Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Na hakuna sehemu nime sema nina uwezo wa kuthibitisha kama mungu yupo rudia comments zangu kama ulikuwa wa subiri hilo wapoteza muda
Sawa mkuu, Sorry nimeku quote vibaya,,,,,,,,!
 
Hakuna binadamu wa kwanza kwa watu wote.

Kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa watu wote duniani, Kusingekuwa na utofauti wa rangi na vinasaba kwa binadamu.

Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa watu wote, Basi binadamu wote ulimwenguni tungefanana vinasaba vyetu pamoja na rangi.

Lakini sivyo Binadamu tume tofautiana, Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weusi, wachina, Wajapan, wafilipino, waarabu, wahindi wekundu, wahindi weupe n.k

Huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna binadamu wa kwanza ulimwenguni wa watu wote.
nini chanzo cha binadamu hapa ulimwenguni.
 
Wasio amini uwepo wa Mungu muumba wa ulimwenguni.
naomba mnijibu haya maswali matatu tu.

nini chanzo cha ulimwenguni na vilivyomo juu ya dunia.

nini chanzo cha viumbe hai na visivyo hai.

nini chanzo cha hewa na maji.
 
Umepewa uhuru wa kufanya unachotaka katika ukomo wa ubinadamu wako
Kila kitu kilichopo ndani ya uwezo wa kibinadamu umepewa uhuru wa kufanya kiwe kizuru au kibaya

Hayo unayo Sema wewe sijui urudi nyuma miaka ya 1980 hayo yapo nje ya uwezo wa ubinadamu wako

Huo ulimwengu wenye mazuri tupu Kwa Sasa upo ila sio Kwa binadamu ni Kwa malaika ulimwengu wa malaika una mazuri matupu labda kama na wewe unataka uwe malaika

Wewe binadamu hapa sio mwisho hapa unapita tu na hapa upo katika mtihani ukifaulu utaenda katika ulimwengu wenye mazuri tupu na ukifeli Jahanamu inakusuburi

Kituo chako Cha kwanza
Ulianza maisha katika tumbo la mama yako yalikuwa maisha ya Raha sana Hadi siku uliyotolewa katika hayo maisha ukawa unalia maana mwili wako ulitambua kabisa kuwa Sasa unaingia katika tabu

Kituo chako Cha pili
Ni hapa Duniani hapa Duniani ndio umepewa uhuru wa kufanya unachotaka na kuchagua unataka kuishi maisha gani Baada ya maisha haya ya Duniani

Kituo chako Cha tatu
Ni kaburini utaka ukisubiri siku ya hukumu ifike

Kituo chako Cha nne
Ni peponi au motoni
Na huko ni maisha ya milele hakutokuwa na kufa tena iwe upo peponi au motoni utaishi milele
Pointless... kwamba binadamu tumechagua tuishi maisha ya aina gani?
 
Wasio amini uwepo wa Mungu muumba wa ulimwenguni.
naomba mnijibu haya maswali matatu tu.

nini chanzo cha ulimwenguni na vilivyomo juu ya dunia.

nini chanzo cha viumbe hai na visivyo hai.

nini chanzo cha hewa na maji.
Ningependa ufanue kwanza "Mungu" ni nini? Ni nani? Ni mtu au kitu? Alitoka/Kilitoka wapi?

Kabla hujaanza kujenga hoja.
 
kwahy hivyo ndy umejibu maswali niliyo uliza?
ww umesema hakuna Mungu sasa tena unataka nimfafanue Mungu yupi huyo.

jibu maswali niliyo uliza hapo.
 
Mimi sijakili kwamba hicho kitu "Mungu" hakipo kwasababu sijui kama kipo au hakipo, Hivyo nahitaji kujulishwa ni nini? sawa na Topic mpya darasani, Huwezi kuielezea mpaka ufundishwe.

Mimi ni kama mwanafunzi na wewe ndiye mwalimu unatakiwa kunifundisha maana ya "Mungu".

Sifahamu na sijui chanzo cha kitu chochote hapa duniani, wala hakuna mwenye uhakika kwamba Chanzo Cha kitu fulani ni kitu fulani.

Binadamu na Wanyama na Mazingira wote tumejikuta tu tupo duniani bila kujua tumetokea wapi, wala hakuna mwenye uthibitisho wa tulipotokea.

Sababu ukisema unajua utalazimika kutaja chanzo cha chanzo cha kila kitu mpaka utafikia ukomo "infinity", hapo unakua umefikia stage ambayo hufahamu tena.

Ukifikia hiyo stage ndiyo tunahitimisha kwamba hujui..!
- Dini haziwezi kuthibitisha, Sayansi pia haiwezi kuthibitisha kama tu ukifuatisha mtiririko wa Cause and Effect.

Sasa ikitokea mtu anaclaim anajua chanzo cha ulimwengu huu lazima atoe maelezo ya kina ili tupate majibu, tusiwe na maswali maswali tena.

Na kwakua ni wewe ndiye umeclaim kwamba ulimwengu umeletwa na kitu kinaitwa "Mungu" basi tutoe ujinga leo kwa kutufundisha:

•Mungu ni nani? Au ni nini?
•Chanzo chake ni nini? Asili yake ni nini?

Ukiyajibu haya maswali basi vingine vyote vitajijibu vyenyewe kwani vitaonekana vimetokea kwa Hicho kitu, ukiwemo Ulimwengu na sisi.

Rhz4567
 
unataka kunitoa kwny reli unataka kumjua Mungu wakati umeshasema hayupo! maajabu haya.

jibu maswali niliyo uliza huko juu.

naona nguli wa wa hizi habari za Mungu hayupo my brother Kiranga kama kakaa kando hv anasikilizia
 
Mimi sijakili kwamba hicho kitu "Mungu" hakipo kwasababu sijui kama kipo au hakipo, Hivyo nahitaji kujulishwa ni nini? sawa na Topic mpya darasani, Huwezi kuielezea mpaka ufundishwe.

Mimi ni kama mwanafunzi na wewe ndiye mwalimu unatakiwa kunifundisha maana ya "Mungu".

Sifahamu na sijui chanzo cha kitu chochote hapa duniani, wala hakuna mwenye uhakika kwamba Chanzo Cha kitu fulani ni kitu fulani.

Binadamu na Wanyama na Mazingira wote tumejikuta tu tupo duniani bila kujua tumetokea wapi, wala hakuna mwenye uthibitisho wa tulipotokea.

Sababu ukisema unajua utalazimika kutaja chanzo cha chanzo cha kila kitu mpaka utafikia ukomo "infinity", hapo unakua umefikia stage ambayo hufahamu tena.

Ukifikia hiyo stage ndiyo tunahitimisha kwamba hujui..!
- Dini haziwezi kuthibitisha, Sayansi pia haiwezi kuthibitisha kama tu ukifuatisha mtiririko wa Cause and Effect.
kivp dini haiwezi kuthibitisha imani ya Mungu kama yupo? unaijua misingi mikuu ya dini ww
Sasa ikitokea mtu anaclaim anajua chanzo cha ulimwengu huu lazima atoe maelezo ya kina ili tupate majibu, tusiwe na maswali maswali tena.

Na kwakua ni wewe ndiye umeclaim kwamba ulimwengu umeletwa na kitu kinaitwa "Mungu" basi tutoe ujinga leo kwa kutufundisha:

•Mungu ni nani? Au ni nini?
•Chanzo chake ni nini? Asili yake ni nini?

Ukiyajibu haya maswali basi vingine vyote vitajijibu vyenyewe kwani vitaonekana vimetokea kwa Hicho kitu, ukiwemo Ulimwengu na sisi.

Rhz4567
 
Wasio amini uwepo wa Mungu muumba wa ulimwenguni.
naomba mnijibu haya maswali matatu tu.

nini chanzo cha ulimwenguni na vilivyomo juu ya dunia.

nini chanzo cha viumbe hai na visivyo hai.

nini chanzo cha hewa na maji.
sifahamu chanzo cha ulimwengu aisee, ila nasikia wataalam wanashughulika kutafuta majibu

chanzo cha viumbe hai pia sifahamu

chanzo cha hewa na maji sifahamu

kutokufahamu kwangu hakunilazimishi kukubali mungu ndo chanzo
 
kama hufahamu vyanzo vyake basi Mungu ndy chanzo cha vyote hivyo kupitia Imani ya dini.

titizo ni ujinga wenu tu kujifanya mnajua sana habari za ghaibu.

kama hamuamini Mungu muumba wa vyote mkae mnyamaze kwasbb nanyinyi ni wapuuzi tu msio jua chanzo cha ulimwenguni,uhai,maji,hewa nk.
 
Back
Top Bottom