Ulimwengu ni eternal? Kwamba hauwajawahi kuwa na mwanzo wala mwisho?
Sijui. Lakini haujaumbwa na Mungu.
Unafahamu dhana ya "finite but unbounded"?
Uso wa kitu kama mpira hauna mwanzo wala mwosho, lakini uko finite.
Dhana nzima ya "cause and effect", ambayo ndiyo inatumika sana kuhalalisha uwepo wa Mungu, kwa kusema "kuna ulimwengu huu, na ulimwengu huu kuwapo ni lazima uwe umembwa, na kama umeumbwa ni lazima umeumbwa na Mungu" (logical non sequitur fallacy, but let's ignire that just to explore some more this line of thinking) inatokana na ujinga wetu wa kutoijua dunia.
Ukisoma physics ya Quantum Causal Loops utaona kuwa kuna level ya ulimwengu huu ambako cause and effect inavunjika.
Kwamba huko kwenye quantum world kunawezekana kuwa na cause A, itakayotoa effect B, halafu hiyo effect B nayo ikawa ndiyo cause iliyosababisha A kuwepo. Ni kama vike kuna dunia ya baba anayekuwa na mtoto, halafu huyo mtoto naye ndiye baba wa huyo baba aliyemzaa, kuna quantum causal loop hapo kiasi kwamba huwezi kisema kipi kilianza.
Sasa, katika dunia kama hiyo, suala zima la cause and effect linaondoka.
Cause and effect ni illusion inayotokea katika ulimwengu wa kevel yetu tu, ukizama huko kwenye quangum world cause and effect tunayoijua inaondoka, hata time kama tunavyoijua sisi inaondoka.
Sasa, kabla ya kukimbukia majibu rahisi ya Mungu, inabidi tusome haya mambo kama quantum physics tuyaelewe vizuri. Tujue time ni nini, tujue space ni nini, tujue mahesabu ya ku reconcile Einstein's Relativity na Quantum Physics.
Sasa hapa watu wengi hata wanajua Quantum Physics inaongelea nini?
Soma zaidi kuhusu Quantum Causal Loops hapa.
Causal reasoning is ubiquitous - from physics to medicine, economics and social sciences, as well as in everyday life. Normally, causal influence is assumed to only go one way - from cause to effect - and never back from the effect to the cause: the ringing of the bell does not cause the...
www.eurekalert.org