Mada inajirudia rudia kwa sababu Mungu hayupo.
Angekuwepo angetupa jibu la kueleweka tungeelewa tungefunga mada.
Nada inajirudia sababu ya ujinga wenu na kusumbua watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada inajirudia rudia kwa sababu Mungu hayupo.
Angekuwepo angetupa jibu la kueleweka tungeelewa tungefunga mada.
Kwa nini unahisi ulimwengu lazima utokee au uumbwe?Safi kabisa, unaposema kwamba mahubiri unamaanisha ni kitu kisicho kuwa na maana au ni vipi ?
Sababu hata hayo mahubiri ni fact na uhalisia, Sasa unatakiwa upinge kile ninachokiandika na kuonyesha udhaifu wake, na usikimbie hoja.
Mfano, ni huu nakuuliza swali la msingi, je huu Ulimwengu umetokea pasi na chochote au umejiumba ? Bali au ni nyinyi ndio mmeumba mbingu na ardhi ? Karibuni kunakishi hoja na msikimbie hoja, ili muonekane walau mna akili. Kinyume chake mnaendeleza na kuweka sifa zenu wazi za udhaifu wa kujenga hoja, kukosoa hoja na kukimbia maswali.
Sio nahisi, yaani nina uhakika huo na ushahidi upo.Kwa nini unahisi ulimwengu lazima utokee au uumbwe?
Ile tu kwamba wewe uko hai inathibitisha uwepo wa Mungu!Huyo Mungu kama yupo, yuko wapi?
Kwa nini unahisi vitu ili viwepo vinahitaji alie viweka awepo? Halafu unakataa Uwepo wa Mungu haujawekwa na mtu mwingine tena na huyo mwingine na mwingine to infinity 🤔🤔Sio nahisi, yaani nina uhakika huo na ushahidi upo.
Nitakuuliza swali, kwa akili yako huu Ulimwengu umetokea tu pasi na chochote au umejiumba wenyewe ? Hili linawezekana vipi ? Tumia akili yako kisha weka hoja tujadili.
Hapana, hapa umelazimisha.Ile tu kwamba wewe uko hai inathibitisha uwepo wa Mungu!
Kwa nini unahisi vitu ili viwepo vinahitaji alie viweka awepo? Halafu unakataa Uwepo wa Mungu haujawekwa na mtu mwingine tena na huyo mwingine na mwingine to infinity 🤔🤔
Imani ikithibitika haita itwa imani tena siku hiyo hiyo itabadilishwa jina na kuitwa maarifa na ukweli 🤔🤔🤔Hapana, hapa umelazimisha.
Mtu kuwa hai kunathibitisha vipi Mungu yupo?
Logical nonnsequitur fallacy.
Na kwa nini tushupalie imani ikiwa imani inaweza juwa hata ya uongo na tunaweza kuhakiki mambo tukaondoka kwenye imani na kujikita kwenye ukweli na maarifa?Imani ikithibitika haita itwa imani tena siku hiyo hiyo itabadilishwa jina na kuitwa maarifa na ukweli 🤔🤔🤔
Sijui inakuje vitu kuwepo pasipo chochote.Sababu uhalisia unalazimisha viwepo na aliye fanya vikawepo. Unaweza kutuambia imekuwaje vitu vikawepo pasi na chochote ?
Twende taratibu na tufate adabu na nidhamu za mjadala, ulianza kuuliza swali nikakujibu, na Mimi nikakuuliza swali. Utaratibu unakutaka wewe ujibu kwanza kisha uulize swali. Hivi ndio mjadala utaleta maana na huenda tukapeana faida.
Hawaamini kwamba hakuna Mungu, wanajua hayupo. Wanaosema yupo ndio wanaoamini kwamba yupo.
Umesema ukweli mtupu mkuuHawaamini kwamba hakuna Mungu, wanajua hayupo. Wanaosema yupo ndio wanaoamini kwamba yupo.
Mkuu ukwel utafanya watu wakose tumaini , ebu fikiria tu mtu toka mchanga anaambiwa akifa ataenda mbinguni halafu leo ajue ukwel 🤔🤔Na kwa nini tushupalie imani ikiwa imani inaweza juwa hata ya uongo na tunaweza kuhakiki mambo tukaondoka kwenye imani na kujikita kwenye ukweli na maarifa?
Sijui inakuje vitu kuwepo pasipo chochote.
Je inakuaje Mungu awepo pasipo chochote? Na hicho chochote pasipo chochote to infinity ------
Aya ya kwanza tu imethibitisha ulicho kisema ni maneno ya kiimani tu ambayo hauwezi kuyathibitisha ili yatoke kwenye imani yawe ukwel na hakika.Safi kabisa, sababu hujui basi leo ujue ya kuwa hakuna kitu kinachokuwepo pasi na chochote isipokuwa MOLA muumba.
Swali zuri, sababu yeye ni chanzo cha kila kitu ambacho hakihitaji chochote ili liwepo.
Infinity hai exist kijana, yaani haipo na hizi ni fikra finyu ambazo zinaenda kinyume na uhalisia. Huwa napenda kuwapo mfano mwepesi wa Entropy kama wewe ni mfatiliaji wa mambo ya Sayansi ? Au second law of Thermodynamics ? Ukivisoma hivi navyo vinaonyesha ya kuwa uwepo wa lazima wa kitu kimoja pekee ambacho hakihitaji chanzo Wala chochote ili kuwepo kwakez sababu chenyewe ni kamilifu.
Kati ya matumaini ya uongo na ukweli usio na matumaini, nachagua ukweli usio na matumaini.Mkuu ukwel utafanya watu wakose tumaini , ebu fikiria tu mtu toka mchanga anaambiwa akifa ataenda mbinguni halafu leo ajue ukwel 🤔🤔
Watu wanakubishia sio kwamba wanajua Mungu yupo ila wanabisha kushindana na zile ahadi na matumaini hewa 🤔
Mkuu ukwel utafanya watu wakose tumaini , ebu fikiria tu mtu toka mchanga anaambiwa akifa ataenda mbinguni halafu leo ajue ukwel 🤔🤔
Watu wanakubishia sio kwamba wanajua Mungu yupo ila wanabisha kushindana na zile ahadi na matumaini hewa 🤔
Kabisa , kuujua ukweli usiokua natumaini kunakufanya ukabiliane na hali yoyote na kufanya jambo kwa hekima zaidi 🤔Kati ya matumaini ya uongo na ukweli usio na matumaini, nachagua ukweli usio na matumaini.
Aya ya kwanza tu imethibitisha ulicho kisema ni maneno ya kiimani tu ambayo hauwezi kuyathibitisha ili yatoke kwenye imani yawe ukwel na hakika.