Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Neno Mungu halitoshi kuelezea na limezoeleka mpaka ile maana imepotea.
Ukisema Asali Asali hata mara milioni moja hautaweza kusikia utamu wake mpaka uionje.
Mungu yupo na hayupo !!! Uwepo na kutokuwepo kwake hatuwezi kujua kwa ubinadam wetu.
 
Kama nature haiwezi kuwepo bila kuumbwa basi hata Mungu unayesema naye ameumbwa, na huyo aliyemuumba Mungu naye ameumbwa, huyo aliyemuumba huyo pia ameumbwa na kuendelea.
 
Kwa Hoja Hii Nathibitisha Kuwa Kuna Mstari mdogo sana Kati ya wanayosema Kuhusu Wewe Na Wewe halisi Ulivyo..
(Rejea kauli ya Inforpren...)

Natamani hiki unachokiandika ingekuwa kweli, huenda ninge jitathmini upya. Lakini ukweli upo dhidi yenu na hili limedhihirika na linaendelea kudhihirika.
Ni dhahiri Nimegundua Hata Unachokitetea Hujui Maana Yake na Hata unachokisimamia Hukitambui..
Kwanza Kabisa Hakuna Imani Sahihi..
Kwa sababu Imani zote zinatokana na internal experience, Kama mwenyewe Ulivyotaja kufungamanisha Moyoni..

Kila muda nasisitiza ya kuwa ongeza umakini ili usikosee katika kunijibu kama unavyo fanya hapa. Imani sahihi ipo na ni ile ambayo imetanguliwa na elimu sahihi. Kwanini unaandika uongo ? Imani zote huanzia kwanza na maarifa kisha kusadiki kwa moyo na kutamka kwa ulimi. Kufungamanisha moyoni ni hatua ya mbele na sio mwanzo.
Sasa Kitu kilicho ndani ya mtu mmoja mmoja hakiwezi kulingana Baadhi ya mtu na mtu kama hakiwezi kulingana hakuna Kilicho sahihi au Kisicho sahihi..

Hapa hakuna ulichokiandika kama ungekuwa umeelewa nilichokiandika ulitakiwa ujue ya kwamba kuna sababu ambazo kwazo hupelekea watu wakapishana au kutofautiana na hizi humili katika hiari ya mtu husika. Ndio maana nasisitiza ya kuwa unajadili jambo ambalo huna elimu nalo. Mfano mzuri ni imani juu ya uwepo wa Mola muumba, imani hutanguliwa na elimu ya utambuzi kupitia akili, mazingira, ufunuo bali kila mtu maeumbwa kwa hali ya kukubali juu ya uwepo wa mungu pale atakapo pewa elimu sahihi. Hii huitwa Fitra, yaani akiambiwa tu suala la uwepo wa Mungu akiwa kabla hajajazwa fikra potofu na elimu za uongo hawezi kupinga hili jambo. Leo hii ni wangapi wanaamini juu ya uwepo wa Mungu na si mmoja mmoja ?
Kwa mfano Hakuna Universal Standard ha Utamu Kwa sababu Vionja Utamu Taste buds Zinatofautiana so Huwezi kuniambia Huu ndo Utamu wa Kweli sasa...

Fata kanuni za utoaji mifanousitoe mfano ambao hauendani na hiki tunachokijadili. Yaani tunaongelea imani wewe unaleta mambo ya ladha ? Kinginie huu ni uongo mwingine, kwanini watu wanajua ladha ya sukari popote ilipo na kwanini ikawa sukari na si chumvi kwa wakati huo huo ? Anglia asili, leo hii huwezi ukaniambia ya kuwa hakuna kipimo anuai cha ute uliop masikioni kwa kile mtu, aisee hili halipo sababu kila kitu kimewekwa kwa hekima yake. Ute wa sikioni ladh yake ni ya uchungu hii ni kwa kila mtu hakuna tu atakae kwambia ladha ya ute sikioni ni mtamu au una ladha ya sukari au uchumvi chumvi, wakati inajulikana wazi kwanini ute wa sikioni umekuwa mchungu na ingekuwaje kama ungekuwa na ladha ya chumvi ?

Kingine kuna utamu wa kihisia na utamu wa kimaana, hapa usichanganye, bali tunamili katika hususia ya na dhati ya tamko "Utamu".
abda Tuzungumze kilicho thabiti yaani Imani Madhubuti..

Mimi nachoona Hujui Hata Unachoongea wala unachotetea..

Hapa nimecheka sana, halafu wewe unasema ya kuwa mimi ni kama alivyo sema uliyemtaja huko juu, wakati hili linadhihirika kwako. Umekisoma hiki ulichokiandika ? Yaani unakanusha halafu unakiri tena wakati huo huo. Madhubuti ina tofauti gani na sahihi ? Huwa nawaambia kila uchwao jifunzeni maana za maneno kwa dhati zake kabla hamjazitumia mbona kamusi zipo aisee.

Kuna muda mnaandika vitu mpaka mnatupa uvivu wa kuwajibu. Sasa hiki nini ulicho andika ? Kama unakubali imani madhubuti halafu unapinga imani sahihi, hujakidhi vigezo vya kujadili hii kadhia.
Ulichozungumza Ni circle ya Faith/believe With Doctrine..
Doctrine kwa Kiswahili ni Mafundisho ama Dogma au Maandiko au Unaweza ukaita Utakavyo Hata Itikadi(Itiqad)..

sasa kwakuwa Sijafa Niko tayari Kukueleza..

Kijana Itikadi ndio imani mzee, soma hata hiyo Doctrine inaingia humo. Katika hili utaonekana mjinga ni wewe kama kweli unataka kujifunza.
 
Ujuzi unaouongelea na Kuutambia kwamba Lazima kwanza Upate elimu ndo upate Imani ni Ujuzi au Elimu ambayo kwa lugha Ya kigiriki Tunauita "PseudoSophia" au Unaweza Kuuita kwa Kuipamba kama Doctine..
Ila Elimu yyoyote ambayo Haina ithibati (Haina Uthibitisho wa Hoja Zake Ni PseudoSophia
Na mara Nyingi aina Mojawapo wa PseudoSophia ni Doctrine yaani Mafundisho ya Kidini..

Kijana hapa utaleta msamiati wowote unao ujua wewe lakini hafui dafu katika suala la imani, lazima itanguliwe na elimu. Unakubali ya kuwa hakuna anae zaliwa akiwa anajua chochote ? Maan yake mtu anajifunza kupitia milango ya fahamu kadhalika kufundishwa na mwalimu na mfano wa hayo.

Sasa unapopinga hili unatakiwa ulete hoja. Ithibati kwako wewe ni nini ?
Kwa Sababu Imani Zake hazijathibitishwa na Kuwa Facts..
Na Ndo maana Hata Science za Kwenye Dini Tunaita PseudoScience kwa sababu baada ya Kuthibitisha Imegundulika hazina Ukweli wowote..

Kwenye Facts hapa pia kuna tatizo. Kuita kwako wewe kwa jina hilo sio ushahidi ya kuwa ni kweli, sababu mara nyingi maana huwa zinavutiwa kwa yule aliyeweka maana na maana nyingi za vitu si sahihi katika uhalisia na dhati yake, hili ameliongelea vizuri sana Shaykhul Islam Ibn Taymiyyah katika Kitabu chake "Refutation to the Greek Logicians".
So Twende kwenye Circle ya Imani Mpaka Doctrine mpaka kuwa PseudoSophia..

Ukienda kwa mtindo huu hutoboi katika huu mjadala, sababu unatumia lugha mbili tofauti kwa maana moja. Utajionea mwenyewe.
 
Natamani hiki unachokiandika ingekuwa kweli, huenda ninge jitathmini upya. Lakini ukweli upo dhidi yenu na hili limedhihirika na linaendelea kudhihirika.

Kila muda nasisitiza ya kuwa ongeza umakini ili usikosee katika kunijibu kama unavyo fanya hapa. Imani sahihi ipo na ni ile ambayo imetanguliwa na elimu sahihi. Kwanini unaandika uongo ? Imani zote huanzia kwanza na maarifa kisha kusadiki kwa moyo na kutamka kwa ulimi. Kufungamanisha moyoni ni hatua ya mbele na sio mwanzo.

Hapa hakuna ulichokiandika kama ungekuwa umeelewa nilichokiandika ulitakiwa ujue ya kwamba kuna sababu ambazo kwazo hupelekea watu wakapishana au kutofautiana na hizi humili katika hiari ya mtu husika. Ndio maana nasisitiza ya kuwa unajadili jambo ambalo huna elimu nalo. Mfano mzuri ni imani juu ya uwepo wa Mola muumba, imani hutanguliwa na elimu ya utambuzi kupitia akili, mazingira, ufunuo bali kila mtu maeumbwa kwa hali ya kukubali juu ya uwepo wa mungu pale atakapo pewa elimu sahihi. Hii huitwa Fitra, yaani akiambiwa tu suala la uwepo wa Mungu akiwa kabla hajajazwa fikra potofu na elimu za uongo hawezi kupinga hili jambo. Leo hii ni wangapi wanaamini juu ya uwepo wa Mungu na si mmoja mmoja ?

Fata kanuni za utoaji mifanousitoe mfano ambao hauendani na hiki tunachokijadili. Yaani tunaongelea imani wewe unaleta mambo ya ladha ? Kinginie huu ni uongo mwingine, kwanini watu wanajua ladha ya sukari popote ilipo na kwanini ikawa sukari na si chumvi kwa wakati huo huo ? Anglia asili, leo hii huwezi ukaniambia ya kuwa hakuna kipimo anuai cha ute uliop masikioni kwa kile mtu, aisee hili halipo sababu kila kitu kimewekwa kwa hekima yake. Ute wa sikioni ladh yake ni ya uchungu hii ni kwa kila mtu hakuna tu atakae kwambia ladha ya ute sikioni ni mtamu au una ladha ya sukari au uchumvi chumvi, wakati inajulikana wazi kwanini ute wa sikioni umekuwa mchungu na ingekuwaje kama ungekuwa na ladha ya chumvi ?

Kingine kuna utamu wa kihisia na utamu wa kimaana, hapa usichanganye, bali tunamili katika hususia ya na dhati ya tamko "Utamu".

Hapa nimecheka sana, halafu wewe unasema ya kuwa mimi ni kama alivyo sema uliyemtaja huko juu, wakati hili linadhihirika kwako. Umekisoma hiki ulichokiandika ? Yaani unakanusha halafu unakiri tena wakati huo huo. Madhubuti ina tofauti gani na sahihi ? Huwa nawaambia kila uchwao jifunzeni maana za maneno kwa dhati zake kabla hamjazitumia mbona kamusi zipo aisee.

Kuna muda mnaandika vitu mpaka mnatupa uvivu wa kuwajibu. Sasa hiki nini ulicho andika ? Kama unakubali imani madhubuti halafu unapinga imani sahihi, hujakidhi vigezo vya kujadili hii kadhia.

Kijana Itikadi ndio imani mzee, soma hata hiyo Doctrine inaingia humo. Katika hili utaonekana mjinga ni wewe kama kweli unataka kujifunza.
Nimeona napoteza Mda kwa mtu asiyejua Kitu..
Nimekuacha
 
Kwenye Facts hapa pia kuna tatizo. Kuita kwako wewe kwa jina hilo sio ushahidi ya kuwa ni kweli, sababu mara nyingi maana huwa zinavutiwa kwa yule aliyeweka maana na maana nyingi za vitu si sahihi katika uhalisia na dhati yake, hili ameliongelea vizuri sana Shaykhul Islam Ibn Taymiyyah katika Kitabu chake "Refutation to the Greek Logicians".
Nimegundua Tatizo lako unataka Kujibu Logic zilizo kwenye facts Ukitumia Tafsiri iliyotolewa na Dini!🤣🤣🙌🙌
Abadani Shetani Hawezi kumtoa Shetani..
Yaani Unatama Nikamsome ibn Taymiyyah ndo anipe maana ya Facts na Knowledge 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
 
Baada ya Mtu kuanzisha Imani Yake Lets say nikasema naamini kwamba Babu yangu Mzee Kombo au Mzee ngazija Ananiangalia Hapa nilipo na Kuniletea Kila nitakachoomba na Kila siku ananipa Maelekezo..ya Nini nifanye maishani mwangu na Ameniambia Niandike Haya mambo na Niwafundishe watu haya mambo yote..

So Mimi nitaamini Kwamba Mzee Kombo au Mzee Ngazija wananitembelea Na Kunipa Maelekezo na wenzangu pia wanaoniamini Mimi wataamini Hivyo..

Baada ya Kuamini Hivyo Tutatengeza Mafundisho kuwafundisha wenzetu kuhusu Imani yetu Lets call it Mzee Ngazija..
Saaa Imani yetu ya Mzee Ngazija ikaendelea na Ikakuwa kwenye Kijiji chote..

Unategemea Mtu Atakayetaka Kujiunga na Imani ya Mzee Ngazija kwanza Anatakiwa Afanyaje??

Anatakiwa Afundishwe kwanza ili ajue anadeal na Nini na Baadae Awe na Itiqadi kama yetu sisi..

Hapa sasa ndio tatizo lilipo anzia, yaani ukiangalia katika maelezo yako mtiririko uko pale pale kwanza huyo wa kwanza alitanguliwa na maarifa yaani ufahamu fulani ambao una ishara, mwisho wake sasa akaamini baada ya kutanguliwa na hizo ishara, kingine ambacho hujajua ni kuwa huyo mafundisho hayo alikuwa nayapata kupitia kiumbe kingine.

Huyo lazima watakao kuja mbeleni awafundishe kile ambacho yeye ameshajifunza na kuona kina athari chanya kwake.
 
Najiulizaga alipata wapi Idea ya yote haya? Pia kingine maji aliyakuta sasa hayo maji nani aliumba.?
 
Hapa sasa ndio tatizo lilipo anzia, yaani ukiangalia katika maelezo yako mtiririko uko pale pale kwanza huyo wa kwanza alitanguliwa na maarifa yaani ufahamu fulani ambao una ishara, mwisho wake sasa akaamini baada ya kutanguliwa na hizo ishara, kingine ambacho hujajua ni kuwa huyo mafundisho hayo alikuwa nayapata kupitia kiumbe kingine.

Huyo lazima watakao kuja mbeleni awafundishe kile ambacho yeye ameshajifunza na kuona kina athari chanya kwake.
Nani alithibitisha Hayo mafundisho??
 
Nimegundua Tatizo lako unataka Kujibu Logic zilizo kwenye facts Ukitumia Tafsiri iliyotolewa na Dini!🤣🤣🙌🙌
Abadani Shetani Hawezi kumtoa Shetani..
Yaani Unatama Nikamsome ibn Taymiyyah ndo anipe maana ya Facts na Knowledge 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌

Nimecheka sana unasahau ya kuwa wewe umeanza kujenga hoja yako kwenye msingi wa wagiriki.

Mimi nakwambie ukachukue huko elimu sahihi na uone namna gani watu wenye elimu wanajenga hoja na kuwakosoa hao ambao wewe umeegemea kwao.

Ulitakiwa ujenge hoja.
 
Usisahau Ugiriki Sio Dini ila ni taifa..
So sikuweka Imani wala dini kwenye Kujibu kitu kinachohitaji Maarifa..
Wagiriki ni watu wa Kwanza Dunia kuwa na maarifa kuliko wengine
 
Ulichokiandika kisome. Kingine nani anapaswa kuhakiki imani ? Wanafalsafa ? Watu Mantiki au Wana Sayansi ?
Imani inatakiwa akuthibitika ili iwe Facts mthibitishaji anaweza kuwa mwanasayansi au Mtu wa mantiki kama kitu hakina mantiki kwanini ukiamini?
 
Anatakiwa Afundishwe kwanza ili ajue anadeal na Nini na Baadae Awe na Itiqadi kama yetu sisi..

So Inaendelea Ile ile Circle ambayo mwanzo ilianza na Mtu mmoja kuota kutokewa na Mzee Ngazija..

Kwa Hiyo ukiangalia Chanzo unagundua Kimeanza na Mtu mmoja kuhisi au Kusema alionana na Mzee ngazija...

Kwenye tamko "Itikadi" ukiweka "Imani" pia inakuwa na maana sawa. Acheni kucheza na meneno vijana.
 
Usisahau Ugiriki Sio Dini ila ni taifa..
So sikuweka Imani wala dini kwenye Kujibu kitu kinachohitaji Maarifa..
Wagiriki ni watu wa Kwanza Dunia kuwa na maarifa kuliko wengine

Sasa nani ameandika ya kuwa Ugiriki ni dini ? Hapa nawaongelea Wagiriki ambao ndio waasisi wa Falsafa na Mantiki kama fani pweke.

Hilo sio kweli, sababu watu wapo kabla yao walikuwa na maarifa hasa mitume na manabii, Wangekuwa na maarifa wangepatia katika mafundisho yao.

Wagiriki walikuwa na maswali mazuri ila hawakuwa na nyenzo sahihi za kuwapa majibu sahihi. Hao ndio Wagiriki na hili wanazuoni wamelizungumzia kwa upana na marefu.
 
So Inaendelea Ile ile Circle ambayo mwanzo ilianza na Mtu mmoja kuota kutokewa na Mzee Ngazija..

Kwa Hiyo ukiangalia Chanzo unagundua Kimeanza na Mtu mmoja kuhisi au Kusema alionana na Mzee ngazija...

Ndio maana nikakwambia tangu mwanzo kuna imani sahihi na imani potofu, bali kuna elimu sahihi na elimu za uongo, unapokosea na utashindwa huu mjadala pale unapo kata ya kuwa hakuna imani sahihi.
 
Back
Top Bottom