Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Hakuna mungu.angekuepo kule gaza watoto na kina mama na wazee wasingeteseka.mungu gani takataka asiwe na huruma
Mungu wa agano la kale ambalo Wayahudi bado wanalifuata aliruhusu maadui wote wa Israel wakubwa kwa watoto kuuwawa, pia kule Misri aliua wazaliwa wote wa kwanza kwa sababu ya ugumu wa moyo wa Farao kuwaachia wana Israel kutoka utumwani.
 
Existence yangu imetoka kwa wazazi wangu Baba na Mama yangu.

Ulimwengu na binadamu havina mwanzo.

Ulimwengu na binadamu ndio vyanzo vyenyewe.
Umefunga akili yako tu, umeipa ukomo wa kufikiria

Binadamu hawezi kuwa hana mwanzo wake.

Ulimwengu(sayari, jua, mwezi na nyota na mengineyo yote, bahari, mimea na viumbe vyote vilivyomo) vina mwanzo.
 
When you purchase a car from Japan, if it has no warrant ( Ofçourse no car wallanties , it's only insurance) the manufacturing company won't be responsible for the accidents you'll face on the road, and you can't claim that the car wasn't created by intelligent people because it's facing accidents and other mechanic failures.
Hilo gari linapata ajali kwa sababu alielitengeneza sio muweza wa yote na so hana uwezo wa kutengeneza perfect car isiyopata ajali

Lakini huo uwezo angekuwa nao ni lazima angetengeneza gari lisilopata ajari ili kuzuia ajari na sio kusubiria muendeshaji ndo aje aamue kufata sheria za barabarani au lah
 
Imani ya Mungu haisaidii chochote.

Ndio maana binadamu walifikia uamuzi wa kuanzisha mahakama, jela, sheria za uhalifu na makosa.

Ili ku replace hiyo " imani ya Mungu" isiyo saidia chochote kwenye kuleta amani katika jamii.
Serikari zilikuwepo enz na enz ata yesu aliulizwa ni hak kulipa kod kwa kaisal akasema ya kaisali apewe kaisal na mungu apewe mungu
 
Nature is chaotic, so the perfection of man and other living things alone proves beyond reasonable doubt that there is God ( The designer). Kamwe " nature" haiwezi tengeneza ktu perfect, ndio mana milima , bahari, mabonde, nk haviwez kufanana . I rest my case
# No malice to anybody
Kwa nini unasema Binadamu ni perfect? Viumbe hai wengine pia ni perfect kivipi?
 
Umefunga akili yako tu, umeipa ukomo wa kufikiria

Binadamu hawezi kuwa hana mwanzo wake.

Ulimwengu(sayari, jua, mwezi na nyota na mengineyo yote, bahari, mimea na viumbe vyote vilivyomo) vina mwanzo.
Sasa mkuu ukiforce kila kitu kiwe na mwanzo si kutakuwa kuna ulazima pia wa chanzo huyo mungu

Sasa hapo utajibu nini?
 
Kwa nini umeamua kuamini hivyo?
Siamini hivyo bali najua kwamba ulimwengu upo na unathibitishika upo, na kuonekana upo na kila mtu.

Inajulikana na kuthibitishika kwamba ulimwengu upo.

Ulimwengu hauaminiwi upo, Bali unajulikana pasi shaka kwamba upo.
Je mwingine naye akichagua kuamini Mungu ni eternal asiye na mwanzo wala mwisho utamkatalia vipi??
Mungu hathibishiki yupo kwa namna yoyote ile.

Huyo Mungu Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala haisiki.

Mungu huyo hayupo kwa namna yoyote ile.


Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.

Ulimwengu upo, unaonekana upo na kuthibitishika upo.
 
Ulimwengu ni eternal? Kwamba hauwajawahi kuwa na mwanzo wala mwisho?

Sijui. Lakini haujaumbwa na Mungu.

Unafahamu dhana ya "finite but unbounded"?

Uso wa kitu kama mpira hauna mwanzo wala mwosho, lakini uko finite.

Dhana nzima ya "cause and effect", ambayo ndiyo inatumika sana kuhalalisha uwepo wa Mungu, kwa kusema "kuna ulimwengu huu, na ulimwengu huu kuwapo ni lazima uwe umembwa, na kama umeumbwa ni lazima umeumbwa na Mungu" (logical non sequitur fallacy, but let's ignire that just to explore some more this line of thinking) inatokana na ujinga wetu wa kutoijua dunia.

Ukisoma physics ya Quantum Causal Loops utaona kuwa kuna level ya ulimwengu huu ambako cause and effect inavunjika.

Kwamba huko kwenye quantum world kunawezekana kuwa na cause A, itakayotoa effect B, halafu hiyo effect B nayo ikawa ndiyo cause iliyosababisha A kuwepo. Ni kama vike kuna dunia ya baba anayekuwa na mtoto, halafu huyo mtoto naye ndiye baba wa huyo baba aliyemzaa, kuna quantum causal loop hapo kiasi kwamba huwezi kisema kipi kilianza.

Sasa, katika dunia kama hiyo, suala zima la cause and effect linaondoka.

Cause and effect ni illusion inayotokea katika ulimwengu wa kevel yetu tu, ukizama huko kwenye quangum world cause and effect tunayoijua inaondoka, hata time kama tunavyoijua sisi inaondoka.

Sasa, kabla ya kukimbukia majibu rahisi ya Mungu, inabidi tusome haya mambo kama quantum physics tuyaelewe vizuri. Tujue time ni nini, tujue space ni nini, tujue mahesabu ya ku reconcile Einstein's Relativity na Quantum Physics.

Sasa hapa watu wengi hata wanajua Quantum Physics inaongelea nini?

Soma zaidi kuhusu Quantum Causal Loops hapa.

 
Bitcoin2 tusaidie kujibu hapa tafadhali
Nikipata muda ntajibu lkn in a meantime , Mr. Kiranga and his company believe that the universe has a one time beginning ( big bang ) that's like more than 13 billion years ago, and that's what science believes in. Then if I'm to ask him what triggered the big bang and what existed before the big bang.
Secondly I'd like to ask him whether he thinks we're the only intelligent creature in the vastness of the universe, remember as a planet with our sun and it's 8 dependants, I mean the 8 planets were just a tiny dot (.) in the observable universe, so in reality there is more advanced beings in the universe, which in one way or the they might have let to the creation of humans , remember we've been here for a few years not more than a million according to carbon dating yet the planet ( the rock you're standing on) has been here for over 4 billion years.
In the presence of God ( designer) you're insignificant, usijipe ujiko wew binadamu , the universe is so big and you're not that big of a deal. God is Great , everyone say " THE CREATOR IS GREAT"
Bitcoin2 tusaidie kujibu hapa tafadhali
 
I feel like recording a voice note for you and everyone else who has no understanding about God . Mnachanganya Mungu na dini which is not right. Mungu akuleta dini Wala hajui mambo ya dini. Ndio ulizaliwa but remember the intelligence ( God) which initiated the self-replicating process of reproduction and birth. Let me use this analogy to atleast make you understand. You bought a toothbrush, the company which manufactured the toothbrush doesn't follow up on how you use it , whether you use it for brushing your teeth, hair or shoes that's your business, God created this universe and he might be somewhere creating other universes ( The Multiverse) Is not here to check whether the self replicating process is bringing abnormal children or not, whether there earthquakes or not , he embedded all that in the Code, one day we're going to figure out how to circumvent all the known problems because it's all in the Code. Religion in it's entirety is a scam , I don't want to go in details and I don't believe in religion but that doesn't take away the fact that there is God ( Designer).
When you purchase a car from Japan, if it has no warrant ( Ofçourse no car wallanties , it's only insurance) the manufacturing company won't be responsible for the accidents you'll face on the road, and you can't claim that the car wasn't created by intelligent people because it's facing accidents and other mechanic failures.
Kama huyo Mungu yupo, unacho hangaika kumtetea na kumwelezea uwepo wake ni nini?

Si ajitokeze mwenyewe ajiongelee na kujielezea mwenyewe?

Kuhangaika kwako kumuelezea Mungu, Ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.

Ni wewe tu unafosi mawazo yako yasiyo na uthibitisho wowote ule.
 
Umefunga akili yako tu, umeipa ukomo wa kufikiria

Binadamu hawezi kuwa hana mwanzo wake.

Hata huyo Mungu hawezi kuwa hana mwanzo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na mwanzo Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Binadamu hatuna na hatuhitaji tuwe na chanzo.
Ulimwengu(sayari, jua, mwezi na nyota na mengineyo yote, bahari, mimea na viumbe vyote vilivyomo) vina mwanzo.
Ulimwengu na vyote vilivyomo havina na havihitaji kuwa na mwanzo.
 
Serikari zilikuwepo enz na enz ata yesu aliulizwa ni hak kulipa kod kwa kaisal akasema ya kaisali apewe kaisal na mungu apewe mungu
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Biblia inayo elezea uwepo wa Mungu na Yesu ni hadithi na Hekaya za kusadikika kama ilivyo hekaya za Abunuwasi.
 
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Biblia inayo elezea uwepo wa Mungu na Yesu ni hadithi na Hekaya za kusadikika kama ilivyo hekaya za Abunuwasi.
Tupe hoja toa fact
 
Huyo Mungu kama yupo, yuko wapi?
Mkuu.

Inawezekanaje, kila sehemu ya Dunia kuna watu wanaamini Mungu yupo na asiwepo.

Yaani kila utakakokwenda wewe hapa duniani kuna watu wanaamini Mungu yupo. Haijalishi wanamuitaje au wa namna gani. Ila wanaamini yupo.
 
Back
Top Bottom