mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Sawa kwa tueleze kwa unavojua ww je binaadamu wa kwanza alikujaje hapa duniani ñaomba muongozo wakoHakuna Mungu wa aina yeyote ile.
Hakuna Mungu wa dini.
Hakuna Mungu Muumba.
Hakuna Mungu wa kila kitu.
Hakuna Mungu The great architecture.
Hakuna Mungu Designer.
Hakuna Mungu wa aina yeyote ile.
Keyword: “wanaamini”.Mkuu.
Inawezekanaje, kila sehemu ya Dunia kuna watu wanaamini Mungu yupo na asiwepo.
Yaani kila utakakokwenda wewe hapa duniani kuna watu wanaamini Mungu yupo. Haijalishi wanamuitaje au wa namna gani. Ila wanaamini yupo.
Sijasema hayupo!Kama hayupo
thibitisha
Show facts that there is no GodHakuna Mungu wa aina yeyote ile.
Hakuna Mungu wa dini.
Hakuna Mungu Muumba.
Hakuna Mungu wa kila kitu.
Hakuna Mungu The great architecture.
Hakuna Mungu Designer.
Hakuna Mungu wa aina yeyote ile.
Hakuna binadamu wa kwanza kwa watu wote.Sawa kwa tueleze kwa unavojua ww je binaadamu wa kwanza alikujaje hapa duniani ñaomba muongozo wako
What is a fact?Show facts that there is no God
Leta uthibitisho kwamba hakuna mungu acha siasaWhat is a fact?
Define the term " fact"
Because it seems you don't even understand what you're saying.
Keyword: “wanaamini”.
Maana yake ni kwamba ‘hawajui’.
Wewe unajua kama baba yako yupo au unaamini baba yako yupo?
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.Leta uthibitisho kwamba hakuna mungu acha siasa
Kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa watu wote duniani, Kusingekuwa na utofauti wa rangi na vinasaba kwa binadamu.
Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa watu wote, Basi binadamu wote ulimwenguni tungefanana vinasaba vyetu pamoja na rangi.
Lakini sivyo Binadamu tume tofautiana, Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weusi, wachina, Wajapan, wafilipino, waarabu, wahindi wekundu, wahindi weupe n.k
Huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna binadamu wa kwanza ulimwenguni wa watu wote.
Wewe ukiulizwa umejuaje kuna Mungu?Matumizi yako ya tamko "nge" yanaonyesha wazi ya kuwa hujui na huna ushahidi juu ya hicho unachokiandika. Tutakuuliza umejuaje hili ?
Wewe mwenyewe huna uhakika, uthibitisho wala ushahidi wa uwepo wa Mungu.Andika vitu ambavyo una uhakika navyo na uhitimishe kwa lile unalo lijua.
You need mental rehabilitation therapy.Bado hujathibitisha bali umetengeneza sentensi ambazo zina hitaji ushahidi, ya kwamba utuambie ilikuwaje hao watu tofauti wakawepo ?
You don't understand what I mean by perfection, I'll use a simple analogy. Nyumba yako Ina paa, Kuta, umepigà rangi, mabati mazur, ceiling ulioyoitengeza na mvuto , milango na madirisha pamoja na ventilators , that's perfection , kwasabb we ni designer umefkria kabla hujajenga au umeona wengne waliovojenga. Hivyo ndivyo kwa " Muumba" yaani God ( designer) . Ukienda kwenye mapango hayana sakafu au tiles kama nyumba yako kwasabb "nature" ndio imeyatengeneza in it's chaotic ways
😄😄 rudi tena kwa shemasi muanze upya kujadiliMfano mimi nilikuwa nasali nipate kitu fulani na nikakipata what is your thoughts on this?Au mtu kaombewa shida husika ikaondoka
Wewe ukiulizwa umejuaje kuna Mungu?
Unaanza kuleta hadithi za kwenye Quran. Mara ooh! Imeandikwa kwenye Quran.
Ukiambiwa uthibitishe ukweli wa hayo maandishi ya Quran huwezi.
Unabaki kuruka ruka tu.
Wewe mwenyewe huna uhakika, uthibitisho wala ushahidi wa uwepo wa Mungu.
Mnafosi fosi tu imani zenu uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule.
You need mental rehabilitation therapy.
Wewe mwenyewe bado hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu yeye kama yeye.
Unaleta hadithi zenu uchwara za vitabuni huko kwenye Quran zisizo na utofauti na hekaya za Abunuwasi.
Mkuu mifano unayotuletea ni Non Sequtal, Unajaribu kuthibitisha perfection ya huyo Mungu wa kwenye vitabu kwa kulinganisha na Nyumba nzuri ambayo aliye iunda pekee ndiye anaiona kua ni perfect, Labda kwakua ametumia Ideas na materials anazozipenda yeye binafsi.
Perfect haikosolewi mfano hewa- Huwezi ukaikosoa hewa, Huu mfano ulioutoa kuhusu nyumba ni wrong, sababu kuna house designer wengine wakiiona hiyo nyumba huenda wakasema "Huyu jamaa kwanini aliezeka bati migongo hii, au kwanini asingepiga rangi hii, Au nyumba nzuri ila Sijapenda ramani ya vyumba" Kwahiyo nyumba haiwezi kuwa perfect.
Nakubali umesema hakuna binaadamu wakwanza kutokana na urofauti wa rangi na vinasaba unamaanisha tumeombwa tofauti tuchukulie washaumbwa watu warangi tofauti navinasaba je walitokana nann au walikuja kivip mpaka wakawepo duniani tunahitaji chanzo cha uwepo wap utuelezeeHakuna binadamu wa kwanza kwa watu wote.
Kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa watu wote duniani, Kusingekuwa na utofauti wa rangi na vinasaba kwa binadamu.
Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa watu wote, Basi binadamu wote ulimwenguni tungefanana vinasaba vyetu pamoja na rangi.
Lakini sivyo Binadamu tume tofautiana, Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weusi, wachina, Wajapan, wafilipino, waarabu, wahindi wekundu, wahindi weupe n.k
Huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna binadamu wa kwanza ulimwenguni wa watu wote.