Mungu wa agano la kale ambalo Wayahudi bado wanalifuata aliruhusu maadui wote wa Israel wakubwa kwa watoto kuuwawa, pia kule Misri aliua wazaliwa wote wa kwanza kwa sababu ya ugumu wa moyo wa Farao kuwaachia wana Israel kutoka utumwani.Hakuna mungu.angekuepo kule gaza watoto na kina mama na wazee wasingeteseka.mungu gani takataka asiwe na huruma
Umefunga akili yako tu, umeipa ukomo wa kufikiriaExistence yangu imetoka kwa wazazi wangu Baba na Mama yangu.
Ulimwengu na binadamu havina mwanzo.
Ulimwengu na binadamu ndio vyanzo vyenyewe.
Hilo gari linapata ajali kwa sababu alielitengeneza sio muweza wa yote na so hana uwezo wa kutengeneza perfect car isiyopata ajaliWhen you purchase a car from Japan, if it has no warrant ( Ofçourse no car wallanties , it's only insurance) the manufacturing company won't be responsible for the accidents you'll face on the road, and you can't claim that the car wasn't created by intelligent people because it's facing accidents and other mechanic failures.
Serikari zilikuwepo enz na enz ata yesu aliulizwa ni hak kulipa kod kwa kaisal akasema ya kaisali apewe kaisal na mungu apewe munguImani ya Mungu haisaidii chochote.
Ndio maana binadamu walifikia uamuzi wa kuanzisha mahakama, jela, sheria za uhalifu na makosa.
Ili ku replace hiyo " imani ya Mungu" isiyo saidia chochote kwenye kuleta amani katika jamii.
Kwa nini unasema Binadamu ni perfect? Viumbe hai wengine pia ni perfect kivipi?Nature is chaotic, so the perfection of man and other living things alone proves beyond reasonable doubt that there is God ( The designer). Kamwe " nature" haiwezi tengeneza ktu perfect, ndio mana milima , bahari, mabonde, nk haviwez kufanana . I rest my case
# No malice to anybody
Sasa mkuu ukiforce kila kitu kiwe na mwanzo si kutakuwa kuna ulazima pia wa chanzo huyo munguUmefunga akili yako tu, umeipa ukomo wa kufikiria
Binadamu hawezi kuwa hana mwanzo wake.
Ulimwengu(sayari, jua, mwezi na nyota na mengineyo yote, bahari, mimea na viumbe vyote vilivyomo) vina mwanzo.
Siamini hivyo bali najua kwamba ulimwengu upo na unathibitishika upo, na kuonekana upo na kila mtu.Kwa nini umeamua kuamini hivyo?
Mungu hathibishiki yupo kwa namna yoyote ile.Je mwingine naye akichagua kuamini Mungu ni eternal asiye na mwanzo wala mwisho utamkatalia vipi??
Ulimwengu ni eternal? Kwamba hauwajawahi kuwa na mwanzo wala mwisho?
Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Lakini ukianza kudai hicho unacho kiamini kina ukweli lazima uthibitishe.kuamini ni chaguo
Hujajibu swali.Unapaswa umjue mungu wa kweli
Nikipata muda ntajibu lkn in a meantime , Mr. Kiranga and his company believe that the universe has a one time beginning ( big bang ) that's like more than 13 billion years ago, and that's what science believes in. Then if I'm to ask him what triggered the big bang and what existed before the big bang.Bitcoin2 tusaidie kujibu hapa tafadhali
Bitcoin2 tusaidie kujibu hapa tafadhali
Kama huyo Mungu yupo, unacho hangaika kumtetea na kumwelezea uwepo wake ni nini?I feel like recording a voice note for you and everyone else who has no understanding about God . Mnachanganya Mungu na dini which is not right. Mungu akuleta dini Wala hajui mambo ya dini. Ndio ulizaliwa but remember the intelligence ( God) which initiated the self-replicating process of reproduction and birth. Let me use this analogy to atleast make you understand. You bought a toothbrush, the company which manufactured the toothbrush doesn't follow up on how you use it , whether you use it for brushing your teeth, hair or shoes that's your business, God created this universe and he might be somewhere creating other universes ( The Multiverse) Is not here to check whether the self replicating process is bringing abnormal children or not, whether there earthquakes or not , he embedded all that in the Code, one day we're going to figure out how to circumvent all the known problems because it's all in the Code. Religion in it's entirety is a scam , I don't want to go in details and I don't believe in religion but that doesn't take away the fact that there is God ( Designer).
When you purchase a car from Japan, if it has no warrant ( Ofçourse no car wallanties , it's only insurance) the manufacturing company won't be responsible for the accidents you'll face on the road, and you can't claim that the car wasn't created by intelligent people because it's facing accidents and other mechanic failures.
Hahaha nidhamu ya uoga hiiNDUGU YANGU NI BORA UWAMINI MUNGU YUPO KULIKO USIAMIN HAYUPO UKAENDA MBINGUNI UKAMKUTA
mungu katengenezwa na Binadamukweli haina mashiko, hata sisi hatuielewi😂
hoja yetu ni kwamba hakuna uthibitisho juu ya uwepo wa mungu
uislamu na ukristo sio dini za watanzania, hazijachimbuka huku
kama kila kitu kinatengenezwa, nani kamtengeneza mungu?
HahahahaHahaha nidhamu ya uoga hii
Umefunga akili yako tu, umeipa ukomo wa kufikiria
Binadamu hawezi kuwa hana mwanzo wake.
Ulimwengu na vyote vilivyomo havina na havihitaji kuwa na mwanzo.Ulimwengu(sayari, jua, mwezi na nyota na mengineyo yote, bahari, mimea na viumbe vyote vilivyomo) vina mwanzo.
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Serikari zilikuwepo enz na enz ata yesu aliulizwa ni hak kulipa kod kwa kaisal akasema ya kaisali apewe kaisal na mungu apewe mungu
Tupe hoja toa factYesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Biblia inayo elezea uwepo wa Mungu na Yesu ni hadithi na Hekaya za kusadikika kama ilivyo hekaya za Abunuwasi.
Mkuu.Huyo Mungu kama yupo, yuko wapi?