Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
Mungu alitoa rahana ndio inayo tutafuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini huyo creator atengeneze process isiyo na ukamilifu mpaka mwisho?Alianzisha process ambayo ni self replicating, chukulie kama virus ya computer ambayo ni program lkn ajireplicate yaani inatengeneza copy zake yenyew kulingana na instructions za programer lkn huko mbele programer wengne wanaeza kuidukuwa ikaanza kubadilika kdogo, The Creator started the process but we're going to experience so many changes along the way. Kesho kutwa tu sisi wenyew tutakua na uwezo wa kudukua vinasaba ( Genetic manipulation and gene editing ) lkn hiyo haimanishi mtengenezaji wa program ya awali hayupo
Huyo Mungu aliyetoa " Laana" ni Mungu mkatili, muovu, mdhaifu na mjinga sana.Mungu alitoa rahana ndio inayo tutafuna
Haya,Kama Mungu hayupo basi kuanzia leo jitangazie kuwa ww ndio Mungu utajua kuwa Mungu yupo au hayupo
Kwanzia leo mimi infropreneur najitangaza rasmi ndio MUNGU.Kama Mungu hayupo basi kuanzia leo jitangazie kuwa ww ndio Mungu utajua kuwa Mungu yupo au hayupo
Soma Bible vizur utajuwa uwepo wa munguHuyo Mungu aliyetoa " Laana" ni Mungu mkatili, muovu, mdhaifu na mjinga sana.
Kama yeye ndio alituumba kwa nini atulaani?
Kama huyo Mungu ndio muumbaji wetu, Alishindwaje kutuumba tutende mema tu yatakayo mpendeza?
Kwa nini huyo Mungu alituumba tukiwa na uwezo wa kutenda mabaya kumchukiza kisha atupe laana?
Je huyo Mungu Hakujua kwamba binadamu tutakuja kumuasi atudhibiti na kutuzuia mapema tusimuasi?
Au aliamua na akaamua atuache tu, tuje tumuasi aendelee kutoa hizo laana zake?
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Haujamaanisha nahisi umesema kiutani zaidiHaya,
Kuanzia leo mimi ndiye Mungu.
Hapo vipi?
Nini kitanitokea?
Neno sahihi zaidi lingekuwa kwamba nyumba ina order, ina complexity, ina complex order.
Si perfection.
Nyumba haina perfection kwa sababu nilizozitoa hapo juu.
Tukija huko kwenye complex order, hoja yako kiukweli, kiundani kabisa, ni hoja ya kupinga uwepo wa Mungu.
Ila wewe hujajua tu.
Ulichosema hapo ni kwamba Mungu muumba vyote hawezi kuwapo. Ila hujajua tu, kwa sababu hujaichambua hoja yako kwa kina.
Twende polepole.
Kimsingi, nimekuelewa kuwa unajenga hoja kwamba, ukiona kitu kimepangika vizuri, kina order, kina complexity, kina complex order, basi lazima kuna aliyekiumba na kukiweka hivyo.
Unajenga hoja kwamba hii complex order huwa haitokei tu yenyewe, ni lazima iwe imewekwa na complex order kubwa zaidi yake, iwe imeumbwa. Wewe unahitimisha kuwa huyo aliyeiumba order ya ulimwengu ni Mungu (this is logical non sequitur fallacy, but let us entertain it to follow the logic)
Kwa hoja yako hiyo, nikikukubalia (kwa kutaka kuichunguza hoja zaidi), tutafika kwenye swali.
Kama ulimwengu ni complex order, na complex order haitokei tu, ni kazima iwe na muumbaji mwenye complex order zaidi, na muumbaji huyo ni Mungu, basi na Mungu naye ana complex order, na yeye pia atahitaji kuwa kaumbwa, hawezi kuwa yupo tu (kwa mujibu wa hoja yako mwenyewe kwamba complex order haiwezi kutokea tu, ni lazima iwe imeumbwa).
Kwa hoja hii, Mungu naye ni lazima atakuwa kaumbwa, hawezi kuwepo tu.
Na Mungu wako akishakuwa kaumbwa tu, anapoteza uungu wake wa kuumba kila kitu, maana kaumbwa.
Hivyo, hoja yako inaonesha huyo si Mungu. Na pia inaonesha Mungu hawezekani kuwapo.
Sijui kama umeelewa hoja.
Kifupi, ukisema nyumba haiwezi kuwepo tu ni lazima iwe na mjenzi unasema hata Mungu hawezi kuwapo tu, ni lazima awe na muumba wake, na akishakuwa na muumba wake basi ndiyo anakuwa si Mungu.
Umeelewa
Ni makusudi yake kabsa ili process iweze kuendelea . Aliweka loop holes hizo kama njia ya kuiboresha program , ndio mana nakuhakikishia watu utafka haya matatizo yote tutaeza kuyadhibiti kwasabb yote aliaweka kwenye code , kinachotusumbua Bado hatujaweza ku break code kisawa sawa lkn Siku ipo , achana na dini ambayo kazi ni kudumaza akili zetu lkn Muumba wetu alitaka tuwe na maarifa ili tuweze kuelewa code zake vizuri na kuendelea kuboresha programu wakati nae akiendelea na mambo mengne muhimu zaidKwa nini huyo creator atengeneze process isiyo na ukamilifu mpaka mwisho?
Huoni kwamba hii process ya huyu creator ina dosari na kasoro?
Na inathibitisha waziwazi kwamba huyo "Creator" sio perfect na kazi yake ina imperfections.
Huyo creator, Alishindwaje kutengeneza process isiyoweza kudukuliwa?
Huyo creator, Kwa nini alitengeneza process yenye kuweza kudukuliwa?
Huyo Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.Soma Bible vizur utajuwa uwepo wa mungu
Kwa hiyo huyo Mungu ana makusudi sio?N
Ni makusudi yake kabsa ili process iweze kuendelea . Aliweka loop holes hizo kama njia ya kuiboresha program , ndio mana nakuhakikishia watu utafka haya matatizo yote tutaeza kuyadhibiti kwasabb yote aliaweka kwenye code , kinachotusumbua Bado hatujaweza ku break code kisawa sawa lkn Siku ipo , achana na dini ambayo kazi ni kudumaza akili zetu lkn Muumba wetu alitaka tuwe na maarifa ili tuweze kuelewa code zake vizuri na kuendelea kuboresha programu wakati nae akiendelea na mambo mengne muhimu zaid
Bado hujafikia levo ya firauni apo nikama unataniaKwanzia leo mimi infropreneur najitangaza rasmi ndio MUNGU.
Na kama huyo Mungu yupo, ajitokeze mwenyewe hadharani aje anipinge kama ana huo uwezo.
Unabadilisha magoli, umetaka niseme hivyo, nimesema. Baada ya kusema hivyo unalazimisha nafanya utani.Haujamaanisha nahisi umesema kiutani zaidi
Shida yako unamchanganya mungu wa hizi dini na Mungu Muumba wa Kila k2 ( The great architecture)Kwa hiyo huyo Mungu ana makusudi sio?
Hujathibitisha ni makusudi yake.N
Ni makusudi yake kabsa ili process iweze kuendelea . Aliweka loop holes hizo kama njia ya kuiboresha program , ndio mana nakuhakikishia watu utafka haya matatizo yote tutaeza kuyadhibiti kwasabb yote aliaweka kwenye code , kinachotusumbua Bado hatujaweza ku break code kisawa sawa lkn Siku ipo , achana na dini ambayo kazi ni kudumaza akili zetu lkn Muumba wetu alitaka tuwe na maarifa ili tuweze kuelewa code zake vizuri na kuendelea kuboresha programu wakati nae akiendelea na mambo mengne muhimu zaid
Nakwambia hivi, 👇Bado hujafikia levo ya firauni apo nikama unatania
Hujathibitisha Mungu yupo.Shida yako unamchanganya mungu wa hizi dini na Mungu Muumba wa Kila k2 ( The great architecture)
Hakuna Mungu wa aina yeyote ile.Shida yako unamchanganya mungu wa hizi dini na Mungu Muumba wa Kila k2 ( The great architecture)