Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Ukishakufa hayo mambo ya kusomewa au kutosomewa ni sherehe ya waliobaki, aliyekufa hata hajui nini kinaendelea by all scientific evidence.

Mimi kwetu wanajua siamini uwapo wa Mungu. Huwa nawanunulia vitabu vya kuonesha Mungu hayupo nawapa zawadi.
Igweeeeeeeeee 😹😹
 
Mkuu,

Ukisali na ukapata kitu fulani utajuaje umekipata kwa sababu Mungu yupo kasikia sala zako na kakupa hicho kitu na si kwa sababu yoyote ile nyingine?

Na vipi kuhusu mara zote unazosali kutaka kitu halafu hupati, hilo nalo linathibitisha Mungu hayupo?

Ukiombewa shida ikaondoka, unajuaje imeondoka kwa sababu ya Mungu kasikia na kaiondoa, na si kwa sababu nyingine yoyote?

Na vipi kuhusu siku zote unapoombewa na shida haiondoki, hilo linathibitisha Mungu hayupo?

Unaelewa kitendo cha kusali na kuomba chochote kwa Mungu kinathibitisha Mungu hayupo?

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, angejua utakachohitaji kabla wewe hujakijua, na angekupa kabla wewe hujakiomba, na kama hakikufai asingekupa hata tamaa ya kukitaka.

Ukijiona una uhitaji mpaka ukafikia hatua ya kumuomba Mungu akupe kitu, huo uhitaji ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo.

Angekuwapo, usingekuwa na uhitaji kabisa. Angekupa unachohitaji kabla hujajua unakihitaji.
Kaka unajua sana kulala nao kiulalo ulalo 😹
 
Kwanza Mungu hakumpa kila mtu uhuru wa kufanya anachotaka.

Hatunanuhuru wa kufanya tunachotaka.

Wewe huna uhuru wa kurudi mwaka 1982.

Kwa hiyo hizo habari za Mungu katupa uhuru wa kufanya tunachotaka si kweli.

Mtu aliyekufa mwaka 1982 hana uhuru wa kujiunga na JF leo tuongee naye.

Swali la msingi ni hili.

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya wakati aliweza kuuumba ulimwengu huu uwe hauwezi kuwa na mabaya?
😹😹😹 Kweli hatuna uhuru mi nataka kufika 2090 ila siwezi
 
Back
Top Bottom