Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Hizi habari kuhusu Mungu, HAKUNA anayeweza kuzielezea kwa ukamilifu.... Wote wanaoabudu au kusema kuhusu Mungu Bado wameaminishwa TU, kwa sababu, kama ni kutegemea maandiko mf. Biblia... Hata biblia yenyewe HAIAMINIKI!...
Ukweli ni kwamba, HAKUNA KITU HALISI (PHYSICAL BEING) KINACHOITWA MUNGU... HAKUNA! Neno Mungu lilipewa "Uhai" ili kuelezea au kutambua NGUVU YA ASILI ambayo ipo kwa daima. Ndani ya hii nguvu ya ASILI ndiko iliko chimbuko la Sayansi na teknolojia, Maarifa ya asili (intuition) ya kiumbe hai na kisicho hai na uhusiano wao katika Hali halisi na fikirika (Realism and Idealism)
Ndivyo Maana hii nguvu inaweza kuwa positive kumfavor mtu au negative kumharm mtu, SASA... waliotuaminisha kuhusu Mungu, wanasema Kuna Mungu ktk mambo positive na yakija negative wanasema Shetani wakati ukweli nguvu ya ASILI (nature) ni Moja TU inayoact in all ways.
Hebu mshangae binadamu alivyo kigeugeu... Akifanya uhalifu akashindwa kukamatwa anasema Mungu memsaidia, lakini akikamatwa atasema Shetani alimpitia.
Wanaoamuni Mungu, wao wenyewe hawajielewi, Hivi inapotokea Simba anacheza na Yanga, Simba wakasema wanaomba Mungu wamshinde Yanga, na at the same time, Yanga wakaomba Mungu wamshinde Simba... Huyu Mungu atakuwa upande Gani?
Sioni haja ya kukwazana katika hili kila mmoja abaki katika msimamo wake.
 
Sasa kama hizo contradictions hazipo ila naziona kwa jinsi akili yangu inavyofikiri na akili hiyo nimepewa na Mungu, hapo kosa ni langu au ni la huyo Mungu kunipa akili isiyoweza kuelewa vizuri?

Kwa nini Mungu hakunipa akili ambayo ingeweza kuelewa na kutoona hizo contradictions?
Swali zuri,
Hii dunia haiko sawa ndio maana kuna tajiri na masikini vilema na wazima hivyo ndio alivyo amuwa iwe,
Unadhani hapa duniani sote tunge kuwa sawa kwa kila kitu tunge ishije.?
Faham jambo moja dunia sio sehemu ya starehe hayo mambo ya usawa yata kuwepo baada ya maisha hayo ndio maana mwanzo kabisa nili kwambia tumeletwa duniani kutahiniwa,

Ni kuulize swali wewe una watoto wako wote kiwango chao cha kufikiri kiko sawa kuna haja ya kuwapa mtihani. Na hata kama utawapa ili upate nini
Lengo la mtihani ni apatikane wakwanza mpka wa mwisho. Ama hujuwi hilo
 
Nakuuliza kwa nini dunia ina vilema, kwa nini Mungu hakuumba watu wote wakiwa na kila kitu sawa?

Unanijibu hii dunia ndivyo ilivyo ndiyo maana kuna vilema na wazima, jivyo ndivyo Mungu alivyo amua iwe.

Hujajibu swali.

Sawa, hata kama Mungu kaamua iwe hivyo, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaamua kuumba watu wengine wana vilema, na wengine wazima?

Kwa nini hajaumba wote wazima?

Hujui, huwezi kuelezea, huyo Mungu unayesema yupo, wewe mwenyewe humuelewi kiasi cha kuelezea kwa nini kaumba vilema.

Unakubali hilo?
 
Kuumba kilema sio kosa ni aina ya uumbaji jiulize pasinge kuwa na kilema si ungeleta hoja kwa mungu watu wote kawaumba aina moja usiwe mvivu kufikiria,

Mbona huulizi kwanini kaumba aina tofauti ya matunda kwa nini lisiwe tunda moja kwa nini asi umbee jinsia moja tu,

Huu ndio ukubwa na utukufu wake anaumba atakacho na atakavyo.
 
Bado hujatoa jibu kwa nini Mungu kaumba vilema wakati aliweza kuumba dunia isiyo na vilema.

Hayo masuala ya matunda ni whataboutism.

Naweza pia kukuuliza kwa nini kaumba matunda yenye sumu wakati aliweza kuumba matunda yote yawe hayana sumu?
 
Kwahyo Mungu anakufa maana mm nnakufa
Kufa na mauti ni dhambi na asili iliyo ndani yako sio kusudi la Muumba ndo maana akasema,

Hosea 13:14
Nitawakomboa na nguvu za kaburi; nitawaokoa na mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Kujuta kutafichwa na macho yangu.

1korintho 15:26
Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.

Na ukiendelea isaya 65:20-25 utaelewa zaidi
 
Bado hujatoa jibu kwa nini Mungu kaumba vilema wakati aliweza kuumba dunia isiyo na vilema.

Hayo masuala ya matunda ni whataboutism.

Naweza pia kukuuliza kwa nini kaumba matunda yenye sumu wakati aliweza kuumba matunda yote yawe hayana sumu?
Nisha kujibu ni aina ya uumbaji
 
Nisha kujibu ni aina ya uumbaji
Sawa, inawezekana ni aina ya uumbaji.

Lakininkwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aamue aina ya uumbaji inayofanya vilema wawepo wakati aliweza kufanya aina ya uumbaji ambayo vikema hawapo?

Hujajibu swali hili.

Sijakataa inawezekana ni aina ya uumbaji.

Lakini, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaamua aina hiyo ya uumbaji inayoumiza watu wengi wakati aliweza kuamua aina ya uumbaji ambayo haiumizi mtu?
 
Na omba nikujibu swali kwa swali
Mbona hujiulizi kwa nini kuna utofauti wa mataifa kwa nini tusinge kuwa taifa moja tu duniani

Jibu lina rudi pale pale hii dunia sio sehemu ya starehe tumeletwa ili tutahiniwe.
 
Tumeletwa ili tutahiniwe ili iweje?

Mwalimu hutoa mtihani kwa mwanafunzi ili ajue mwanafunzi kaelewa nini na hajaelewa nini.

Kwa sababu Mwalimu hajui yote, anahitaji mtihani ili aelewe mwanafunzi kaelewa nini.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye anajua utakachofanya kabla hujafanya, ameweka mtihani ili iweje wakati yeye anajua yote bila kuhitaji mtihani?
 
Suhendra Hujaeleza kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ametupa mtihani wakati yeye anajua yote kabla ya kutupa mtihani.
 
Back
Top Bottom