other mechanic failures.
 
Mtu anakuambia haamini chochote still kaandika kitu kumjibu mtu akiamini alichoandika.
 
Kwa nini Characters muhimu waliopo kwenye Uislamu wengi ni wale wale waliopo kwenye agano la kale la biblia ila stori zao zinatofautiana sana??
Mfano kwenye inasema mtoto wa Ibrahim aliyetaka kuchinjwa ni Isaka wakati kwenye Quran ni Ishmael, kwenye biblia Yesu alisulubishwa msalabani wakati Quran inasema hakusulubishwa.
Kwa nini hizi stori zitofautiane? Kitabu kipi kilikopi kwa mwenzake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…