Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hoja ya chanzo ni hoja dhaifu sana.sitaki unikubalie nimekuuliza nini chanzo cha ulimwengu,hewa na maji
nipe majibu ya hayo maswali
Kwa sababu, katika quantum physics kwenye quantum causal loops hoja ya chanzo si muhimu.
Kitu A kinaweza kuwa chanzo cha kitu B, na kitu B kikawa sababu ya kuwapo kitu A.
Hapo viwili hivyo vyote ni vyanzo vya vingine, A imesababisha B na B imesababisha A.
Hoja yako ya chanzo imejikita katika "cause and effect". Quantum Causal Loop inaonesha cause and effect si muhimu.
Soma zaidi hapa
Quantum causal loops
Causal reasoning is ubiquitous - from physics to medicine, economics and social sciences, as well as in everyday life. Normally, causal influence is assumed to only go one way - from cause to effect - and never back from the effect to the cause: the ringing of the bell does not cause the...
www.eurekalert.org
Pia, swali lako la chanzo cha ulimwengu lina assume ulimwengu una chanzo, unajuaje ulimwengu una chanzo? Kwa nini una assume tu kuwa ulimwengu una chanzo?