Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Ubongo wako hauna uwezo wa kuhimili hii mijadala 🚮🚮
ww unashida,kwasbb unauliza habari za Mungu wakati tayari ushasema hayupo.

hv unaweza kuuliza kitu kama kipo wakati ushasema hakipo? ww shule ulisoma nini?
 
unataka kunitoa kwny reli unataka kumjua Mungu wakati umeshasema hayupo! maajabu haya.

jibu maswali niliyo uliza huko juu.

naona nguli wa wa hizi habari za Mungu hayupo my brother Kiranga kama kakaa kando hv anasikilizia
Nimekwambia sifahamu, wewe unayefahamu nijibu, Mungu ni nani? Ni nani?

Kama hufahamu kaa kimya, mbona unakimbilia kwa Kiranga.

Huyo Mungu unayamtaja kwanza huwezi kumthibitisha kama yupo, kama unaweza Thibitisha.

Kama huwezi tulia 😎
 
kama hufahamu vyanzo vyake basi Mungu ndy chanzo cha vyote hivyo kupitia Imani ya dini.

titizo ni ujinga wenu tu kujifanya mnajua sana habari za ghaibu.

kama hamuamini Mungu muumba wa vyote mkae mnyamaze kwasbb nanyinyi ni wapuuzi tu msio jua chanzo cha ulimwenguni,uhai,maji,hewa nk.
ndio sisi ni wapuuzi kama maana ya upuuzi ni kutokujua

na ndio, mungu ni chanzo cha vyote hivyo KUPITIA IMANI YA DINI pekee

lakini kwa mtazamo wetu, yeye sio chanzo
 
Nimekwambia sifahamu, wewe una

Nimekwambia sifahamu, wewe unayefahamu nijibu, Mungu ni nani?

Kama hufahamu kaa kimya, mbona unakimbilia kwa Kiranga.

Huyo Mungu unayamtaja kwanza huwezi kumthibitisha kama yupo, kama unaweza Thibitisha.
Mungu ni Imani na huwez kumuamini Mungu bila kuwa na Imani

imani zipo za aina nyingi sana na zote hizo zinaamini kuna Muumbaji
 
Mkuu acha kuzunguka , zunguka, njoo na jibu la moja kwa moja, yuko wapi?

Kama yupo unashindwaje kujua ametokea wapi?
 
Mkuu acha kuzunguka , zunguka, njoo na jibu la moja kwa moja, yuko wapi?

Kama yupo unashindwaje kujua ametokea wapi

Mungu ni Imani huelewi nini?
wewe mbona unaamini kuna hewa,sauti nk je ulishawahi kuviona vipo wapi?
 
unataka kunitoa kwny reli unataka kumjua Mungu wakati umeshasema hayupo! maajabu haya.

jibu maswali niliyo uliza huko juu.

naona nguli wa wa hizi habari za Mungu hayupo my brother Kiranga kama kakaa kando hv anasikilizia
Thibitisha Mungu yupo.
 
Nimekwambia sifahamu, wewe unayefahamu nijibu, Mungu ni nani? Ni nani?

Kama hufahamu kaa kimya, mbona unakimbilia kwa Kiranga.

Huyo Mungu unayamtaja kwanza huwezi kumthibitisha kama yupo, kama unaweza Thibitisha.

Kama huwezi tulia 😎
Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
 
tuanze kwanza na hv.

nini chanzo cha ulimwengu

nini chanzo cha maji

nini chanzo cha hewa

tukipata majibu ya haya maswali sasa ndy tuanze kuuliza kuhusu uwepo wa Mungu Muumbaji
 
wewe mbona unaamini kuna hewa,sauti nk je ulishawahi kuviona vipo wapi?
Mimi siamini kama upepo na sauti vipo, Imani ni kua na uhakika wa kitu ambacho hukioni wala hujawahi kukiona.

Mimi najua kwamba upepo nasauti vipo, vinapimika, vinahisika.

Kitu kinaonekana, Imani ya nini.
 
tuanze kwanza na hv.

nini chanzo cha ulimwengu

nini chanzo cha maji

nini chanzo cha hewa

tukipata majibu ya haya maswali sasa ndy tuanze kuuliza kuhusu uwepo wa Mungu Muumbaji
Hayo maswali yote ni whataboutism logical non sequitur fallacies.

Kama chanzo ni muhimu sana kwako, ni nini chanzo cha Mungu?
 
hayo maswali ndy msingi wa kama Mungu yupo au hayupo.

kama huna majibu bs huwez kumjadili Mungu yupo au hayupo.
 
Mimi siamini kama upepo na sauti vipo, Imani ni kua na uhakika wa kitu ambacho hukioni wala hujawahi kukiona.

Mimi najua kwamba upepo nasauti vipo, vinapimika, vinahisika.

Kitu kinaonekana, Imani ya nini.
na mimi nikitumia dhana hiyohiyo ya kuamini uwepo wa Mungu kuna shida gn?

kwann utakake nimuoneshe alipo? ww unaweza kunionesha upepo na sauti ilipo na ipoje umbo lake?
 
hayo maswali ndy msingi wa kama Mungu yupo au hayupo.

kama huna majibu bs huwez kumjadili Mungu yupo au hayupo.
Hapana, hayo maswali hayana uhusiano wowote. Ni logical non sequitur fallacy. Ni whataboutism.

Na hata nikikukubakia kwamba tuseme hayo yote kaanzisha Mungu, kwa immanent critique, kwa kuanzisha tu uchunguzi kifalsafa, nikachukua mantiki yako hiyo hiyo ya kutafuta chanzo, nikakuuliza, na Mungu naye chanzo chake nini, huwezi kunipa chanzo cha Mungu.
 
sitaki unikubalie nimekuuliza nini chanzo cha ulimwengu,hewa na maji
nipe majibu ya hayo maswali
 
Back
Top Bottom