Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
tatizo linaanzia hapa
kutokujua Mungu ni nini

na inachanganya watu wengi pale wanapoona Mungu anatafutwa kwenye vitabu
 
Soma bible utamjua mungu vizur iman yako itaongezeka imagine kizaz cha sasa asingekuwepo mungu kingekuwaje hofu ya mungu inasaidia
Imani ya Mungu haisaidii chochote.

Ndio maana binadamu walifikia uamuzi wa kuanzisha mahakama, jela, sheria za uhalifu na makosa.

Ili ku replace hiyo " imani ya Mungu" isiyo saidia chochote kwenye kuleta amani katika jamii.
 
Mbingu haijawahi kuwepo haipo na haitakaa iwepo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Huyo Mungu kama yupo, Alishindwaje kufanya binadamu wote wakamwamini yeye yupo siku zote na kwa wakati wote?

Huyo Mungu kama alitaka aaminiwe yupo, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini yupo?
kuamini ni chaguo
 
Matokeo ya huu mtanange mpaka muda huu

Theists 0-2 Atheists Half Time

Ngoja tushuhudie mpaka mwisho tuone nania ataibuka kidedea..
 
Sijaumbwa.

Nimezaliwa kutoka kwa baba na Mama yangu.

Watoto wanaozaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa, njiti na ulemavu.

Huyo Mungu wako unayedai ni "Perfect/ intelligent Designer" Hakuwaona au?View attachment 3163614

God doesn't exist.

Wewe ndio unafosi uwepo wake.
I feel like recording a voice note for you and everyone else who has no understanding about God . Mnachanganya Mungu na dini which is not right. Mungu akuleta dini Wala hajui mambo ya dini. Ndio ulizaliwa but remember the intelligence ( God) which initiated the self-replicating process of reproduction and birth. Let me use this analogy to atleast make you understand. You bought a toothbrush, the company which manufactured the toothbrush doesn't follow up on how you use it , whether you use it for brushing your teeth, hair or shoes that's your business, God created this universe and he might be somewhere creating other universes ( The Multiverse) Is not here to check whether the self replicating process is bringing abnormal children or not, whether there earthquakes or not , he embedded all that in the Code, one day we're going to figure out how to circumvent all the known problems because it's all in the Code. Religion in it's entirety is a scam , I don't want to go in details and I don't believe in religion but that doesn't take away the fact that there is God ( Designer).
When you purchase a car from Japan, if it has no warrant ( Ofçourse no car wallanties , it's only insurance) the manufacturing company won't be responsible for the accidents you'll face on the road, and you can't claim that the car wasn't created by intelligent people because it's facing accidents and other mechanic failures.
 
Mtu anakuambia haamini chochote still kaandika kitu kumjibu mtu akiamini alichoandika.
 
Uislamu umeeleza mambo mengi kuhusu mungu mmoja asiye zaa wala kuziliwa wala kufanana au kuendana na mtu ama jambo ama mambo fulani, na umefundisha vipi tunasadikisha uwepo wake, tunasadikisha uwepo wake kwa jinsi uendeshaji wa dunia unavyo kwenda, mfano usiku mchana, tunaamini kwamba uendeshaji huu si alinacha si alinacha sababu unaonekana huu uendesha, na tunasadikisha kama mungu huyu angekuwa na mshirika basi utaratibu huu usikuwa endelevu, pili ni namna jua linapotoka mashariki na kuzama magharibi tunaamini pia uendeshaji si alinacha sababu tunauona haya ni machache kati ya mengi sana kuhusu mungu huyu wa kweli.
Kwa nini Characters muhimu waliopo kwenye Uislamu wengi ni wale wale waliopo kwenye agano la kale la biblia ila stori zao zinatofautiana sana??
Mfano kwenye inasema mtoto wa Ibrahim aliyetaka kuchinjwa ni Isaka wakati kwenye Quran ni Ishmael, kwenye biblia Yesu alisulubishwa msalabani wakati Quran inasema hakusulubishwa.
Kwa nini hizi stori zitofautiane? Kitabu kipi kilikopi kwa mwenzake??
 
Back
Top Bottom