Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 239
Nikaresearch vp?Nenda ka research.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikaresearch vp?Nenda ka research.
Ina maana unaongea kitu usichoweza kukitetea duh! Kweli kazi ipo...Nenda ka research.
Walivyo wajinga wakijua kitu wanasema wamegundua. Kama wamegundua ina maana kilikuwepo, kama kilikuwepo nani alikiweka?Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
🤣🤣 subiri mapovuWalivyo wajinga wakijua kitu wanasema wamegundua. Kama wamegundua ina maana kilikuwepo, kama kilikuwepo nani alikiweka?
Watajibu NATURE.... Huyo nature ni nani?
nipe hapa kwa maandishi yako chanzo cha ulimwengu ni nini.Maswali yako ya chanzo nimekujibu, ila wewe hujanijibu.
Kama suala la chanzo ni muhimu sana, chanzo cha Mungu ni nini?
Hujajibu.
Kwa nini unafikiri ulimwengu ni lazima una chanzo?nipe hapa kwa maandishi yako chanzo cha ulimwengu ni nini.
ww unanipa ma Quotetion ya watu halafu unasema umenijibu!
msingi wa hoja ya Mungu yupo au hayupo lazima kwanza tujue chanzo cha ulimwengu ni nini?
hapo sasa ndy tutapata kujua kama Mungu yupo au hayupo.
Kwa nini unafikiri ulimwengu ni lazima una chanzo?
Swali lako limekuja kwa kukubali tu kuwa ulimwengu lazima una chanzo.mbona unaniuliza swali tena,ww unacho takiwa ni kujibu swali
nini chanzo cha ulimwengu?
kwhy unataka kusema ulimwengu hauna chanzo? au hujuiSwali lako limekuja kwa kukubali tu kuwa ulimwengu lazima una chanzo.
Unajuaje ulimwengu lazima una chanzo?
Nimekuuliza swali tu, kwa nini unafikiri ni lazima ulimwengu uwe na chanzo? Hujajibu swali.kwhy unataka kusema ulimwengu hauna chanzo? au hujui
mim na ww nani wakwanza aliye muuliza swali mwenzie.Nimekuuliza swali tu, kwa nini unafikiri ni lazima ulimwengu uwe na chanzo? Hujajibu swali.
Hata nikisema sina jibu la swali lako lolote, mimi kukisa jibu si thibitisho kwamba Mungu yupo.mim na ww nani wakwanza aliye muuliza swali mwenzie.
jibu maswali yangu kwanza siwez kukujibu swali lako ilihali ww hujajibu maswali niliyo kuuliza kwanza.
sasa umekubali kama maswali yangu ww huna majibu nayo?Hata nikisema sina jibu la swali lako lolote, mimi kukisa jibu si thibitisho kwamba Mungu yupo.
In fact swali kuwapo ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Mungu angekuwepo, kila mtu angekuwa na uelewa mzuri sana kiasi kwamba kusingewezekana kuwapo na swali lolote.
Thibitisha Mungu yupo.
Sijakubali kwamba sina majibu, nakueleza kuwa maswali yako kwangu, unless jibu ni Mungu, ambalo kwangu si jibu sahihi, maswali yako ni irrelevant katika mjadala wa kutafuta Mungu yupo au hayupo, kwa sababu hata kama sina majibu yake, kutokuwa na majibu hakuthibitishi Mungu yupo.sasa umekubali kama maswali yangu ww huna majibu nayo?
kama huna majibu ya maswali yangu sasa niulize maswali yako.
....'Mpumbavu amesema hakuna Mungu'....Pole zake.Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
kati ya mimi na ww nani aliye anza kumuuliza maswali mwenzie?Sijakubali kwamba sina majibu, nakueleza kuwa maswali yako kwangu, unless jibu ni Mungu, ambalo kwangu si jibu sahihi, maswali yako ni irrelevant katika mjadala wa kutafuta Mungu yupo au hayupo, kwa sababu hata kama sina majibu yake, kutokuwa na majibu hakuthibitishi Mungu yupo.
Nimekuuliza, wewe unayeona chanzo ni swali muhimu sana, huyo Mungu wako chanzo chake ni nini?
Maswali yako hayana msingi, hata nikisema sijui jibu la maswali yako kutojua jibu hilo hakumaanishi jibu ni Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.kati ya mimi na ww nani aliye anza kumuuliza maswali mwenzie?
kwann unaruka ruka kwanini usijibu maswali yangu halafu na ww ndy nikujibu yakwako.
jibu maswali yangu kwanza na mimi nitayajibu maswali yako.
Me pia ni mmoja wao
Mpuuzi Mimi Kabisa
Lakini inabidi ujue maana ya neno MUNGU
Pia inabidi ujue kuhusu DINI ni utamaduni
Mwisho,hakuna Mungu Bali kuna Creator ambaye alitupatia Uhai ili tuishi kwa kuenjoy na tufuate sheria za kiulimwengu tuweze kuishi vizuri zaid